Chriskisamo
Senior Member
- Dec 21, 2011
- 166
- 38
ivi ilani yenu ya uchaguzi mmeimaliza?
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Dr Slaa ana mke jamani, naona mnajigonga sana kwake, na ataendelea kuwa mwiba kwenu mpaka kielewekeWaanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
Usifikilie kwa kutumia ------ mjusi wewe. Unatuletea issue za udini hapa. N ulaaniwe na Mungu wako unayemwamini. Na inaeelekea wewe unauhusika na wizi wa pembe z ndovu. Watu wanadiscuss Mambo ya maana wewe unaleta udini. Nakuambia nakulaan na utalaanikaHakuna wa kumuogopa. Bali kwa masilahi ya ujenzi wa demokrasia, si mtu sahihi kwa wakati kwa.sababu hana jipya bali anajifunza uongozi. Si mkweli kinyume na utashi wa wakati huu. Pia ni mpenda sifa na kwa sasa anadhani yeye ni zaidi Chadema kwa sababu tu, kwamba yeye ndiye mbeleko ya matumaini ya wakristo wanaoiunga mkono Chadema kama ilivyotokea 2010. Zaidi ya hilo hana jipya .
Usifikilie kwa kutumia ------ mjusi wewe. Unatuletea issue za udini hapa. N ulaaniwe na Mungu wako unayemwamini. Na inaeelekea wewe unauhusika na wizi wa pembe z ndovu. Watu wanadiscuss Mambo ya maana wewe unaleta udini. Nakuambia nakulaan na utalaanika
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.
Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Na nyie mkiwaondoa hawa 1.nape 2.mwigulu.kinana 3.lukuvi mtafika angalau 2014
Dr Slaa ana mke jamani, naona mnajigonga sana kwake, na ataendelea kuwa mwiba kwenu mpaka kieleweke
Ndio maana usalama wa taifa wote ni wazee wa vipedo, akitoka magogoni mshikaji wenu tutaona mtakimbilia wapiDr. Kanjanja si mwiba si chochote. Sana sana mnamtumia kama dodoki. Hana thamani zaidi ya kubeba matumaini ya wakristo ambao imethibitika bila ya shaka kuwa wameingizwa mkenge na wachagga ambao baada ya kubaini kuwa mbeleko ya Chadema haiwezi kuwapeleka kokote ndo maana wakaingiza gia ya udini ambayo inaonekana kufanikiwa.
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
unaugonjwa unaoitwa zittoslaambowelisuphobia unaoambukizwa na kirusi kiitwacho ccmism shenzitypists
Nlidhani kuna hoja ya msingi ktk pendekezo lako lkn nimejikita nakuona u msaliti kwa mabadiliko ya kweli.
Yaani unataka kutuaminishinisha TUHUMA za kina Mwampamba na Shonza? You are not serious at all, I repeat; YOU ARE NOT SERIOUS!
Mtaje basi kuwa saa7 ndio kirusi.
Sent from my GT-S7562 using Tapatalk 2
Dr. Kanjanja si mwiba si chochote. Sana sana mnamtumia kama dodoki. Hana thamani zaidi ya kubeba matumaini ya wakristo ambao imethibitika bila ya shaka kuwa wameingizwa mkenge na wachagga ambao baada ya kubaini kuwa mbeleko ya Chadema haiwezi kuwapeleka kokote ndo maana wakaingiza gia ya udini ambayo inaonekana kufanikiwa.