CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!

Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!
 
DSC_1006.JPG
 
Km siasa inafanyika muhimbili, kcmc, Bugando na keingineko basi ni muhimu kupata wanasayansi. Km siasa inapima majengo marefu na barabara basi muhimu kupata wahandisi. Ila sikuhukumu kwani hata yesu alislitiwa na mwanafunzi wake Yuda iskariot, licha wewe kuisalit chadema. Uelewa wako ndio mdogo kwa sababu mlipomteuwa kuwa waziri mkuu hamkujua kasoma sanaa ila sasa ndio mnajua kasoma sanaa. POLE.
 
mpinga shetani
Ningekuwa naweza ningeweka kwenye mizani maisha ya Mbowe wa elimu ya darasa la tatu na wewe mwenye elimu kubwa nione mizani itaelemea wapi

Mafanikio kwenye maisha na katika kile unafanya hayawi defined tu na viwango vya elimu...

Wengi elimu imewasaidia ujuzi tu wa kuiba kwa kalamu na maandishi mengi yenye ulaghai ndani yake
 
Last edited by a moderator:

Nimependa sana ulivyo mjibu.
 
Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!

Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!

Wahandisi wapo wapo wengi tu Chadema, Pia wanasupport haya mabadiliko- siyo lazima wawe wabunge
 
Pata picha unapata mhandisi wa aina ya Dr Shukuru Kawambwa!

Wahandisi wanaoisapoti CHADEMA ni watu makini ambao siyo lazima waingie siasani directly...wao wanasubiri jamaa washike nchi ili wawezeshwe kitaaluma kwa ajili ya maendeleo ya nchi.

Gwamyitu Asprin asante kwa kumnyoosha huyu ndugu!
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi imekuaje mbona kama sielewi elewi comments hivi?
 
Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!

Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!

Wapo sema wewe huwajui. Jifunze kuwa kutokujua kitu siku kwamba hakipo?
 
Kwa hizi masters na phd za google mkuu??!! Msomi ni yule mwenye kutumia taaluma yake kwa kuleta maendeleo chanya kwa watu wake...Lema ni kiboko ya CCM ameifuta rangi ya kijani kwanzia njiapanda mpaka Namanga...!!?
 
Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!

Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!

Kiongozi wala mwanachama?
Unawafahamu wanachama na viongozi wangapi wa CDM?, by the way, how old are you mleta hoja? Wahandisi tumejaa tele na tumesaport M4C daima.
 
Back
Top Bottom