Mkuu hayo mambo ndfio alioyokuwa ananiambia lema,Hahahahahahahahahaahha hii kali.
Hawa vijana wa bavicha ni SIFURI kabisa...
Utabwabwaja sana na CDM utaiacha ilivyo. Maana hao unaowataja ndiyo walio ndani ya mioyo ya wanachadema na watanzania wote kwa ujumla wanaolitakia taifa hili mabadiliko ya kweli. Ni kweli kwamba uliowataja wote ni wale wanaowanyima usingizi akina wasira na mwigulu. Huo ndiyo ukweli na utabaki kuwa hivyo siku zote.kama ni ikulu ya kaburini sawa, bila hawa kuondolewa tegemea hakuna chadema ni bora hata mnyika awekiongozi mkuu wa chama kuliko mbowe.
Well said Bro,
Chama cha kitemi.
Chadema ni janga la taifa, wamewa brainwash vijana wengi sana matokeo yake wanatembea kama misukule, jana niliongea na Dr mmoja nikacheka sana, ananiambia eti wananci watamchagua kuwa mbunge kwa sababu atatumia power point presentation kwenye kampeni zake, nikajiuliza hivi wananchi wanataka picha au sera?
nani ni a man from no where?
Huyo paulina ndio nani tena?umeshatafuta dawa ya yale magonjwa yako yaliyo orodheshwa na dokta A. Paurine?
zitto kabwekwa swali lako hili nimeshajua kuwa huna uhusiano na familia ya mtei anayemiliki chadema.
Familia ya mtei yote inajua nani ni "men form nowhere"...
Kwa swali lako hili nimeshajua kuwa huna uhusiano na familia ya Mtei anayemiliki chadema.
Familia ya Mtei yote inajua nani ni "men form nowhere"...
zitto kabwe
Hivi mnamtambua?Hivi Zitto ni kiongozi au sio kiongozi wa CHADEMA?
Hivi mnamtambua?
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Yani huu uzi umeanzishwa na magamba halafu unashambuliwa na magamba!!!!By Wimana
Kwa nini waanze na Dr Slaa?
Kwa sababu hatunzi siri za ofisi.
Siri za chama siku hizi zinazagaa kwenye mitandao kama nyimbo za bongo flavour...
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
Tunasema kama n kweli "CDM" n mpinzani wa kweli, ana sapoti kubwa ya wananchi. Lakini baadhi ya waasisi wake wamevimba vichwa. Bila wao mambo hayaendi??Huenda hoja yako inaukweli, lakini tuangalie CCM kwanza, Viongozi gani wakiondolewa, chama kitarudi katika misingi yake ya kumtetea mlala hio?
ukimwondoa slaa CCM watakuwa wameshinda, mti mwema ndio unaopigwa mawe, slaa ni kiboko ya ccm ndo maana wanamshambulia kila kukicha
mtoa mada amelewa, kama kweli analitakia mema taifa hili angeanza na jk, lowasa, chenge, jangili kinana, chamatusi nchemba, nk
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.
Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.
Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:
1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.
Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.
Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.