CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

CHADEMA kwa sasa wamepoteana.

Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.

Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.

Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa

Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.

Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.

Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.

Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.

Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa

Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.

Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu

Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.

Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.

Tukutane 2020
itisha uchaguzi leo uhakikishe!!
 
Eti, "CHADEMA MWENDO MDUNDO FICHUA MAFISAD!"

Mmelilikoroga sasa mnalinywaaaaa.......!!
 
Kasome sheria na kanuni zinazoongoza Uchaguzi mkuu ndipo ulalamike kwamba ,kwann Polisi walizima upotoshwaji uliokuwa unafanywa na CDM pamoja na pacha wake LHRC!
 
hizi ndio double standards mbona ccm walikuwa wanajumuisha matokeo pale mlimani city na hadi video ipo january makamba akitangaza kuwa magufuli kuwa ameshinfa urais hata kabla tume haijamtangaza rasmi ila alimtangaza kwa majumuisho yao wenyewe sasa mbona january hamkumkamata??? ila kwa maalim ikawa nongwa na vilevile walochofanya chadema was same as that of ccm ssa iweje ccm waachwe wachukuliwe chadema?? tuanzie hapo kwanza.....
 
Yaani mwaka mmoja tu CHADEMA wapo nyang'anyang'a. Hiyo miaka mingine ndo watazidi kupotea. Ninachokiona hapa ni siasa za chadema Kufanywa na akina Bashe
Kwahyo Bashe amekuwa Red cross mkuu [emoji23] [emoji23]
 
haya wwe mwenye elimu kubwa nilikuuliza mbowe ameshindwa kudeliver kwenye uongozi wake??? na kama ameshindwa nipe ushahidi wa kitakwimu sio maneno?? wwe ukasema hana elimu nikasema sawa ana elimu ndogo je skills za leadership hana?? nikakupa homework ukasome bado ukashindwa kuleta majibu.... basi nikukubalie kuwa LHRC waalifanya dhambi kubwa sana kukusanya matokeo je chadema nao ilikuwa kosa hadi mkawavamia kituo chao cha kujumuisha matokeo??? naomba ujibu hoja by hoja usizimix ili uonekane umeongea point jibu one by one maana wwe umekazania bila elimu huwezi ongoza sasa huyo ambaye hana elimu kashibdwa kuongoza.??
pia nlishasema toka mwanzoni mie sio mfuasi wa mtu ndani ya chama mbowe naye ni mwanadam lazma ana mapungufu kama mtu binafsi ila hapa hoja yetu ni kwenye uongozi wake je elimu yake ndogo imefail au imefanikiwa kuleta mabadiliko chanya ndani ya chadema????

Ipo siku utajijibu maswali yako hayo yote, siku utakayofanikiwa kuba lehe kisiasa, ukiwa na bahati itafika!
 
hizi ndio double standards mbona ccm walikuwa wanajumuisha matokeo pale mlimani city na hadi video ipo january makamba akitangaza kuwa magufuli kuwa ameshinfa urais hata kabla tume haijamtangaza rasmi ila alimtangaza kwa majumuisho yao wenyewe sasa mbona january hamkumkamata??? ila kwa maalim ikawa nongwa na vilevile walochofanya chadema was same as that of ccm ssa iweje ccm waachwe wachukuliwe chadema?? tuanzie hapo kwanza.....

CCM ilikuwa na dola!
 
CCM ilikuwa na dola!
Sasa mnafanya uchaguzi wa nini kama mshajimilikisha dola?? eti mlikuwa na dola. bora mmejidhihirisha kuwa nyie ni waporaji na wababe wa kutumia maguvu ili mshinde uchaguzi sio kwa haki..... kwa majibu yako sioni haja ya kuendelea kujibishana na wewe maana ushaamua kujitoa ufaham kuitetea chama dhalimu kwa lolote... LOL nani kasema mkiwa na dola ndo mnahaki ya kukiuka taratibu?? shameful
 
CHADEMA kwa sasa wamepoteana.

Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.

Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.

Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa

Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.

Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.

Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.

Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.

Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa

Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.

Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu

Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.

Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.

Tukutane 2020

Huu ni ukweli mtupu
 
Sasa mnafanya uchaguzi wa nini kama mshajimilikisha dola?? eti mlikuwa na dola. bora mmejidhihirisha kuwa nyie ni waporaji na wababe wa kutumia maguvu ili mshinde uchaguzi sio kwa haki..... kwa majibu yako sioni haja ya kuendelea kujibishana na wewe maana ushaamua kujitoa ufaham kuitetea chama dhalimu kwa lolote... LOL nani kasema mkiwa na dola ndo mnahaki ya kukiuka taratibu?? shameful

Kwa sababu management is not leadership. Fayol amejikita kwenye management Zaidi wapo gurus wengine katika leadership. Wapo wana falsafa wengi wamezungumzia uongozi na utawala. Jua falsafa za uongozi kisha rudia kumsoma Fayol, utakapobaa leehe utafahamu
 
Elimu elimu elimu.lowassa alikuwa anamaana sana ndio manake akasema elimu nimuimu.makonda live but no bunge live ebu acheni utaira
 
Kwa sababu management is not leadership. Fayol amejikita kwenye management Zaidi wapo gurus wengine katika leadership. Wapo wana falsafa wengi wamezungumzia uongozi na utawala. Jua falsafa za uongozi kisha rudia kumsoma Fayol, utakapobaa leehe utafahamu
duuh kazi kweli kweli nlikwambia uanze kwanza na the 3 leadership skills as stated by henry fayol then ndo tuanzie hapo kabla hujasoma other scholars wa mambo ya leadership maana shida sisi ni wavivu wa kusoma vitabu ndio maana tunabishana mambo yaliyowazi kabisa na hao ndio ccm inawatumia kama mtaji kuwaaminisha mambo mengi coz anajua sio wadadisi ni watu wa NDIO MZEE. wewe nlikupa task kasome leadership qualities then uje hapa uzianalyse kwa kucompare kwa mbowe hapo mie ntaunga mkono 100% hoja zako sio sahvi unatumia maneno ya mitaani na vijiwe vya kahawa kumjudge mbowe. wwe njoo hapa na uzi kila skill uelezee ina maana gani na je mbowe anayo. Tuwe kama watu wa nchi iliyo serious i hope mkuu umeelewa hoja yangu sasa.
 
