Kweli hakuna kama zitto, mambo mengi kaanzisha yeye wapinzani wakaiga
kumbe ZZK amekuwa chama tawala?
Kweli hakuna kama zitto, mambo mengi kaanzisha yeye wapinzani wakaiga
Hivi ktk utamaduni wenu kuna tofauti ya "Kweli" na "uongo mtakatifu"?Khalida Kagenzi kayakinisha kuwa ni ukweli.
Stupid remarks!
However,this is not a new story.
Kagenzi ni Muislam?
Apologise ladyPembeni pale sio kitila mkumbo yule???????? hata hivyo hakuna chakujadili hapo, hayo ni maongezi ya kawaida kwa waandishi makasuku
wadau...naomba muisikilize hii video then tuijadili
Wasalamu
Kibanda kawatoa nishai na mikutano yenu ya kilevi.Hili tawi la CCM lina hangaika...
hivi yupo hai huyo jamaa?au ndio kaolewa na mtesi wake...si mara ya kwanza tz kusikia talibani style eti binti kapenda dini ya mtesi /mtekaji wake na yupo tayari kuolewa na huyohuyo mbakaji pia.