CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
mi naona aliyebaki baada ya hao masalia ni Zitto, maana atawasumbua sana kwa uzito wenu wa kuamua -- jamaa ni kirusi hatari na kinakula na kupuliza na ndiyo kiini cha matatizo yote ndani ya Chama.
 
Mkuu wangu Pasco wa JF,

Hata wewe kweli umeLIKE hii mada? Miezi hii hakuna matukio ya kitaifa hadi mwezi wa Julai na Agosti; hauna TV ambapo huwa unashiriki kuandaa chochote walau nikufuatilie? Nakukumbuka sana miaka ile ya katikati ya 90 uliposababishaka watu watake kudundana. Kila Jumatano baada ya Taarifa ya Habari
Mkuu SEBM, like yangu isikusumbue, its just a notification kuwa "nimekusoma!". Kwa vile hakuna kitufe cha "noted", or "dislike", kilichopo ni "like" tuu, inabidi nitumie kilichopo, mfano kwenye thread ninazoanzisha, nagongea likes kwa kila anayechangia, hata achangie utumbo vipi!.
Pasco.
 
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.

mzizi mkuu n mboe na dr.slaa hawa waktoka wabakio n kama mataw,hawawedh sumbua,watanyooka2
 
Slaa ndio chama hawezi kupelekwa popote
 
Mkuu SEBM, like yangu isikusumbue, its just a notification kuwa "nimekusoma!". Kwa vile hakuna kitufe cha "noted", or "dislike", kilichopo ni "like" tuu, inabidi nitumie kilichopo, mfano kwenye thread ninazoanzisha, nagongea likes kwa kila anayechangia, hata achangie utumbo vipi!.
Pasco.

Mkuu Pasco,

Hapo sasa nimekuelewa na kuelewa maana yako ya LIKE ingawa kimsingi walioanzisha kitufe cha LIKE hawakuwa na maana hiyo uliyoisema. Hivi kuna uwezekano tukawekewa hizo options za DISLIKE, NOTED na nyinginezo? Hiuli hata kwenye habari za TANZIA tusiweke LIKE; badala yake tuweke NOTED au RIP na kwa mada za humu JF, nikishaona tu aliyepost ni Majebere, ZeMarcopolo, Rejao, Tume ya Katiba, Taswira, Ng'wamapalala, chama, Ritz, Pasco (ha ha ha, am joking), Ally Kannah nijiandae kuDISLIKE na nikiona tu post ya Molemo, Yericko, Crashwise, Aweda, Mungi, nijiandae kuLIKE
 
hivi wewe unaumwa kifafa? Una ugonjwa gani,hujajifahamu kuwa wewe ni mgonjwa? Umelogwa na nani? Ugonjwa wako waganga wa kienyeji hawauwezi, hata mhimbiri hawataweza....nenda wanakoponea wenzako India. Wewe umetumwa nya..mbafu
Hata India hawatauweza aende kuombewa kama Mwaitege alivyoimba"Njoo ufanyiwe maombi"
 
Magamba mnalo mwaka huu,mna weweseka sana KUDADADEKI zenu Dr.Slaa atawabiki.r.i tuu as time goes maana hamlali kwa ajili ya Dr Slaa
 
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
kuna mjinga kama wewe alinisababishia kupigwa ban sasa niko tayari nifungiwe......hebu mod tuanzishieni jukwaa la kusilibana
 
Mkuu,Nona bora ungelisubiri CDM ikaingia madarakani ndio ukaja na wazo kama hili,hili sio wazo zuri wakati kama huu,hapo utakuwa hujajenga isipokuwa umebomoa,au ndio moja ya mbinu za kuidhoofisha CDM
 
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.

Nadhan umekipata ulichokuwa ukikitafuta, usirudie tena ndugu yangu kule thread hovyo na chovu kama hii.. R.I.P CCM@2015

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Bila Mbowe, na Slaa chama kisingekuwa kilivyo leo, kwa hiyo unataka waondolewe ili uwekwe wewe? Chama kilikuwepo siku nyingi lakini ni uenyekiti wa Mbowe ndio uliokifiisha kilipo. Sasa kama umetumwa kawambie tumekataa Viongozi wa kitaifa bado tunawataka. Na chama sio cha watanzania wote ni cha wanachama wengine wako vyama vingine. Nenda kalale una usingizi.
 
Kuna mwenye uroho wa madaraka kama JK? CCM imetangaza hadharani kuwa kuna mgawanyiko/mpasuko. Hilo huliona kweli nyani haoni kundule. Mpasuko huo ndio unaofanya nchi nzima ipo vipande vipande kuna udini(uislam supremacy), kuna ufisadi nk.

JK mroho wa madaraka? hilo jipya nilikuwa sijui ila nampongeza kama ameona kuna mpasuko maana ndg zangu CDM hawaoni kama wana mpasuko wala hawajitambui kuwa ni wachanga kupewa nchi.
 
Back
Top Bottom