CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.

kachukue haya malipo yako lumumba umeshaingiza siku tayari! Utaendelea kuwa mtumwa hadi kufa kwako wewe....
 
Mkuu ataondoka kibaraka, mamluki na mlimbua nchi Lwakatare wenu, wengine watabaki. Dr. Slaa is your next president penda usipende. Kura 2015 zitalindwa na kuhesabiwa kituoni. Na timu ya kuingiza matokeo itaandaliwa tofauti na ile ya wachakachuaji!!! Kidonda kinauma ila omba Mungu kisiwe Kidonda ndugu!! Ha ha ha!!
 
Acha kupotosha kamanda Dr Slaa hajawahi kuoa.

Ana mke jamani. Ile ndoa kwa taarifa ilishafungwa kimila bila wasiwasi, wanasubiri kanisani kama wakitaka. Hivi ile kesi yenu na Rozi Kamili imefia wapi, kifo cha mende!!! Hakika kila mbinu yenuu imakamata mwamba!! Ngoja tuone hii mliofinance ya Lwakatare!! Thanks to the MPESA!!
 
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Mimi pia nakubaliana kabisa na mleta mada,
Kwa manufaa ya chadema inabidi Wafuate ushauri huu muhimu kwa nchi yetu
 
Hakuna wa kumuogopa. Bali kwa masilahi ya ujenzi wa demokrasia, si mtu sahihi kwa wakati kwa.sababu hana jipya bali anajifunza uongozi. Si mkweli kinyume na utashi wa wakati huu. Pia ni mpenda sifa na kwa sasa anadhani yeye ni zaidi Chadema kwa sababu tu, kwamba yeye ndiye mbeleko ya matumaini ya wakristo wanaoiunga mkono Chadema kama ilivyotokea 2010. Zaidi ya hilo hana jipya .

Umejitahidi kubwabwaja maneno lakini ulivyoweka UDINI nimekuona taira huna jipya
 
Mkuuu umeandika kama mtoto wa chekechea kabisa yani kwa hoja hizi kabisa ndio viongozi hawa waondolewe?

Labda ungesema wamekuwa mwiba sana kwa ccmweli hivyo ni bora waondolewe ili sisiemu hipumue kidogo lakini kwa hoja hizi hakuna kitu ulicho kiandika!

Kama unasema Dr slaa alitaka kumua zitto na mh zitto alishasema ni uongo kwa hiyo wewe unamuamini nani kati ya zitto na Mwampamba?

Me naona wewe huruma yako kwa sisiemu ndio imekufanya uandike haya!

Hichi kikosi kazi cha nguvu ni vigumu kupumzishwa mpaka wana chadema waamue!
Aisee hao jamaa ni mwiba kwa sisiemu hile mbaya!
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
 
Last edited by a moderator:
wazo zuri ata hivyo kikao cha ndani cha CHADEMA kimesema kitamuweka bibi yako awe chairman kama sehemu ya utekelezaji wa huo upuu.zi wako hapo juu.
 
majata

Mbona unatoa uharo kiasi hichi?
Pole sana!
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimecheka nusura nizimie. Pendekezo la kuwaondoa waliotajwa ili kuimarisha Chadema 2014 linatolewa na mnazi wa CCM na kuungwa mkono na wanazi wa CCM. Hata mwehu katika hili angeshtuka he he he.
Lililo nifurahisha zaidi nikuona hata mzee mzima Pasco kampa like jamaa.
Hili limefanana na story ya jamaa kamshawishi jirani yake eti amwache mkewe kwa vile anamshuku kuwa na tabia mbaya na alopoachwa huyohuyo akamwoa. Kila la kheri CCM na ndoto zenu za kusambaratisha Chadema,ila Chadema sasa hivi ni zaidi ya chama. Chadema ni Watanzania.
 
Kirusi ndani chama.
Hahaaa Ritz, you are not serious bana.
Yaani M-Ccm kama wewe uipende Cdm na kupendekeza nani ndani ya Cdm anafaa kushindana na Ccm!
Maajabu duniani hayataisha.
 
Tanzania inaongoza kwa kwa matapu tapu nadhani wewe utakuwa mnywaji matapu tapu mkongwe sana.......akili zako matapu tapu matupu
 
Magamba bhana, kuanzishj thread na kujijibu enhe...!
 
Mleta maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaada niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mzalendoooooooooooooooooo!

Ritz,who do you think you are?
Katoe ushauri ili Gamba kuu wa ccm aiache nchi kama atakubali.
white wine for you.
 
Mchawi mkubwa wa chadema ni ukosefu wa demokrasia ndani ya chama
 
Back
Top Bottom