Chadema hawajakiuka maadili?

Mbona Waislam kupitia masheikh wao hawakutoa tamko? au wewe ndo wamekutuma uje utoe tamko?

Anatupotezea muda tu huyu,tujadili vitu vingine vya maana mtu mgumu kuelewa kama nini,masheikh ni wa elewa yeye asiyeujua uislam bado anang'ang'aniza utumbo...to hell
 
kama unadai cdm hawakufuata misingi ya dini,basi umetuhakikishia kuwa si wadini. Tunashukuru.
 
Mnakuja huku na majina tofauti na kila aina za hila mkitumwa na bwana wenu Makamba na wenzake. CCM na serikali yake ndio ilifanya mauaji na kwa taratibu za sheria vifo kama vile lazima viwe na postmortem etc ili baadae kuwe na ushahidi wa kisheria incase kama kuna watu wa kujibu mashtaka ya mauaji. Hivyo cheti cha kifo lazima kithibitishwe kwa pande zote! Taratibu hii inachukua muda. Sio chadema waliosema maiti zichukuliwe tarehe 12 Januari na kwenda kuzikwa bali ni polisi na mamlaka nyingine za nchi ili wajilizishe na sababu za kifo na mambo mengineyo kwa ajili ya sheria kuchukua mkondo hata kama wakichakachua. Ndio maan postmortem lazima ndugu wawepo na wakiweza wanaweka daktari wao pi.

Hivyo sio kila maiti ya kiislamu inazikwa ndani ya masaa 24!! Ipo mifano mingi na kama unataka ujue sema..

Jaribuni kufikiri kwenye ubongo badala ya makalioni!!!
tatizo si mauji hapa. tatizo maiti kucheleweshwa kuzikwa kungojea wengine huku maadili ya dini husika hayakuzingatiwa. kwani hata uwe kiongozi gani hutakiwi kuwekwa siku zote hizo bila ya kuzikwa
 
Anatupotezea muda tu huyu,tujadili vitu vingine vya maana mtu mgumu kuelewa kama nini,masheikh ni wa elewa yeye asiyeujua uislam bado anang'ang'aniza utumbo...to hell

Kuna lijamaa humu humu lilikuwa libishi kuelewa kama huyu linaitwa Maralia Sugu limekula kifungo cha maisha
 
tatizo si mauji hapa. tatizo maiti kucheleweshwa kuzikwa kungojea wengine huku maadili ya dini husika hayakuzingatiwa. kwani hata uwe kiongozi gani hutakiwi kuwekwa siku zote hizo bila ya kuzikwa

Ndiyo nakueleza kuwa maiti ya mauaji na maiti ya natural cause yaani magonjwa taratibu ni tofauti!!! Ukiumwa kipindu pindu na kupelekwa hosptitali ukafa unachukuliwa muda huo huo maana sababu ipo wazi!! Lakini ukipelekwa hospitali na majeraha na ukafa mpaka ripoti ya polisi itoke ndio maiti inaruhusiwa kwenda kuzikwa!!! Ndio maana hata ukijeruhiwa na ukaenda hospitali lazima uwe na fomu namba 3 ya polisi (PF 3) ili uweze kutibiwa!!

Wanaowatuma waambieni kidogo wawe wanawapeleka shule.. nashangaa bosi wenu Makamba kidogo mwanae kasoma kwa nn asimuelimishe baba yake? anamuacha na kanundu tu..!!
 
Walaamu hao viongozi wa msikiti walio kubali mwili usaliwe humo na si CHADEMA kama unavyo taka kutuaminisha
unajua hapa swala la kuwekwa siku nyingi huku wakingoja maziko ya kitaifa. sidhani kama kulikuwa na hoja ya msingi kuweka mweili wa mtu ambae imani yake inamkataza kukaa siku nyingi kabla ya kuzikwa? jee wangalizika hiyo baadae yakaja maombelezi ya kitaifa pangalikuwa na kosa?
 
tusicheze na imani za dini, naamini chadema wamekosea, inaweza ikaomba radhi

Umejitahidi kujibu hoja licha ya kushambuliwa, tatizo la sisi watu weusi hatutaki hasa watanzania kujielimisha na kuelewa mila za upanda mwingine. The only stuff we know is how to insult and humiliate the other side. I know they do the same in Israel, when Jews die they bury them right away, regardless if its natural death or war and bombing.
 
