CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

Mleta mada anatafuta mume! , taarifa , dr. Slaa , mbowe, lissu, na tare wote wana wake zao,!
 
Huu ni uthibitisho kuwa hawa watu ni hatari kwa ccm. "Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe". Hawatoki mpaka mwaka
 
Sikujua kama hawa watu ni mwiba kiasi hiki!
 
kumbe kuna watu bado mna uccm pamoja na maisha magumu yaliyosabishwa na ccm? inaonyesha hawa ndio tishio kwenu eeeh. poleni sana watanzania wasasa sio wajinga kama wa wazamani.
 
Kumbe mimi masikini?!!!

Nilikuwa sijui!!!

Maskini wa fikra. Kutwa kucha unamjadili Dokta Slaa. Huna kingine unachoweza kujadili. Huo ni umaskini wa Fikra. Mawazo yako ni mgando.. Akili yako inatumika kinyume na maumbile..
 
Mleta uzi bwana.... kwani kazi ya kuleta demokrasia ni CDM pekee? Vyama vingine si vipo? Kama huwapendi basi anza.....
 
Maskini wa fikra. Kutwa kucha unamjadili Dokta Slaa. Huna kingine unachoweza kujadili. Huo ni umaskini wa Fikra. Mawazo yako ni mgando.. Akili yako inatumika kinyume na maumbile..

Hivi yule Mtei anayemiliki chadema una uhusiano naye?
 
Hivi yule Mtei anayemiliki chadema una uhusiano naye?

CHADEMA inamilikiwa na Watanzania. Haimilikiwi na Mtei. Ndo maana nimesema wewe ni maskini wa fikra. Bora uwe maskini wa kipato kuliko kuwa maskini wa kipato.
 
Ndugu Majata hapa hujatumia busara kabisi na inabidi nafisi yako ikusute: sababu ni hizi:
Kwani viongozi wakikosa lazima waondolewe. mbona kama wenzako wangeondolewa kwa makosa basi pasingekuwepo hata katibu kata katika nchi hii!!!
Jaribu kuangalia ukweli. Hao jamaa kwani si ni binadamu lkn kumbuka kama makosa yapo yanavumilika kuliko ya watu wako unaowajua.
jifunze kusema ukweli ingawa unauma
 
CHADEMA inamilikiwa na Watanzania. Ndo maana nimesema wewe ni maskini wa fikra. Bora uwe maskini wa kipato kuliko kuwa maskini wa kipato.

Ingekuwa inamilikiwa na watanzania kusingekuwa na watu wanaoitwa "men from nowhere".

Mmiliki wa chadema ni Mzee Mtei. Ili mtu aongoze chadema ni LAZIMA kwanza Mzee Mtei akubali.

Je, una uhusiano na Mzee Mtei mmiliki wa chadema?
 
nani ni a man from no where?
 
Ingekuwa inamilikiwa na watanzania kusingekuwa na watu wanaoitwa "men from nowhere".

Mmiliki wa chadema ni Mzee Mtei. Ili mtu aongoze chadema ni LAZIMA kwanza Mzee Mtei akubali.

Je, una uhusiano na Mzee Mtei mmiliki wa chadema?
Well said Bro,
Chama cha kitemi.
Chadema ni janga la taifa, wamewa brainwash vijana wengi sana matokeo yake wanatembea kama misukule, jana niliongea na Dr mmoja nikacheka sana, ananiambia eti wananci watamchagua kuwa mbunge kwa sababu atatumia power point presentation kwenye kampeni zake, nikajiuliza hivi wananchi wanataka picha au sera?
 
Hahahahahahahahahaahha hii kali.

Hawa vijana wa bavicha ni SIFURI kabisa...
 
Back
Top Bottom