Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Naunga mkono Hoja,
Ila kosa la slaa ni "KUFUGA KIRUSI" ndani ya chama
hahahaaaaa......... mlijipanga kuijibu hii sreadi......hahaaaaa
Naunga mkono Hoja,
Ila kosa la slaa ni "KUFUGA KIRUSI" ndani ya chama
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
watanzania kwasasa wapenda
mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa
chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama
mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu
sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto
kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa
chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha
Bora na amani.
Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya
katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli
inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba
pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii
nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na
kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA
ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya
kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya
juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi,
hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama
hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi
umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu
kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo
ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Hiki chama hata kikifa kinakuhusu nini?? maana wewe sio mshirika!!
Kwa pumba kama hii unastahili bei gani? Pole sana njaa hizi zinatutaabisha! Najua ulikua unataka kujenga hoja, lakini macho yako na masikio yamejielekeza kwenye sim yako ya mkononi kuangalia ingizo la M-Pesa!
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.
Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
Naunga mkono Hoja,
Ila kosa la slaa ni "KUFUGA KIRUSI" ndani ya chama
Wote hao hawana tatizo mtu anae haribu chadema ni mzee edwin mtei anakifanya chama kama cha bibi yake,nashauri atoe invoice chadema wamlipe waachane nae huyu babu ndio mwenye fitina zote hasa za kuleta ukabila ndani ya chadema
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Hakuna wa kumuogopa. Bali kwa masilahi ya ujenzi wa demokrasia, si mtu sahihi kwa wakati kwa.sababu hana jipya bali anajifunza uongozi. Si mkweli kinyume na utashi wa wakati huu. Pia ni mpenda sifa na kwa sasa anadhani yeye ni zaidi Chadema kwa sababu tu, kwamba yeye ndiye mbeleko ya matumaini ya wakristo wanaoiunga mkono Chadema kama ilivyotokea 2010. Zaidi ya hilo hana jipya .
Nawasi saana na Ben, sina imani nae ktk CDM. Time will tell.
Sijaomba pesa na wala sihitaji pesa nilizo nazo zinanitosheleza kwa mengi japo si yote nashukuru mungu. Wewe ni mmoja wa kirusu CDM maana sifa ya kirusi ni kubadilika badilika ndio maana kikakosa tiba. Unabidi ubadilike usijibu hoja kwa kufunika kombe mwana haramu apite.
Nasimamia katika Utanzania wangu CCM kinaitaji chama madhubuti cha upinzani chenye Viongozi wenye Umoja ndio nacho kiweze kuongoza la sivyo nchi itayumba. Sasa tujiulize CDM kina umoja wa viongozi? na bila ya umoja utaunda vp serikali?
Mwisho kwa nini wasiwe na umoja kama nia yao moja kuingia madarakani? hapo ndio utajua kuwa kila mmoja wao ana lake jambo. Machoni mwentu ni viongozi shupavu miyoni mwao ni mapapa wakubwa wenye uroho wa madaraka
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Unaugonjwa unaoitwa zittoslaambowelisuphobia unaoambukizwa na kirusi kiitwacho CCMISM Shenzitypists
Dr. Slaa ni ruba CCM mnaye mpaka mpasuke msambaWaanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...