Kwa sababu management is not leadership. Fayol amejikita kwenye management Zaidi wapo gurus wengine katika leadership. Wapo wana falsafa wengi wamezungumzia uongozi na utawala. Jua falsafa za uongozi kisha rudia kumsoma Fayol, utakapobaa leehe utafahamu
wewe kasome yoyote anayefaa mie nilirecommend tu uanze na huyo maana namuelewa zaidi ila hoja yangu uje na hizo leadership skills au qualities uziweke hapa afu kwa kila skill uongelee kama mbowe anayo ama hana then great thinkers watatoa maoni yao kama analysis yako iko objective au lah so nategemea urudi na analysis sio maneno ya mipasho tu.
 
CHADEMA wameshinda mwenyekiti wa kijiji huko Mtera Dodoma, cc Lizaboni ..KWELI CHADEMA HAINA CHA KUFANYA KIPINDI CHA MAGUFULI.
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Yaani mwaka mmoja tu CHADEMA wapo nyang'anyang'a. Hiyo miaka mingine ndo watazidi kupotea. Ninachokiona hapa ni siasa za chadema Kufanywa na akina Bashe
Njozi za kujifurahisha, zitakusaidia kuepusha stress. Keep up
 
wewe kasome yoyote anayefaa mie nilirecommend tu uanze na huyo maana namuelewa zaidi ila hoja yangu uje na hizo leadership skills au qualities uziweke hapa afu kwa kila skill uongelee kama mbowe anayo ama hana then great thinkers watatoa maoni yao kama analysis yako iko objective au lah so nategemea urudi na analysis sio maneno ya mipasho tu.

Kuna wasomi wazuri kama wewe huwa wanatumia single authority kufanya analysis, pia wasomi wazuri kama wewe huwa hawatofautishi kati ya leadership na management. Wasomi wazuri kama wewe pia huchukua theory za mtu mmoja na kuzitumia katika mazingira yote kwani huwa zinakidhi barabara hasa ikiwa authority huyoni mahiri kama Henry Fayol. Ninyi wasomi mnafahamu viongozi wazuri ni wepi hivyo mtawafuata na kuwaabudu. Sisi wajinga hatuwafahamu, tunachofahamu ni kusikiliza na kuamini maneno yanayokidhi hajaa na ashki ya nyoyo zetu hata kama maneno hayo ni uongo na uzushi mkubwa. Mumebarikiwa sana ninyi mliosoma tena mliosomeshwa na vyama vyenu kuliko sisi tulioachwa na kutelekezwa na serikali ya CCM ambayo hututumia wakati wa uchaguzi kuwashabikia na kujitolea muhanga maisha yetu bila kujua hakika faida tuipatayo. Wewe umesomeshwa na chama chako mpaka ukajiita msomi, umefaidika. mimi CCM imenipa nini? Wanatuuzia mpaka fulana.kofia na skafu, wametufanya soko la maduka yao ya nguo, lakini bado naipenda CCM. CCM kumejaa undugu, urafiki na upendeleo wa wazi lakini bado naipenda CCM. Naipenda kwa rangi zake, bendera yake, skafu zake. Mwenye akili atafikiri. Asante ndugu yangu msomi umeniongezea maarifa na kunifikirisha sana.
 
ila umesahau kutuambia hayo ni mawazo yako na yanaheshimiwa. mimi na mtazamo tofauti kabisa ingawa ni mwana ccm
 
duh mkuu si nilikuomba uje na anlysis sio mipasho kama hii sasa badala ya kujibu hoja unaishia kukikebehi chama sasa hapa sio mahali pake hapa tupo kujadiliana hoja ili tupate ufumbuzi kama mbowe hafai kwenye uongozi ama lah. nikichoomba usjililimit kwa fayol mie nmetoa mfano tu ila nilitaka wwe uje na hizo leadership qualities au skills then ufanye analysis kama kila skill mbowe anayo mbona ni kazi rahisi afu mjadala ufungwe. wwe achana na fayol sijui churchill wwe njoo na leadership skills zako hapa afu umchambue mbowe A to Z mipasho haisaidii maana haileti ufumbuzi. ukija na analysis utasaidia watu wengi wajue kma ambowe kaweza ama hawezi uongozi full stop. so acha mipasho jikite kwenye hoja, ahsante.
 
Waache wajiendeshe kimatukio tu,wao wangoje wanafunzi wa vyuo wagome waifanye agenda,cjui hao maprof wao kama wanawashaur vyema maana taaluma ingesaidia kuwaambia siasa za kiharakati sio tena kwa mwendo wa Magufuli mbona watakesha,wekeni sera na mikakati mbona Slaa alikua akisimama anaeleweka anasema nini,ilikua ukimckiliza unajua.kua chama kikishinda nini kitafanyika kwenye elimu,afya,maji n.k sasahivi kila akisimama kiongozi ni kulalama,matusi ila wajue Watz sio tunachotaka jamaniii au mnangoja Malaika awaambieeeee
 
Back
Top Bottom