huyu mzee kwa kauli zake hizi hatujui kama angelikuwa hai !!
P8c hazihusiani na madaKisa?
Kama una akili timamu jiulize ni nani aliyeiweka hii video wakati ule, Hii iliwekwa na Hugochaves na kama sikosei hata siku ya tukio la kushambuliwa Lissu mida ya usiku aliweka Thread ya ajabu sana ambayo Mod. waliiondoa mapema sana. Hivyo tambua kuwa matukio yote yanafanywa na nyinyi na kutengeneza viclip vya kijinga mkifikiri mtawaadaa watu.Kutengenezwa acha ujuha Angalia matamshi na mdomo wake. Si ya kutengenezwa
P8c hazihusiani na mada
Basi nikadhan mada imekuudhi ukaona urushe tu ahhaahahha BAK banaThanks nilikuwa nimefungua 2 windows kwa makosa nikapost huku. Shukrani sana.
Basi nikadhan mada imekuudhi ukaona urushe tu ahhaahahha BAK bana
Basi nikadhan mada imekuudhi ukaona urushe tu ahhaahahha BAK bana
Ushabiki wa?Wewe nawe umejawa ushabiki tu.
Eti Tanzania hakunaga mambo ya ushahidi....
Punguza ulevi we mama Sabrina. Ka Sabrina bado kanakutegemea.
Utakula ban
Leo umeniamkia sioo ngoja nikutafutie dawaKwa nini mnaleta haya mauchafu yenu ya huko rahatupu huku JF?
acha nicheke kwanza ,,Hapana bana mie wa siku nyingi humu siwezi kufanya kitu kama hicho. Ahsante sana kwa kunistua vinginevyo ningeendelea kupost picha ambazo hazihusiani na mada husika. AHSANTE SANA Mama Sabrina.
Mkuu mbona Unarusha Video za Ngono?Thanks nilikuwa nimefungua 2 windows kwa makosa nikapost huku. Shukrani sana.
Kwenda zako huko.Ushabiki wa?
Ushahidi upo wapi ?
Halaf achana na mimi muone
Nawe futa comment zako za kunichafuaa mieKwenda zako huko.
Nenda ukakachukue ka Sabrina shuleni.
Habari wakuu,
Mwaka 2013 ilivuja video iliyokuwa ikimuonesha mkurugenzi wa ulinzi/usalama CHADEMA wakati huo, lwakatare akiwa na watu ambao hawakuonekana kwenye video wakiwa wanapanga mipango mbalimbali ya kuteka na kuua baadhi ya watu.
Zaidi soma hapa maana naona mnakasha umefungwa => CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?
CHADEMA wananipa mashaka sana kwa matukio yanayoendelea sasa Tanzania.
Viva Tanzania, Viva Magufuli