CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

duh mkuu si nilikuomba uje na anlysis sio mipasho kama hii sasa badala ya kujibu hoja unaishia kukikebehi chama sasa hapa sio mahali pake hapa tupo kujadiliana hoja ili tupate ufumbuzi kama mbowe hafai kwenye uongozi ama lah. nikichoomba usjililimit kwa fayol mie nmetoa mfano tu ila nilitaka wwe uje na hizo leadership qualities au skills then ufanye analysis kama kila skill mbowe anayo mbona ni kazi rahisi afu mjadala ufungwe. wwe achana na fayol sijui churchill wwe njoo na leadership skills zako hapa afu umchambue mbowe A to Z mipasho haisaidii maana haileti ufumbuzi. ukija na analysis utasaidia watu wengi wajue kma ambowe kaweza ama hawezi uongozi full stop. so acha mipasho jikite kwenye hoja, ahsante.

Mimi sina uwezo wa kufanya analysis hiyo unayohitaji kwa vile sikupata fursa, serikali ya CCM haikunisomesha kam wewe ulivyosomeshwa na chama chako. Mipasho ndio niifahaamuyo kwani ni maisha yangu nimekuwa nayo. Kama unasema CCM ni mbaya inafanya vibaya unawezaje ukuausifia utawala wa Mbowe? Utalisifu gari kuwa linakimbia sana kwa vile linalifukuzia gari lililosimama kwa hitilafu? Wewe usomi wako unakwambiaje? Umeshawahi kuona abiria walioharibikiwa sehemu ambayo haina mji na ikitokea msaada wa chakula na chakula hicho kiwe cha aina moja kutoka kwa mpishi mmoja? Nini hutokea? Vipi ladha ya hicho chakula sifa yake huwaje? Sina uwezo wa kufanya hicho unachoita analysis kama wewe lakini walau naweza kukuambia kitu kikakufanya ufikiri zaidi. Gari zima likifukuzana na gari zima hapo ndipo utajua gari lipi lina mwendo zaidi. Wasomi ninyi kazi yenu ni kuleta ufumbuzi, sisi wwajinga kazi yetu ni kuwaletea ninyi upuuzi ili mfahamu ujinga wetu upo kiasi gani ili mtusaidie. Yawapasa mfikikri kwa akili na sio kwa hisia. Muwe wakweli na wenye msimamo unaoeleweka ili mtusaidie kufanya maamuzi sahihi. Mtuelekeze kukosoa panapostahili na kusifia panapostahili pia. Museme Kinana jangili, mseme Ole Sendeka alipata ziro na mtambua kuwa itikadi ya vyma hairekebishi uovu. Kinana kama leo ni jangili kesho ujangili hauwezi kumwisha kwa vile tu eti amehama chama. Kama fulani ana ziro basi ziro yake naye isemwe si tu kwa vile yuko chama kile ziro yake inafutika. Uadilifu wa mtu si kadi ya chama, uadilifu wa mtu mtu sigwanda au gamba. Taasisi adilifu inawezaje kuongozwa na mtu asiye muadilifu? Kama hiyo inawezekana basi sawa, mtu yeyote yule asiye muadilifu anayeongoza taasisi Fulani asihojiwe, aachwe. Kama mtu ambaye si muadilifu tunakubaliana hawezi kuongoza taasisi adilifu basi yeyote yule asiye muadilifu ahojiwe. Vyama vya siasa ni taasisi za umma, si mali ya mtu binafsi. Sio eti tuwahoji walio katika taasisi hii huku tukiwaaacha walio taasisi ile. Vyma vya siasa na mali ya watanzania wote na ndio maan katiba inawaruhusu kujiunga na chama chochote kile mtu atakacho na wakati wowote pasipo kuzuiliwa na mtu. Natamani na mimi ningekuwa msomi kama wewe labda ningeandika uzuri na kueleweka, tatizo serikali ya CCM ilituacha, heri yenu, mliojiunga upinzani mlipata bahati ya kusomeshwa na vyama vyenu!
 
