CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
7,012
Reaction score
5,613
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...

Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.

Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:

-Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
-Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.

Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media.

But a fact is a fact: Chadema hawajakaguliwa. Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi... au mimi sijui kidhungu???

14. -(1)-Every political party which has been fully registered shall--a) maintain proper accounts of the funds and property of the party;-b)-submit to the Registrar-–"(i) an annual statement of the account of the political party-audited by the Controller and Auditor-General-and the report of the account." (This became law in March, 2009)ii) an annual declaration of all the property owned by the party.(2) The Registrar, after inspecting any accounts or report submitted pursuant to this section may, for the benefit of the members or the public, publish any matter relation to the funds, resources or property of any party or the use of such funds, resources or property.(3)-The Registrar shall publish in the official Gazette, an annual report on the audited accounts of every party.​
 
Kumbe Mwali na wewe unakuwaga na 'pwenti' eenh! Hii ngonjera itafika tu mwisho, mwongo na mkweli watajulikana..tatizo letu waTanzania tukishamjua mkweli tunamshangilia, na mwongo tunamzomea..basi, hatuchukui hatua!
 
Last edited by a moderator:
CAG amefika ofisi za CHADEMA kufanya wajibu wake???.Nikufahamishe CAG anatakiwa kukagua yeye au ku-outsource kama capacity haitoshi.Kama CAG hakupanga auditor wa kukagua vyama unategemea nini.Angalau CDM wameonyesha Good governance kwa kuweka mahesabu wazi ingawaje hayajakaguliwa. nikazi ya msajiri kuzikataa hesabu zisizokaguliwa lakini kitendo cha kuzipokea na kukaa kimya maana yake ACCEPTANCE
 
Kinachonikera ni wale wanaojifanya siku zote wana uchungu na nchi na huchukia UFISADI wa fedha za UMMA wako mstari wa mbele kuhalalisha uharamia huu wa vyama vya siasa! Huu ni unafiki, undumilakuwili na upuuzi first class!
 
Kumbe Mwali na wewe unakuwaga na 'pwenti' eenh! Hii ngonjera itafika tu mwisho, mwongo na mkweli watajulikana..tatizo letu waTanzania tukishamjua mkweli tunamshangilia, na mwongo tunamzomea..basi, hatuchukui hatua!

Hahahaha, mi hua naingia jf kupoteza muda tu. Ila from time to time I come to stir the sh*t jukwaa la siasa then nasepa. Ila umeongea ukweli. Ushabiki wetu kwa vyama au kwa viongozi make us miss the picture sometimes. Kama hili swala la ruzuku sio la kisiasa ila wamesha anza kulitumia kisiasa... as my blind friend uses to say: let's see how it goes
 
Last edited by a moderator:
Mwali ,

Chadema wanaweza kuwa wamepeleka Audited Financial Statement kwa msajili lakini mkaguzi akiwa ameteuliwa na wao na sio CAG kama sheria inavyotaka.

Mkaguzi wa fedha za umma lazima ateuliwe na CAG.Swali la msingi pia msajili anawezaje kupokea hesabu ambazo hazina Audit Report ya CAG? Msajili anapokea tu hesabu bila kuhakikisha sheria zimefuatwa?
 
Last edited by a moderator:
Kupeleka tu mahesabu inaonyesha kwamba wanajua wajibu wao.
Bila shaka umemsikia CAG anasema kwamba hana fungu la kufanyia audit vyama vya siasa.
Kwahiyo kwa namna yoyote ile Chadema haiwezi kulaumiwa,labda sasa ni muda muafaka bunge litenge bajeti ya kufanyia audit vyama vya siasa kwakuwa kwa kufanya hivyo ndipo mzizi wa fitna utakuwa umekatwa.

Kwa wale ambao vitabu vyao ni vichafu hata hizo audited report wanazodai kuwa nazo hazijafikishwa ofisini kwa msajili kwahiyo hata wao ccm hawajakaguliwa. #FACT
 
Mwali ,

Chadema wanaweza kuwa wamepeleka Audited Financial Statement kwa msajili lakini mkaguzi akiwa ameteuliwa na wao na sio CAG kama sheria inavyotaka.

Mkaguzi wa fedha za umma lazima ateuliwe na CAG.Swali la msingi pia msajili anawezaje kupokea hesabu ambazo hazina Audit Report ya CAG? Msajili anapokea tu hesabu bila kuhakikisha sheria zimefuatwa?

Hizi ndizo swali najiuliza. Kwa mijibu wa sheria hii lazima wakaguliwe na mkaguzi alie teuliwa na CAG. Kama wanajikagua wenyewe hakuna uhakika wowote. Sio kwamba nawadhania vibaya, ila one never knows. Na ndio maana sheria inataka wapangiwe mkaguzi.
Haya tukija swali la pili nalo, hizo hesabu zilipokewaje na msajili? Je msajili alizipokea kama just for his information au alizipokea kama audited report?
Narudia tena: kwa mujibu wa sheria ya vyama Chadema haijakaguliwa.
 
Last edited by a moderator:
Kama inaelekeza kisheria kuwa CAG ndiye mwenye mamlaka ya kufanya ukaguzi kwanini hakufanya hivyo? je, CHADEMA walikataa wasikaguliwe na CAG?

Mimi nadhani kuna upotoshaji, na kuna mpango wa kuhamisha mawazo ya watu makusudi kutoka kwenye kujadili Mswada wa Katiba mpya, badala yake tunajadili jambo ambalo kama sheria iko wazi linaweza kufanyika.
Kimsingi hakuna chama ambacho kimekataa kukaguliwa, vyama vyote wanahoji inakuwaje vyama vijikague vyenyewe? Kama utaratibu utawekwa wazi siyo ccm wala chadema, vyote vitakaguliwa kwa mujibu wa sheria za ukaguzi.
 
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...
Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.
Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:
Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.
Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media. But a fact is a fact: chadema hawajakaguliwa.
Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi...

Ooh! Ni nini mandate ya msajili kulingana na sheria hiyo?

Huyo Auditor umejuaje kama sio Accredited?

Halafu kama ndivyo unavyosema then kosa hapa ni la CHADEMA,Registrar au CAG?
 
Kama sijakuelewa vema kwenye bandiko lako... Unamanisha kuwa CAG ndio mwenye mamlaka ya kukagua mahesabu ya hela yote ya umma... Natamani kujua zaidi,ni nani kati ya vyama na CAG anatakiwa kuwajibika kwenye sakata hili? Kwanini awajibike? Majibu hayo yatanipa mwanga wa nani anasema ukweli kati ya Kamati(Zitto) na Vyama...
 
Kupeleka tu mahesabu inaonyesha kwambs wanajua wajinu wao.
Bila shaka umemsikia CAG anasema kwamba hana fungu la kufanyia audit vyama vya siasa.
Kwahiyo kwa namna yoyote ile Chadema haiwezi kulaumiwa,labda sass ni muda muafaka bunge litenge bajeti ya kufanyia audit vyama vya siasa kwakuwa kwa kuganya hivyo ndipo mzizi wa fitna utakuwa umekatwa.

Kwa wake ambao vitabu vyao ni vichafi hats hizo audited report wanazodai kuwa nazi hazijafikishwa ofisini kwa msajili kwahiyo hats wao ccm hawajakaguliwa. #FACT

Ccm ndio kabisaaaaa, hata internal audit sijui kama ipo.
Mi sijasema kua kosa la kukaguliwa au kutokaguliwa ni la chadema. Ila ninachosema ni kwamba chadema wasiseme wamekaguliwa wakati hawajakaguliwa. Waseme kua wako tayari kw ukaguzi wakati wowote.
Taarifa wanazo leta kukanusha kauli ya kutokaguliwa zinazidi kuoneaha namna ambavyo hawajakaguliwa.
 
CAG amefika ofisi za CDM kufanya wajibu wake???.Nikufahamishe CAG anatakiwa kukagua yeye au ku-outsource kama capacity haitoshi.Kama CAG hakupanga auditor wa kukagua vyama unategemea nini.Angalau CDM wameonyesha Good governance kwa kuweka mahesabu wazi ingawaje hayajakaguliwa. nikazi ya msajiri kuzikataa hesabu zisizokaguliwa lakini kitendo cha kuzipokea na kukaa kimya maana yake ACCEPTANCE

Si nimeanza kwa kuwapongeza kwa kua tayari? Ila lazima tuseme tu ukweli, kukaguliwa hawajakaguliwa. CAG Hajafanya kazi yake, sio kosa la vyama. But isiwe sababu ya byama kupiga kifua na kusema "sisi tumekaguliwa" wakati bado hawajakaguliwa.
Sasa waunge mkono harakati ya vyama kukaguliwa ili tujue 64bln zi.eenda wapi na kwanini
 
Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua?
Nadhani haya ndio masuala ya msingi. Kwa nini CAG hajakagua mahesabu hayo wakati yapo? Kanuni zinasemaje kama CAG hajakagua/ameshindwa kukagua? Chama ambacho mahesabu yake yanatakiwa kukaguliwa, kinatakiwa kufanya nini (kwa mujibu wa kanuni) endapo CAG ameshindwa kukagua mahesabu yake kwa wakati? Kwa mujibu wa kanuni, ni muda gani CAG amepewa kukagua mahesabu na kutoa report yake?
 
Mwali umeongelea chadema at large, ni ukweli usiopingika kuwa sheria imekuwa overlooked. Nashangaa ccm, chama kongwe ambacho kimekula ruzuku kwa kujichotea hadi ikafika kupiwa nao hawakujua kama kuna hii kitu. Ignorance of the law is no excuse, wameeleweshwa na sasa tuone kifuatacho. Kama kuna hati chafu zitolewe na tuone atakaejitakasa ili tuongeze imani.

Vyama vyote vikiongozwa na ccm viitwe kufanya yawapasayo. Hizi propaganda na mipasho za sio cag, kamati ya bunge wala vyama hazitatusaidia.
 
Mwanaccm Mwali naona unachanganya soasa za majitaka na ukweli.
Kama unatambua kuwa CAG ndiye anapaswa kuvikagua vyama vya siasa for this case Chadema, Una taarifa yoyote kwamba alimtuma mkaguzi toka ofisini kwake AMA alimteua mkaguzi(outsource) lakini Chadema wakakataa jumps ushirikiano?

Kama wamewwka wazi ripoti Yao ya fedha hats kama haijakaguliwa na CAG kwanini CAG labda na msajili wasianzie halo na kuonyesha mapungufu kama yapo?

Mwali hivi unafikiri unaweza kuinasua ccm na kadhia hii kwa kujaribu kuipaka matope Chadema? Na wananchi wanataka CAG akague fedha tote asioshie kukagua ruzuku peke take, na kwahakika ndivyo sheria ya vyama vya siasa inavyotaka less yoyote inayopokelewa na chama cha siasa lazima ikaguliwe.
 
Last edited by a moderator:
Ccm ndio kabisaaaaa, hata internal audit sijui kama ipo.
Mi sijasema kua kosa la kukaguliwa au kutokaguliwa ni la chadema. Ila ninachosema ni kwamba chadema wasiseme wamekaguliwa wakati hawajakaguliwa. Waseme kua wako tayari kw ukaguzi wakati wowote.
Taarifa wanazo leta kukanusha kauli ya kutokaguliwa zinazidi kuoneaha namna ambavyo hawajakaguliwa.

Mwali kama nakuelewa vizuri unamaanisha kwamba kama Chadema hawajakaguliwa na CAG basi audit youote iliyofanyika kwa wao wenywwe kuhire auditor ni sawa na kutokukaguliwa?
 
Ooh! Ni nini mandate ya msajili kulingana na sheria hiyo?

Huyo Auditor umejuaje kama sio Accredited?

Halafu kama ndivyo unavyosema then kosa hapa ni la CHADEMA,Registrar au CAG?

Mi sijasema kua kosa ni la chadema. Nimesema tu Chadema haijakaguliwa. Kaka wewe ni msomi naomba urejee kipengele #14 na unambie kama chadema walifuata hiyo sequence.

Tatizo ni kua over defensive, people end up missing on opportunities. Chadema ipo ahead of all other parties in this matter, but wamekwama katika kujitetea kua wamekaguliwa. Wakubali tu kua hawajakaguliwa ila wanaomba ukaguzi uje haraka kwao na kwa vyama vingine. Then wapeleke hii agenda bungeni. Kwani kuna ubaya gani kufanya hivo?

14. -(1)-Every political party which has been fully registered shall--a) maintain proper accounts of the funds and property of the party;-b)-submit to the Registrar-–"(i) an annual statement of the account of the political party-audited by the Controller and Auditor-General-and the report of the account." (This became law in March, 2009)ii) an annual declaration of all the property owned by the party.(2) The Registrar, after inspecting any accounts or report submitted pursuant to this section may, for the benefit of the members or the public, publish any matter relation to the funds, resources or property of any party or the use of such funds, resources or property.(3)-The Registrar shall publish in the official Gazette, an annual report on the audited accounts of every party.
 
Ooh! Ni nini mandate ya msajili kulingana na sheria hiyo?

Huyo Auditor umejuaje kama sio Accredited?

Halafu kama ndivyo unavyosema then kosa hapa ni la CHADEMA,Registrar au CAG?

Mkuu Ben Saanane
Swala hapa sio siasa hatutaki maneno tu. Jana nilisikiliza kwa makini na nimesoma sehemu mbali mbali. Na nimegundua kuwa kuna madudu mengi sana kwenye vyama vya siasa wanatumia vibaya pesa zetu.
Ninawaomba tumwache Zitto afanye kazi yake.

Katika yale niliyosoma nimegundua kuwa:- Vyama vya siasa wanatafuta mkaguzi wao wenyewe halafu anathibitishwa na CAG. Kwa mujibu wa suala hili CDM hawajafanya hivyo nivyama viwili tu vilivyo fanya hivyo ni TLP na CCM.

Lakini hata vivyo TLP na CCM pamoja na mkaguzi wao kuthibitishwa na CAG hawajapeleka ukaguzi wa hesabu zao.


Sasa nikuulize Ben na unijibu je CDM hawanakosa? na kwanini sasa wasikaguliwe na CAG kwa sababu wameshindwa kutafuta mkaguzi wao wenyewe?

CDM wanasema hawana pesa za kumlipa mkaguzi!!!! Zitto aliwajibu hapo wana bwabwaja kikundi kidogo cha Tumbaku kinakuwa na mkaguzi iweje wao?

Tuache mahaba na vyama yanapokuja mambo serious ya pesa zetu tunazokatwa kwenye kodi (PAYE).
 
Back
Top Bottom