zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,567
- 40,649
haaahaaaa imebidi nicheke kidogo... anyway nashangaa unadoubt elimu yangu nifuate pm nikuwekee cv yangu na track record at my age and i dare u uweke yako . shida umeshaamua kujitoa kuitetea ccm iwe zuri au baya ndio maana mjadala huu hautoisha. muhim elewa kuwa elimu haiongezi intelligence ila inaongeza maarifa pekee hivyo kiongozi akiwa na zile skils tatu za leadership alizozitaja henry fayol then hahitaji kuwa ma elimu kubwa sana ili aweze kuperform vzuri mfano mbowe waweza oma ana ekimu ndogo ila kwa kuwa amedeliver then its all well and good afterall maamuzi hafanyi yye peke ake ila anasaidiwa na well learnt people kwenye chama so sioni kilichoharibika. ingekuwa chama chetu kinakufa kama APPT maendeleo au jahazi asilia then hapo ningeona kweli elimu ya mbowe ina affect chama upo hapo??Wewe una akili sana, una uelewa wa hali ya juu hasa kuhusu skills za leadership ambazo ni inborn, shule haina umuhimu. Kweli ccm iliangukia pua ndio maana wameiba mandate ya kuzuia mikutano ya siasa. Rais si Magufili wala, ipo siku walioshinda watakabidhiwa nchi yao sio? Halafu uelewa wako wa utawala wa sharia upo juu sana. Unakubali na kuelewa kuwa wengine wana haki ya kuvunja sharia kwa vile ashki zao na zako zinawataka wafanye hivyo na wakifanya hivyo kwa kuwa ni wao na LHRC hakuna tatizo, hapo hakuna katiba wala sharia ya nchi. Wewe ni mchambuzi mzuri sana na kama chama kitakutumiavizuri utawafikisha mbali sana ni haya maono yako ya ki lay man, kwani ni 'very inborn' kabisa. Nimependa sana mchango wako wa kuwailimtu ashindwe katika uchaguzi ni lazima apitwe kwa mamilioni ya kura, kura mbili si kitu chochote katika demokrasia. Bravo, keep it up dogo kwani una naturally inborn skills. Kile kitabu cha historia darasa la tano umekielewa vizuri sana, hongera
kuhusu LHRC ni kwamba wanajunuisha matokeo tu for thr own good kama ambavyo ccm walikuwa mlimani city wakijumuisha matokeo yao sasa iwaje ccm waachwe afu ukawa na LHRC wakamatwe?? na je kama mlijua mmeshinda kihalali sasa si ndio mngefurahi kuwa hata wapinzania wenyewe wangethibitisha ushindi wenu?? mlikuwa mnaogopa nini??. muhim jua kuwa mnaongoza kwa kuwa viongozi wa upinzani ni wapenda amani ila wangekuwa walafi wa madaraka lazma mwaka jana wangeamrisha wapiga kura zaidi ya 8 millon walionchagua mgombea urais wetu waingie mtaani trust me leo hii ccm ingekuwa historia hapa tanzania so msijifanye nyie ndo mnaa akili sana la hasha ni udiplomasia wa wapinzani.