Ndiyo nakueleza kuwa maiti ya mauaji na maiti ya natural cause yaani magonjwa taratibu ni tofauti!!! Ukiumwa kipindu pindu na kupelekwa hosptitali ukafa unachukuliwa muda huo huo maana sababu ipo wazi!! Lakini ukipelekwa hospitali na majeraha na ukafa mpaka ripoti ya polisi itoke ndio maiti inaruhusiwa kwenda kuzikwa!!! Ndio maana hata ukijeruhiwa na ukaenda hospitali lazima uwe na fomu namba 3 ya polisi (PF 3) ili uweze kutibiwa!!

Wanaowatuma waambieni kidogo wawe wanawapeleka shule.. nashangaa bosi wenu Makamba kidogo mwanae kasoma kwa nn asimuelimishe baba yake? anamuacha na kanundu tu..!!
bado hujajibu hoja, cuf walikufa ktk mapambano ya polisi, nakumbuka hata mauji ya mwembechai ni hivyo hivyo sawa na haya ya arusha. lkn huko kote yalifanyika haraka tofauti na arusha.
 
unajua hapa swala la kuwekwa siku nyingi huku wakingoja maziko ya kitaifa. sidhani kama kulikuwa na hoja ya msingi kuweka mweili wa mtu ambae imani yake inamkataza kukaa siku nyingi kabla ya kuzikwa? jee wangalizika hiyo baadae yakaja maombelezi ya kitaifa pangalikuwa na kosa?

Peleka hili wao kwa maimamu wako!
 
unajua hapa swala la kuwekwa siku nyingi huku wakingoja maziko ya kitaifa. sidhani kama kulikuwa na hoja ya msingi kuweka mweili wa mtu ambae imani yake inamkataza kukaa siku nyingi kabla ya kuzikwa? jee wangalizika hiyo baadae yakaja maombelezi ya kitaifa pangalikuwa na kosa?

Unamaanisha kuwa viongozi wengi wa kiislam hawajui kanuni za kiislam mpaka wakaruhusu shujaa aingizwe msikitini, kwa wakiristo kama mtu hajabatizwa haingizwi kabisa kanisani.
 
kweli wewe unashangaza, umeshasema dharua, hii nayo ni dharura na kijana aliyefariki ilkuwa ni muhimu kugwa kishujaa, kwani Omar Ali Juma alikaa siku ngapi? sasa nimeelewa nia yako ni kutaka kuonesha Chadema hawajui maadili ya kiislam. umenoa kwa taarifa yako CHADEMA ni chama cha siasa sio taasisi ya dini.
 
Umejitahidi kujibu hoja licha ya kushambuliwa, tatizo la sisi watu weusi hatutaki hasa watanzania kujielimisha na kuelewa mila za upanda mwingine. The only stuff we know is how to insult and humiliate the other side. I know they do the same in Israel, when Jews die they bury them right away, regardless if its natural death or war and bombing.

unajua watu wanadhani chadema ni malaika. kila kitu wapo ok. hata wakimsalia maiti ya kikiristo msikitini na ya muislam kanisani hapa jf wataonekana sio tatizo
 
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?
haya basi wamekosea toa adhabu basii...
 
kweli wewe unashangaza, umeshasema dharua, hii nayo ni dharura na kijana aliyefariki ilkuwa ni muhimu kugwa kishujaa, kwani Omar Ali Juma alikaa siku ngapi? sasa nimeelewa nia yako ni kutaka kuonesha Chadema hawajui maadili ya kiislam. umenoa kwa taarifa yako CHADEMA ni chama cha siasa sio taasisi ya dini.

sote tunajua ni taasisi ya kisiasa. lkn linapokuja swala la imani huwa hatuangalii siasa. hata viongozi wetu wakuu wakifa jukumu la nchi pale huondoka na hupewa familia. ndio maana hata dk Omar Juma alizikwa Pemba sio Dar kama inaglikuwa imani ya gov anaglizikwa Kisutu.
 
Unamaanisha kuwa viongozi wengi wa kiislam hawajui kanuni za kiislam mpaka wakaruhusu shujaa aingizwe msikitini, kwa wakiristo kama mtu hajabatizwa haingizwi kabisa kanisani.
kama shujaa hata marehemu karume hakukaa 1 week
 
Back
Top Bottom