Gurty Yuda
Member
- Dec 4, 2012
- 71
- 12
Mleta mada anatafuta mume! , taarifa , dr. Slaa , mbowe, lissu, na tare wote wana wake zao,!
Mleta mada anatafuta mume! , taarifa , dr. Slaa , mbowe, lissu, na tare wote wana wake zao,!
Nyie magamba mmeshindwa kujisafisha wenyewe, sasa mnaparamia CDM!Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Nilipoanza kusoma mwanzoni, nilishawishika na mawazo yako, lakini nilipofikia kwenye sababu za kwanini waondolewe, nikapoteza imani kama wewe ni mpenda mabadiliko au ni mmoja wa wale wanaomtumikia khafir ili kufanikisha malengo yao.
Katika sababu zote ulizotaja hakuna yoyote ya msingi na yenye ukweli. Kwa kuwa umezitaja kutokana na hisia.
katika pendekezo lako la kwamba watolewe hujaweza kupambanua ni akina nani wanafaa na kwanini? Inawezekana hapa kuna watu mnachezo beats za mtu fulani ambaye anatafuta kwa hali na mali kushika madaraka ya juu ya chama au mnamhofia mtu fulani ndani ya CHADEMA na hivyo mnatafuta kila sababu ya kumtoa ili mpate kukimaliza chama.
CHADEMA imepita katika misukosuko mikubwa na migumu tangu ya wakati wa Wangwe, lakini ni timu hii hii unayosema leo haifai ndiyo iliyoivusha CHADEMA katika mazingira magumu na ya shida hata kukiwezesha CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani. Leo inakuwaje tuseme hawa ndiyo wanakiua chama? Tunataka kusema wamesahau machungu na magumu waliyoyapitia katika kukikuuza chama kwa pesa zao za mfukoni, wakati huo kikiwa hakina hata ruzuku?
Hivi kuna yeyote anayefahamu taabu adha na shida walizokutana nazo akina Zitto, mbowe, Bob Makani (RIP) slaa na wengineo wengi katika harakati ya kukijenga chadema? Mimi nasema hawa wachache ndiyo wanaojua uchungu wa chadema, na wanajua wamepitia mangapi magumu. Demokrasia ya ndani ya chama ndiyo iamue kwamba waendelee au hapana na si hisia za mtu mmoja tu anayekuja na sababu zisizo na msingi na kusema hawa watoswe. Hatutakuwa wepesi kudanganyika kirahisi kiasi hicho.
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
mmeshikwa pa baya kumbe ndo wanaowaumiza vichwa na bado Dr. Slaa, Mboye na Tudnu kaza buti hadi kieleweke 2015 hakuna kulala tumechoka na chama cha mafisadi hata leo jpili chakula cha kupika tabu maisha yamekuwa magumu hadi
mapenzi binafsi kwa hawa haya saidii cha muhimu ni maendeleo ya watanzania. ingekua marekani wanamsimamo kama wako obama asingekuwa rais, watu tunataka maendeleo na si mapenzi binafsi ya mtu, hawa lazima watuachie chama utake usitake.
Wewe (MAJATA) tayari umeshajipambanua kuwa ni GAMBA, MCHUMIA TUMBO, MTETEA MAJANGILI, UPO TAYARI KUONA WATANZANIA WENZAKO WANAENDELEA KUNYANYASWA NA UTAWALA MBOVU ULIOPO SASA HIVI (Mfano wale wananchi wa LOLIONDO), wew upo tayari hata kumuuza BABA yako mzazi ili tu Mkono uende Kinywani. Mnajitafutia LAANA bure tu kwa kutetea MAJANGILI na WAUZA NCHI.
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Hakuna popote niliposema CHADEMA Ni chama cha watu binafsi. Soma mstari wangu wa mwisho, ninasema demokrasia ndiyo aimua na si mtizamo wa mtu binafsi kama wewe. Waache wanachama waamue kama bado wanawaamini hao uliowataja, kuendelea kuwa viongozi wao au hawana mpango nao tena. Si kazi yangu mimi na wewe kupiga baragumu kutaka hawa waondolewe.kaka umejaribu sana kuwatetea lakini bado unaungana n hoja yangu waondolewe kwasababu hawa sasa hivi wanajilipa pesa zao walizotumia kukikuza chama badala ya kutuongoza kwenye mabadiliko ya kweli, na kwa maneno yako unataka niamini kweli chadema ni chama cha watu binafsi kwasababu wana hisa na chama.
watanzania tuamke sasa tutafute mabadiliko ya kweli na si mapenzi binafsi kwa hawa wanaojiita watetezi wetu tusimamie haki.
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
Acha kupotosha kamanda Dr Slaa hajawahi kuoa.