OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Mkuu upo sahaihi hapo kwenye RED, Sijui kwa nini hili swala lije muda huu wakati utaratibu upo wazi. Kushindwa kwa CAG kufanya kazi zake isiwe adhabu kwa vyama vya siasa.
Mwali kama nakuelewa vizuri unamaanisha kwamba kama Chadema hawajakaguliwa na CAG basi audit youote iliyofanyika kwa wao wenywwe kuhire auditor ni sawa na kutokukaguliwa?
Wapi CDM wamesema kua wamekaguliwa na CAG? mbona unapindisha mambo? Walichosema ni kua wao hesabu zao zipo vizuri sijasikia popote pale wamesema wamekaguliwa na kwa kufuata sheria, nilichomsikia komu jana ni kua CAG alitaka chadema watumie mkaguzi mwingine kwa gharama zao na CDM hawataki hii kitu kwa kua sheria inasema kua CAG ndo anatakiwa akague, kwa hiyo KOMU akasema toka wakati huo hawajakaguliwa na CAG ila awanatumia wakaguzi wao wa ndani kufanya ukaguzi.
He inadvertently puts himself and the registrar in a compromising situation while missing his target which is obviously CHADEMA5. Zitto na kamati yake walishawasiliana na ofisi ya msajili kujua ni kitu gani kimewasilishwa huko, lini na katika hali gani (kama mahesabu yako audited au la)?
Daktari anapokuwa muongo.......Ukaguzi wa hesabu za Chadema unafanywa na Mtei Auditing Company Ltd.
...samahani, mimi nilidhani wanaokagua wamesomea kazi yao? una maana wakaguzi ni aina ya NasDaz?Hapo kwenye RED ni porojo za kisiasa...danganyaneni wenyewe kwa wenyewe. Na pesa zote zipi? Including ile michango ya papo kwa papo kama ile through M4C? Wewe binafsi unafahamu huwa zinakusanywa kiasi gani? Utafahamu vipi matumizi kabla hujafahamu mapato?
Mwita kwa sheria za Nchi ni sawa na kutokukaguliwa, labda kama huyo Auditor aliwekwa na CAG! Huyo ndo utaratibu!
Kama sijakuelewa vema kwenye bandiko lako... Unamanisha kuwa CAG ndio mwenye mamlaka ya kukagua mahesabu ya hela yote ya umma... Natamani kujua zaidi,ni nani kati ya vyama na CAG anatakiwa kuwajibika kwenye sakata hili? Kwanini awajibike? Majibu hayo yatanipa mwanga wa nani anasema ukweli kati ya Kamati(Zitto) na Vyama...
...sasa hapo tatizo lako ni nini dada. Zitto aliishia kwenye ruzuku wao wakamkumbusha sheria yote, bado hutaki tu?Sio msimamo wa chadema. Ndio sheria inasema hivo na Mwanaukweli amesha tufafanulia. Sema chadema wameamua kuunga mkono sheria. Bahati mbaya sikuona hiyo taarifa huku hakuna umeme. Kama walisema hivo basi my assumption kua hawajui sheria is correct maana hawawezi kupendekeza kitu ambacho tayari ni sheria na kusema eti ndio mapendekezo ya chama. Si waseme tu kua chama kinapendekeza sheria iwe applied. Nani alisema hapo itv? Soma sheria kwanza:
18A. Notwithstanding the provisions of sections 14 and 18, every political party receiving subvention in accordance with this Act shall, not later than 3151 October every year, submit to the Registrar financial statements and audited accounts reflecting any other source of funds and details regarding the manner in which such funds were used." (became law in 2009)
Mkuu Ben Saanane
Swala hapa sio siasa hatutaki maneno tu. Jana nilisikiliza kwa makini na nimesoma sehemu mbali mbali. Na nimegundua kuwa kuna madudu mengi sana kwenye vyama vya siasa wanatumia vibaya pesa zetu.
Ninawaomba tumwache Zitto afanye kazi yake.
Katika yale niliyosoma nimegundua kuwa:- Vyama vya siasa wanatafuta mkaguzi wao wenyewe halafu anathibitishwa na CAG. Kwa mujibu wa suala hili CDM hawajafanya hivyo nivyama viwili tu vilivyo fanya hivyo ni TLP na CCM.
Lakini hata vivyo TLP na CCM pamoja na mkaguzi wao kuthibitishwa na CAG hawajapeleka ukaguzi wa hesabu zao.
Sasa nikuulize Ben na unijibu je CDM hawanakosa? na kwanini sasa wasikaguliwe na CAG kwa sababu wameshindwa kutafuta mkaguzi wao wenyewe?
CDM wanasema hawana pesa za kumlipa mkaguzi!!!! Zitto aliwajibu hapo wana bwabwaja kikundi kidogo cha Tumbaku kinakuwa na mkaguzi iweje wao?
Tuache mahaba na vyama yanapokuja mambo serious ya pesa zetu tunazokatwa kwenye kodi (PAYE).
Kwi kwi kwi kwi FaizaFoxy njoo unithibitishie hii habari
Nikuulize maswali.Pamoja na kumtaja Zitto kwenye bandiko lako ukitaka aachwe afanye kazi yake,napata impression kwamba watu wengi wanamsifia Zitto kwenye hili,lkn amini amini nawaambieni,hapa bosi wangu Zitto,naibu katibu mkuu,hakuna anachowaambia watanzania,kwa walio makini bado hajaji-exonarate from mistake.yeye ni mtendaji ktk chama,je gakuwahi kuliona hilo kwenye chama anachokiongoza?iweje akae kimya kwa muda wote huo kama nia yake kweli ni kutetea maslahi ya umma?au jambo hili pamoja na umuhimu wake ktk kujua matumizi ya fedha za walipa kodi,lkn ana maslahi nalo binafsi?let us think twice.
Nikuulize maswali.
1. Je unataka Zitto akae kimya kwa sababu yeye ni katibu msaidizi wa CHADEMA?
2. Je unajuaje kama Zitto jitihada zake ndani ya kukinusuru chama hazijazaa matunda?
3. Je nani unataka nani aseme sasa kuhusu ubadhilifu wa pesa zetu ndani ya vyama vya siasa?
4. Je Zitto kaongea uongo au kweli?
Ukinijibu maswali hayo nitakuona wewe ni GT.