CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

Khaa!! Hisabati ndiyo msingi wa maisha ya mwanadamu. Kama huzijui basi wewe jihesabu kama ni BOYA tu
 
Tanzania kuna wanasayansi? wameshindwa hata kutengeneza kiwembe? Tanzania kuna wahandisi? barabara zote zinatengenezwa na wachina? wanasayansi gani na wahandisi gani unaowazungumzia wewe mbweha?

Kwa CCM ukiwa na uwezo wa kuiba rasilimali za taifa basi wao wanakuita mwana sayansi au injinia.
 
Swali kwa mtoa mada!!

Unataka wanasayansi wa aina gani??

Unataka wahandisi wa aina gani?

Unataka wana mahesabu wa aina gani???

Maana kama unataka uwaone kama walioko CCM hutawapata.
 
 

Jibu sahihi kwa wakati sahihi
 
Kwani Prof. Maji Marefu ni Mhandisi ama Mwanasayansi wa fani gani?
 
Mkuu hoja ya jamaa inamashiko. Hawa wanasiasa ndio watakuwa mawaziri wa ujenzi, waziri wa afya, waziri wa fedha nk. Sasa kama hatutakuwa na mawaziri waliosomea masuala haya ni viepesi kudanganywa na wataalam (wahandisi, wachumi na madokta).
 
Jamaa badala ya kupewa majibu kwa swali alilouliza matokeo yake anaambulia matusi tu hii maana yake nini sasa?
 
hapo hukutenda haki au hukuielewa kabisa mada .yeye ameuliza kwa nini hakuna kiongozi mwana sayansi ,sio hakuna mwanachama mwanasayansi hivyo ni vitu viwili tofauti

Kwani wewe umeisoma mada na kuielewa vizuri?hebu rudia kusoma!
 
Mbunge wa Bihamulo Dr Anthony Mbasa ni daktari wa binadamu!
 
Mkuu hoja ya jamaa inamashiko. Hawa wanasiasa ndio watakuwa mawaziri wa ujenzi, waziri wa afya, waziri wa fedha nk. Sasa kama hatutakuwa na mawaziri waliosomea masuala haya ni viepesi kudanganywa na wataalam (wahandisi, wachumi na madokta).
Historia inatujuza, sio lazima waziri awe amesomea fani flani ndio aweze kufanya vizuri kwenye hiyo wizara.

Mfano UK, Exchequer imeongozwa na ma secretary ambao awajasomea uchumi na wamefanya vizuri. Hapa kwetu Ngeleja na Chenge ni wasomi wazuri wa sheria, bila kusahau Chenge ni matunda ya Harvard University lakini wamesainishwa mikataba mibovu!
Magufuli ana PHD ya Chemisty lakini amefanya vizuri wizara ya ujenzi zaidi ya waliosomea Civil Engineering!

Kikwete amesomea Uchumi na alishawai kuwa waziri wa fedha lakini amekiri kwenye chombo cha habari kwamba HAJUI NI KWANINI SISI BADO NI MASKINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…