Unaugonjwa unaoitwa zittoslaambowelisuphobia unaoambukizwa na kirusi kiitwacho CCMISM Shenzitypists
ha ha ha ha ha! Mkuu nimecheka hadi mbavu zinauma
Unaugonjwa unaoitwa zittoslaambowelisuphobia unaoambukizwa na kirusi kiitwacho CCMISM Shenzitypists
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
Mleta uzi wewe ni ccm damu uliowataja wanaisumbua ccm pole
Chilisosi unahitaji tiba ya magonjwa yafuatayo ndipo uje JF uendelee kujadiliana nami.
1. OCD (Obsessive Compulsive Disorder)
2. DG (Delusions of Grandeur)
3. CLD (Compulsive Lying Disorder)
4. ASPD (Attention Seeking Personality Disorder)
5. ODD (Oppositional Defiant Disorder)
6. MPD (Multiple Personality Disorder)
7. LD (Literacy Disorders)
message hii ilivyoanza niliamini itamaliza na ushauri mzuri sana lakini umemaliza na uharo.watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.
Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
na dawa yake ni m4cismUnaugonjwa unaoitwa zittoslaambowelisuphobia unaoambukizwa na kirusi kiitwacho CCMISM Shenzitypists
Chadema sio Chama tawala jamani, CHADEMA ni moja kati ya vyama vya upinzani zaid ya 18! Ningeshauri muviangalie na vingine na sio lazima wote tubanane CHADEMA wengine nendeni NRA, TADEA, UMD, DP NK, Sisi tulio CHADEMA tumelidhika na jinsi kinavyoendeshwa kwa ustaarabu na Mbowe na Dr Slaa, ila nyinyi msioridhishwa nawashauri nendeni kwingine huko nako kuzuriwatanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.
Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
Hao wote wanafaa wakae pembeni ila kirusi kinachoiua CDM kipo na kitaendelea kuwepo mpaka kitimize kazi yake. Tatizo mnaiandama CCM wakati ukweli CDM hakipo tayari kuchukua nchi kwa sasa lazima ipandikizwe kirusi kife maana inaonekana watu wako tayari kuwapa nchi ili hali hakuna kiongozi CDM anayeweza kuunda serikali