duuh uzi mrefu umejaa mipasho asee. anyway swali langu ni kwamba kama mbowe ameshindwa uongozi mnatumia vigezo gani mbona takwimu zinaonyesh chama kinakua kila mwaka?? sasa nilitegemea uje na quality za uongozi then utuonyeshe kama mbowe hana au anazo alafu sasa utuonyeshe sababu kwanini unasema kashindwa kuongoza chama wakati kinakuwaa kila mwaka hapo utaeleweka mkuu kuliko hii mipasho haijengi lolote.
Unasema mbowe sio muadilifu kwa ushahidi upi? kwako wwe unafkiri kumchukua lowassa aliamua mbowe bila kushirikisha viongozi wengine wa chama?? na huo unaodai sio uadilifu umekiathiri vp chama na uongozi wake??. Masuala binafsi yawekwe pembeni hapa tunamzungumzia mbowe as a party chairman so njoo na hoja sio mipasho maana kwa umri wako u can do better than this.
 
inafurahisha. Bondia mmoja kafungwa mikono na mwingine anayepambana nae ulingoni hajafungwa kisha wanaambiwa wapambane ulingoni. Eti watu wanashangilia huyu aliyefungwa mikono kuwa kimya kwa kutorusha ngumi. Hapo tayari anajulikana ni nani anayetisha kabla hata ya matokeo.
 
duuh uzi mrefu umejaa mipasho asee. anyway swali langu ni kwamba kama mbowe ameshindwa uongozi mnatumia vigezo gani mbona takwimu zinaonyesh chama kinakua kila mwaka?? sasa nilitegemea uje na quality za uongozi then utuonyeshe kama mbowe hana au anazo alafu sasa utuonyeshe sababu kwanini unasema kashindwa kuongoza chama wakati kinakuwaa kila mwaka hapo utaeleweka mkuu kuliko hii mipasho haijengi lolote.
Unasema mbowe sio muadilifu kwa ushahidi upi? kwako wwe unafkiri kumchukua lowassa aliamua mbowe bila kushirikisha viongozi wengine wa chama?? na huo unaodai sio uadilifu umekiathiri vp chama na uongozi wake??. Masuala binafsi yawekwe pembeni hapa tunamzungumzia mbowe as a party chairman so njoo na hoja sio mipasho maana kwa umri wako u can do better than this.

Duh, sio kila mwananchi wa Tanzania ni msomi. Kama wewe ni msomi elewa mipasho yangu na ufanye tafsiri. Wewe unafikiri wasomi katika tafiti zao wanawahoji akina nani? Mbona unapenda kulishwa kama kinda la ndege? Riwaya kwani sio hiyo 'analysi, visa, mikasa navyo sio analysis? Kwani vitu hivyo vinamuhitaji mwenye ubongo mzuri kuelewa si lazima awe msomi. Sijamzungumzia mtu hata mmoja, nimetoa mifano! Umetaka tujaadili, mimi nimeanza na kupendekeza wazo kuu la mjadala, ishu kabla hatujaanza kushuka kwa watu. Ukikubali kuwa wazo kuu ni hili ndipo tuanze kujadili muktadha tulionao kwa ushahidi. Kama wewe msomi hunielewi nani atanisaidia mimi mjinga. Lakini pia wacha nijitahidi kufahamu kwa nini huelewi. Naomba nisiadie kitu, hivi hiyo unayoiita analysis ni nini? ni kitu gani? Naomba unieleze kwa Kiswahili.
 
mkuu niliexpect ujibu hoja kuwa lama shida ni uadilifu uneaffect vp leadership yake na chama kwa ujumla. Na nipe mfano wa mbowe kukosa uadilifu afu ndio tuujadili hapa. naona umesema eti kumchukua lowassa je unafkiri ni mbowe pekee aliamua sio viongozi wengine wa chama na viongozi wa UKAWA?? hoja umehamisha kutoka uwezo wake wa uongozi sasa tumehamia kwenye UADILIFU haya basi jibu maswali yangu hayo afu tuanzie hapo kuhusu uadilifu wa mbowe.
 
