CHADEMA, haya anayoyasema Kibanda ni ya kweli?

CHADEMA, haya anayoyasema Kibanda ni ya kweli?

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,040
wadau...naomba muisikilize hii video then tuijadili



Wasalamu
 
Last edited by a moderator:
anachokiongea ni hisia mtupu ambapo hata yeye haamini kama kinaukweli ni suala la kudhani
 
Kwa hiyo inawezekana ndo watoa kucha hao au nini?

Kuna kitu inatakiwa CDM ijitathmini.
 
hivi yupo hai huyo jamaa?au ndio kaolewa na mtesi wake...si mara ya kwanza tz kusikia talibani style eti binti kapenda dini ya mtesi /mtekaji wake na yupo tayari kuolewa na huyohuyo mbakaji pia.
 
Huyu Kibanda si ndiye ambaye Gazeti lake la Mtanzania juzi liliandika habari kubwa ya uongo "UKAWA washindwa kuafikiana, NCCR waomba kujitoa UKAWA"? Team-Lowassa bhana!!!!!
 
Mh!!! Ama hakika usiweke hata chembe ya imani kwa mtu tofauti na nafsi yako mwenyewe. Leo CDM ndo wamekuwa watesi wa huyu Bwana!
 
Mnarudia tena hiki kihadithi chenu cha kutunga?
-mbona ulimboka.alimtaja msangi kuhusika na utekaji wake lakini kova alikuja na c.d ya mkenya???
 
Duh...Chadomo ni chiboko.....kwa hiyo kwa tafsiri rahisi ni kuwa katibu mkuu aliamuru "apigwe tu"
 
Kibanda mbona siku zote hukuyasema haya? Kumbe mlitofautiana na Katibu Mkuu wa Chadema kwenye kikao cha kilevi kilichoitishwa nyumbani kwa Mwenyekiti!! Mtafute Khalid Kagenzi mtafakari kwa pamoja!!!

Mwenzio katofautiana na katibu mkuu korodani hazifanyi kazi, msimulie na yaliyokukuta
 
Ulikuwa ni mkutano wa viroba na Gongo.
 
Kumbe Kibanda ni mwana Supreme Leader(SL) ooh !sorry Kibanda ni mwana ACT...ukiangalia video vizuri pale mbele yake kaweka makablasha ya ACT na pembeni yake kuna mwana SL mwingine, Mkumbo.
 
Back
Top Bottom