Itikadi yao ni bongo flava
Nimepitia kwa Umakini Katiba ya Chadema tofauti na matarajio ya Chama chochote cha Siasa lazima kuweka msimamo wake hasa mlengwa wa Kiitikadi! Chadema haijaweka wazi kama ni Chama cha Kijamaa au ni Chama Cha Kibepari! Tofauti na CCM ambao wao Wanasema ni Chama cha Kijamaa japokuwa Ujamaa walisha Uweka kando! Vyama vingi duniani huonesha mlengo wake hasa kama ni kuamini Ubepari au Ujamaa! Hata marafiki zao wa Ujerumani na Uingereza wamebainisha mlengo wa Vyama vyao! Wanachama wa Chadema walio wengi hata hapa JF hawajui Itikadi ya Chama Chao(Inasikitisha sana)! Hakuna tofauti kati ya Chadema na Timu ya Simba wala Yanga kwani hawana Itikadi!
My Take: Chadema ijipambanua ina itikadi gani Ujamaa au Ubepari! Wanachadema jiulizeni Itikadi ya Chama chenu ni ipi?

Itikadi ya CHADEMA ni matusi na uongo.
waendelee na itikadi yao hadi kilimanjaro iwe KiliTanzania
swali la nyiongeza, wote katika UKAWA mnakubaliana na hili?Mixed ecomy, where the government have control on economic activities but not full control.
Hiyo ni feature ya socialdemocracy systeam ya ZZK chadema wameikanaMixed ecomy, where the government have control on economic activities but not full control.
swali la nyiongeza, wote katika UKAWA mnakubaliana na hili?