ambacho huelewi ni kuwa umetoka nje ya hoja wwe hoja yako original ilikiwa kwamba mbowe kashindwa uongozi chadema mie nikasema mbona statistics zinaonyesha chama kimekuwa zaidi ukakaa kimya??? nikaomba tena uweke hapa leadership skills na qualities tuone kama mbowe hana au anazo ukashindwa..... sasa umesema sio muadilifu nimeomba uweke hapa ushahidi wa kuwa sio muadilifu na vpi umeathiri chama na uongozi wake nayo umeshindwa.... umebaki na porojo pamoja na kejeli. Kama ccm wanapita humu mtandaoni they must be ashamed to have a member like u with such an empty mind
 
Kweli kabisa kichwa change kitupu na CCM wanaona aibu sana kuwa na mwanachama kama mimi hiyo sio ishu kama ambavyo wengine hawaoni aibu kuwa na chairman standard seven leaver nyakati hizi. Mimi sifahamu qualities za leadership ni nini ndio nataka wewe uniambie. Ulishaniambia kuwa sio elimu ni inborn skills, nimekubali. Nikakuambia tena mimi sina shule nieleweshe, hutaki kunielewesha unang'ang'ania nijadili vitu nisivyovijua. Umenitaka nifanye sijui analysis nimekuambia sijui, ila kwangu mboye ni kama mpishi anayepikia chakula watu walioharibikiwa na gari wasio na sehemu nyingine ya kula, watake wasitake watakula tu hivyo hatuwezi kusema huyo ni mpishi mzuri bali ni mpishi mwokozi. Kama tukitaka kujua ni mpishi mzuri kwa vigezo vya upishi tumshindanishe na wapishi wengine mambo mengine yakiwa sawa. Huo ndio mpasho wangu, hivyo vya analysis sivijui. Kwanza nimekuomba uniambie maana rahisi ya analysis kwa Kiswahili huwezi.

Unataka kupeleka mjadala kwenye majibu uliyopewa. Hakuna sehemu niliyomtaja Lowassa, hakuna. Kutokuwa muadilifu si kuwa Lowassa, wewe, mimi, yule. CCM, CHADEMA, CUF yeyote anaweza kutokuwa mwadilifu. Mojawapo ya vigezo vyangu mimi nivipendavyo katika uongozi ni uadilifu. Mimi situmii vigezo vya Fanyol sijui Fayol, natumia vigezo vyangu mimi mwenyewe wewe msomi ndio utaniambia vimetoka kwa nani. Ninachotaka tuuweke uadilifu mezani, tutambue vitendo ambavyo vinavunja uadilifu. Tukishavijua turudi kwenye uwanja, tuwaangalie viongozi wetu wa kitaifa pasipo kujali chama wala itikadi. Kama kuna tuhuma zenye chembechembe za ushahidi tuziorodheshe na kuwataka wazijibu kwani ni viongozi wetu na taasisi wanazoongoza na mali yetu. Sasa kama wewe msomi hulitaki hili sawa, lakini mimi kwaujinga wangu ndio naona haswa litafanikisha mojawapo ya nguzo za utawala bora ya uwazi na kuimarisha nyingine za uwajibikaji, usikivu, ukweli na litawaongezea uhalali wa wao kutuongoza kama wataweza kuzijibu vizuri kwa ufasaha tuhuma wanazotuhumiwa. Msomi wangu vipi? Mbona sasa naona kama vile unakasirika kwa kutoelewa kwangu? Si nshakwambia mimi ni mjinga? Mi mbona nimejitahidi kuelewa wewe kutoelewa?
 
wapeni nafasi ya kufanya siasa bila kuzuiwa then tutajua uwezo wao. sasa ninyi mmewazuia kufanya siasa then mnasenma hawana chao.tumieni akili ccm
 
mkuu niliexpect ujibu hoja kuwa lama shida ni uadilifu uneaffect vp leadership yake na chama kwa ujumla. Na nipe mfano wa mbowe kukosa uadilifu afu ndio tuujadili hapa. naona umesema eti kumchukua lowassa je unafkiri ni mbowe pekee aliamua sio viongozi wengine wa chama na viongozi wa UKAWA?? hoja umehamisha kutoka uwezo wake wa uongozi sasa tumehamia kwenye UADILIFU haya basi jibu maswali yangu hayo afu tuanzie hapo kuhusu uadilifu wa mbowe.

Kuna rafiki yangu mmoja Enzi hizo huko Rombo Mashati alikuwa anapenda sana kulitumia hilo neon lenye red akimaanisha labda. Naamini hata wewe ulikuwa na maana hiyo hiyo. Asante, umenikumbusha mbali sana.
 
Kweli kabisa kichwa change kitupu na CCM wanaona aibu sana kuwa na mwanachama kama mimi hiyo sio ishu kama ambavyo wengine hawaoni aibu kuwa na chairman standard seven leaver nyakati hizi. Mimi sifahamu qualities za leadership ni nini ndio nataka wewe uniambie. Ulishaniambia kuwa sio elimu ni inborn skills, nimekubali. Nikakuambia tena mimi sina shule nieleweshe, hutaki kunielewesha unang'ang'ania nijadili vitu nisivyovijua. Umenitaka nifanye sijui analysis nimekuambia sijui, ila kwangu mboye ni kama mpishi anayepikia chakula watu walioharibikiwa na gari wasio na sehemu nyingine ya kula, watake wasitake watakula tu hivyo hatuwezi kusema huyo ni mpishi mzuri bali ni mpishi mwokozi. Kama tukitaka kujua ni mpishi mzuri kwa vigezo vya upishi tumshindanishe na wapishi wengine mambo mengine yakiwa sawa. Huo ndio mpasho wangu, hivyo vya analysis sivijui. Kwanza nimekuomba uniambie maana rahisi ya analysis kwa Kiswahili huwezi.

Unataka kupeleka mjadala kwenye majibu uliyopewa. Hakuna sehemu niliyomtaja Lowassa, hakuna. Kutokuwa muadilifu si kuwa Lowassa, wewe, mimi, yule. CCM, CHADEMA, CUF yeyote anaweza kutokuwa mwadilifu. Mojawapo ya vigezo vyangu mimi nivipendavyo katika uongozi ni uadilifu. Mimi situmii vigezo vya Fanyol sijui Fayol, natumia vigezo vyangu mimi mwenyewe wewe msomi ndio utaniambia vimetoka kwa nani. Ninachotaka tuuweke uadilifu mezani, tutambue vitendo ambavyo vinavunja uadilifu. Tukishavijua turudi kwenye uwanja, tuwaangalie viongozi wetu wa kitaifa pasipo kujali chama wala itikadi. Kama kuna tuhuma zenye chembechembe za ushahidi tuziorodheshe na kuwataka wazijibu kwani ni viongozi wetu na taasisi wanazoongoza na mali yetu. Sasa kama wewe msomi hulitaki hili sawa, lakini mimi kwaujinga wangu ndio naona haswa litafanikisha mojawapo ya nguzo za utawala bora ya uwazi na kuimarisha nyingine za uwajibikaji, usikivu, ukweli na litawaongezea uhalali wa wao kutuongoza kama wataweza kuzijibu vizuri kwa ufasaha tuhuma wanazotuhumiwa. Msomi wangu vipi? Mbona sasa naona kama vile unakasirika kwa kutoelewa kwangu? Si nshakwambia mimi ni mjinga? Mi mbona nimejitahidi kuelewa wewe kutoelewa?
mkuu mbona hatuelewani vitu vidogo nimeshasema leta hizo hoja zinazoonyesha mbowe sio muadilifu ndio tuanzie hapo tena uje na ushahidi soo ngonjera zenu. analysis si uchambuzi ama hilo nalo unajifanya hukumbuki??. nasubiri uje na hizo hoja zako za kuwa mbowe sio muadilifu tuanzie hapo.
 
Kuna rafiki yangu mmoja Enzi hizo huko Rombo Mashati alikuwa anapenda sana kulitumia hilo neon lenye red akimaanisha labda. Naamini hata wewe ulikuwa na maana hiyo hiyo. Asante, umenikumbusha mbali sana.
haaahaaaa mkuu mi sio mchagga hapo nilimaanisha KAMA samahani kwa usumbufu
 
Kuna rafiki yangu mmoja Enzi hizo huko Rombo Mashati alikuwa anapenda sana kulitumia hilo neon lenye red akimaanisha labda. Naamini hata wewe ulikuwa na maana hiyo hiyo. Asante, umenikumbusha mbali sana.
haaahaaaa mkuu mi sio mchagga hapo nilimaanisha KAMA. samahani kwa usumbufu
 
mkuu mbona hatuelewani vitu vidogo nimeshasema leta hizo hoja zinazoonyesha mbowe sio muadilifu ndio tuanzie hapo tena uje na ushahidi soo ngonjera zenu. analysis si uchambuzi ama hilo nalo unajifanya hukumbuki??. nasubiri uje na hizo hoja zako za kuwa mbowe sio muadilifu tuanzie hapo.

Kwikwikwikwi, kumbe analysis ni uchambuzi. Mama akiwa anachambua mchicha nyumbani anafanya analysis, sisi akina baba lishe tukiwa tunachambua mchele tunafanya analysis, wngine humujf wakiwa wanachambua elimu za watu nani kasoma nani hajasoma wanafanya analysis. Wewe ukiwa unachambua viongozi wa juu wa chadema waliokikimbia chama, Zito, Arfi, Kitila, dr Slaa, unafanya analysis. Akina Saida Kaloli wakichambuliwa kama karanga nao wanafanyiwa analysis. Nimelipenda hili neon kwa kweli. Kwikwikwi, Ndalichako acha kuhakiki sifa za wasomi prof, wasomi wetu wako fiti sana. Asante sana kwa shule yako Mungu akubariki sana. Haya maelezo yako nimeyaelewa sana na mambo yooote uliyoyasema huko nyuma nimeyaelewa. Asante kwa kujitoa, Mungu akuongezee maarifa mara mia pale ulipochota kunipunguzia. Wewe aisee ni msomi uliyeiva, wengine wasingeweza kunifahamisha analysis maana yake nini kwa lugha rahisi ya akina yakhe, akina sisi. Japo umetumia nusu siku kuelezea analysis ni nini, lakini umejitahidi sanaaaaa!
 
dah ngoja nikuache tu naona hauko mzima kichwani sasa hoja zote umeshindwa kujibu unabaki na kung'ang'ania kaneno kamoja dah nmekudharau sana i thought u r a grown up kumbe some piece of shit..... dont quote my texts again
 
Wekeni uwanja Sawa wa Demokrasia muone nguvu ya Chadema...

Mmekalia kusigina Katiba ya Nchi na ndio mana mnapata laana ya Mungu mambo hayaendi nchi nzima.

Utawala wenu huu hauwezi kupata mafanikio kwenye jambo lolote.. Sekta zote ambazo JK alijaribu kuzinyanyua nyie ndio mmeziuwa kabisa.

Si mnasema anainyoosha nchi, sasa ivi mtabadili na kusema Nchi inamnyoosha yeye.
Hii post yako atajifanya haioni
 
Hahahahahahaaaaaa! Mwaka huu umeuza korosho kwa shilingi 4000 kwa kilo. Mwaka jana uliuza kwa shilingi 1200. Hapo vipi?
Acha kutufanyisha kiini macho kuuzwa bei hiyo Ni kutokana na uhaba wala sio jitihada zenu .....kawadanganyeni vijijini
 
dah ngoja nikuache tu naona hauko mzima kichwani sasa hoja zote umeshindwa kujibu unabaki na kung'ang'ania kaneno kamoja dah nmekudharau sana i thought u r a grown up kumbe some piece of shit..... dont quote my texts again

Hahahahaha, kijijini kwetu wanasema mtu mwenye busara huwa hakasiriki mjinga anapoongea, isipokuwa mwerevu aliyemzidi.
 
kwa hiyo wewe upo kazini sasa kujadili CHADEMA vyama vingine huvioni?
Huu ni wakati wa kuchapa kazi. Si porojo za kisiasa. Ndo maana hata wazee wetu Mangula na Kinana wapo benchi. Tunatekeleza kwanza ilani yetu. Mtusamehe tu kwani kwa hii mi
 
Back
Top Bottom