CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
Kuna series moja america waliiblock. Ila kuna jamaa alikuwa anawatia watu hasira wanaropoka kisha anawarekodi. Baada ya muda linatokea tukio na kuwaunganisha.
 
Laiti kama wazazi wangejua kumuacha mtoto ajiunge na UVCCM ni hatari kuliko kutumia bangi , wasingethubutu kuwapa hiyo nafasi

UVCCM ina haribu akili za vijana wengi wa kitanzania.

Upendo ni tiba.
 
Akiwa na watu ambao hawakuonekana kwenye video ila Lwakatale ndo anaonekana peke yake. Huu ni uongo mtakatifu. Unataka kutuambia kuwa Lwakatale alikuwa anapanga mipango hiyo na mizimu/ mashetani? Kwanini yeye aonekane anaopanga nao wasionekane?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni taswira halisi ya siasa Ndani ya vyamavyetu ilivyo. Hata wale walio nje ya Nchiyetu wanapata picha halisi ya siasa zetu katika vyamavyetu vya siasa.

Ee Mwenyezi Mungu tusidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom