CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

Mwisho kwa nini wasiwe na umoja kama nia yao moja kuingia madarakani? hapo ndio utajua kuwa kila mmoja wao ana lake jambo. Machoni mwentu ni viongozi shupavu miyoni mwao ni mapapa wakubwa wenye uroho wa madaraka

Kuna mwenye uroho wa madaraka kama JK? CCM imetangaza hadharani kuwa kuna mgawanyiko/mpasuko. Hilo huliona kweli nyani haoni kundule. Mpasuko huo ndio unaofanya nchi nzima ipo vipande vipande kuna udini(uislam supremacy), kuna ufisadi nk.
 
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.

Wakati binadamu wa kawaida wakitumia vichwa kufikiria huyu bwana mleta mada nadhani ni exceptional kwa kuwa anatumia NJIA YA HAJA KUBWA ... yaani Arithmetic & Logic Unit (ALU) iko maeneo hayo.
 
When some one uses the most "caudal" part of his/her body to think, this is the result. She/He also could not follow the instructions of his instructors!! shame!! Remember: Your instructors instructed you clearly to conceal some issues to do with your malice against CDM. And to pretend you are among the well wishers of CDM. You have failed!!!
 
Wakati binadamu wa kawaida wakitumia vichwa kufikiria huyu bwana mleta mada nadhani ni exceptional kwa kuwa anatumia NJIA YA HAJA KUBWA ... yaani Arithmetic & Logic Unit (ALU) iko maeneo hayo.

ushabiki usio na hoja za msingi ndio unao wapatabu vijana wengi wa tanzania na sishangai kwani ushabiki huu nisawa na ule wa simba na yanga kwani hatawakicheza natimu ya nje bado wapinzani hawa wataishangilia timu ya nje ni hivyo hivyo kwa taifa stars akicheza vizuri mchezaji wa timu pinzani watazomea tu. hivyo ndivyo mlivyo wavivu wengi wa kufikiri.
 
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Wahi Lumumba ukapate walao ela ya kula kwa mamantilie. njaa ni mbaya sana
 
Tujadili mabadiliko tusijadili watu. Wanachama wa CDM hatupo kwa ajili ya Mtei au Slaa au yeyote yule. Kiongozi ambaye atafuata katiba na sera za chama atatutoa tuu kwani sera za CDM zina mwelekeo unaofaa kumtoa mTZ katika lindi la umaskini. Hata wakivurugana huko juu kuna atakaeibuka mshindi na ndio mkombozi wa waTZ. Kwani makundi CCM yamekwisha? Bado lakini mwisho wa siku 2015 tutapata rais mpya kutoka CDM!
 
hzi ni propaganda zilizopitwa na wakati,hawa mnaosema waondolewa ndiyo wameifanya chadema iwe tishio na kuinyima usingizi ccm na serikali na kuwafanya wanausalama wasifanye kazi yao waishie kuhangaika na chadema kila uchao,kama vile kutengeneza video feki ya lwakatare,kuhonga vijana wenye njaa waweze kutengeneza uongo wa slaa kutaka kumuua zito!uongozi wa chadema uliopo madarakani ni kikosi cha ushindi kitakachoipeleka chadema ikulu mwaka 2015 kikosi cha ushindi:-
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
 
Mtu unajijua ni mgonjwa na upo ICU badala ya kuwaza ni kwa nini upo ICU unamfikiria jirani yako na maisha yake ambapo alikuokoa siku mtoto wako aliporudishwa shuleni kwa kukosa mchango wa madawati..................
 
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...

Huyo ndio baba yako na genge lake lote linamuogopa kwani ndiye anayewakosesha usingizi; na bado mpaka 2015 mtakuwa mmeisha kuwa machizi!!
 
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Samahani kaka/dada,naomba kujua elimu yako kwanza.
 
wewe mtoa ushauri inaonekana umetumwa na wana nyinyiem lakini cha ajabu ni kuwa watu wameshafahamu janja yako hadi sasa hivyo bora ujaribu njia nyingine hiyo haifanyi kazi tena
 
Mkuu wangu Pasco wa JF,

Hata wewe kweli umeLIKE hii mada? Miezi hii hakuna matukio ya kitaifa hadi mwezi wa Julai na Agosti; hauna TV ambapo huwa unashiriki kuandaa chochote walau nikufuatilie? Nakukumbuka sana miaka ile ya katikati ya 90 uliposababishaka watu watake kudundana. Kila Jumatano baada ya Taarifa ya Habari
 
Last edited by a moderator:
Toka lini ushauri wa adui ukawa wa maana? Toka lini ushauri wa CCM ukaifaa CDM au ushauri wa Yanga ukaifaa Simba? Yani CDM wayatupe makombora yao za kisasa ili watumie visu na mapanga kukabaliana na CCM??
 
Huyu jamaa mleta mada ni mshenzi kuliko washenzi wote. Tigo yake nina wasiwasi nayo maana inapigwa sana na akipokea mara kwa mara mionzi inapanda mpaka kwenye ubongo na kuharibu akili. Punguza kupigiwa tIGO bora upigiwe voda au airtel.
 
Tunasema kama n kweli "CDM" n mpinzani wa kweli, ana sapoti kubwa ya wananchi. Lakini baadhi ya waasisi wake wamevimba vichwa. Bila wao mambo hayaendi??
Wapo vijana mnyika, prof safari, zitto, dr mkumbo wana mtazamo mzuri zaidi kukipeleka chama mbele. Aluta continua
sioni connection betweem my swali na majibu maelezo yako.
 
Mimi naunga mkono hoja, ila tuwaondoe katika chama baada ya matokeo ya uraisi 2015 au vipi mkuu? 😛eace:
 
Back
Top Bottom