Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu katika Taifa Masikini Kama hili Chadema wamenishangaza sana Kufanya Starehe katika Kumbi za Hotel Mbalimbali Kama St. Gaspar. Chadema wamekua Wakitumia Pesa za ruzuku Kuweka mikutano ya Gharama na Kulipana Posho.
Ni kweli najua hamna Ukumbi lakini Kwanini Msichukue hata Kumbi za Shule za Secondari hapo Dodoma?
Rais anajitahidi Kubana Matumizi hata Kikao cha Marais wa Afrika Mashariki Kimefanyikia Dar pia Vijana waliokua Monduli walitunikwa Nyota zao Dar.
Mwisho nawashauri Chadema hizo Pesa mnazopanda ni vema Mkaelekeza kwenye Kutatua Matatizo ya Wananchi katika Majimbo Mliyoshinda Uchaguzi Hali Ni Mbaya Huku Singida Mashariki Mbunge anashinda Kisutu.