CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
Wakuu nimeipata hii youtube, inatisha na huwezi kuamini.

mikakati mikubwa inachorwa na kutekelezwa na watu tunaowaamini ni wanamapinduzi na wanamageuzi.

Hii sasa hatari.

Jionee na kusikiliza mwenyewe ukweli huu kutoka kwenye youtube. Huyu anayeongea na kupanga mikakati ni MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA WILLIFRED LWAKATARE akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi mwandamizi wa mwananchi ambaye ni threat kubwa kwa CHADEMA na ambaye ni rafiki mkubwa wa Zitto.

Anatolea mfano wa matukio mengine waliyoyatekeleza kama lile la kumwagiwa tindikali MUSSA TESHA huko Igunga na kuuawa kwa kijana katika vurugu za CHADEMA na polisi huko Morogoro ambapo tuliambiwa ameangukiwa na kitu chenye ncha kali..

==========================================================
MANENO YALIYOANDIKWA KUAMBATANA NA VIDEO YANASOMEKA HIVI:
==========================================================






VID-20121228-00005 - YouTube


sasa hapo kwenye blue, mtu atakuwaje na hicho cheo huku anapanga mateso kwa raia huru???
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuona bao la kwanza limeshaingia na Lwakatare kapata dhamana, vijana wa Mwigulu wameamua kufukunyua thread hii kujiliwaza. Tulieni ndugu, suala hili liko mahakamani presha ya nini? Mbona kama hamjiamini?
 
Hivi wana CDM wenzangu nisaidieni kujua Wilfred Lwakatare alikuwa anamaanisha nini au aliongea maneno haya kwenye hii video ya ugaidi katika muktadha gani? Maana chama kimeamua kumtetea bila kutuambia. Ni kweli inaweza isiwe ugaidi kama mashtaka yanavyosema, lakini mbona sijasikia maelezo yoyote either kutoka kwa muhusika (lwakatare) au chama kuhusu maudhui halisi ya video hii? Lwakatare alikuwa anaandika script ya bongoMovie au? kwa sababu jambo ambalo halipingiki ni kuwa hii ni video genuine, haijachakachuliwa kwa namna yoyote.
Inakuwaje tunamuona Ludovick kuwa ni adui lakini Lwakatare shujaa pasipo kujua maudhui ya video? Sitaki kudhani kuwa niko peke yangu ninayetamani kujua ukweli wa hii kitu. Tafadhali, kwa heshima na taadhima bila jazba za kuitana wasaliti naomba majibu. Nini utetezi rasmi wa chama juu ya video hii ya Lwakatare?

[video=youtube_share;dfgeZZhg724]http://youtu.be/dfgeZZhg724[/video]
[video=youtube_share;C-5nr6nOPcs]http://youtu.be/C-5nr6nOPcs[/video]
 
hongera mkuu,wewe uko nyuma ya wakati,wenzako walishahama huko baada ya kuridhika na hoja za kimahakama,ila naona wewe ulikuwa alpha centauri,ndiyo umerudi leo,pole kwa safari.
 
Vijana wa Bavicha wamerogwa. Hawana uwezo wa kufikiri.

Hawajiulizi mantiki ya Lwakatare kupanga maovu...
 
Habari wakuu,

Mwaka 2013 ilivuja video iliyokuwa ikimuonesha mkurugenzi wa ulinzi/usalama CHADEMA wakati huo, lwakatare akiwa na watu ambao hawakuonekana kwenye video wakiwa wanapanga mipango mbalimbali ya kuteka na kuua baadhi ya watu.

Zaidi soma hapa maana naona mnakasha umefungwa => CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

CHADEMA wananipa mashaka sana kwa matukio yanayoendelea sasa Tanzania.

Viva Tanzania, Viva Magufuli
 
hawa jamaa si WATU KABSA.......
Sitaki kuamini kama KENYA panaweza kuwa ni mahali salama kwa LISSU especially linapokuja suala la mahusiano yetu kwa sasa na KENYA lipo katika joto kali sana NA HUU NI UKWELI MCHUNGU.....na jamaa kweli haziivi la RAIS wetu hili si la kupepesa macho kabsa na ukizingatia kwa sasa anaenyooshewa kidole juu ya hili sakata la LISSU ni serikali ya TZ....hapa jamaa wanaweza take oppurtunity kufanya yao..
sasa kwa upande wangu mimi, kutokana na hali halisi ya kinachoendelea juu ya uhusiano baina ya hizi nchi mbili, JE,MAADUI ZETU especially wa RAIS wetu hawawezi take this oppurtunity ya uwepo wa LISSU huko kufanya yao????Familia ya LISSU ningependa pia kuwashauri kaeni karibu sana na NDUGU yenu msiwape nafasi ya hao so called viongozi wa chama wawe karibu maana hata wao inahisiwa wanaweza kuwa nyuma ya hili shambulizi la LISSU.....
MWISHO WA SIKU FATILIENI NA JIULIZENI NI NANI ALIYEPENDEKEZA LISSU AENDE KUPATA MATIBABU NAIROBI....ndio mtasoma mchezo vizuri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom