Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Naona kuna upotoshaji mkubwa sana wa baadhi ya members humu JF........THIS IS FOR THE RECORD!
Hii barua ya kutengeneza tu kwani barua hii barua aliandikiwa Magufuli au Chama Mapinduzi?
Kumbe huwa mnatengenezea watu barua siyo kama mlivyo mtengenezea Mkenya Malundi kesi?Hii barua ya kutengeneza tu. Tangu mwanzo mliandika wenyewe CHADEMA(RAILA) vs CCM(UHURU) yamewafika shingoni sasa, haya ogeleeni tuone kama mtafika ng'anmbo
Hivi ewe ulieanzisha thread hii...unajua kuwa Chadema walitoa Truck ya matangazo na msanii kwa ajili ya kumpigia campaign Raila Odinga? Na wamekaa huko kwa mwezi mmoja mpaka Jumapili iliyopita.
Source: BBC-Swahili, VOA-Swahili (Reffer to their on-air broadcasts za Jumamosi/Jumapili 03rd March, 2012.

Shida iko wapi? Hiyo ni sawa na Dokii kupanda jukwaa la CCM nakukata kiuno yote ni burudani!Hivi ewe ulieanzisha thread hii...unajua kuwa Chadema walitoa Truck ya matangazo na msanii kwa ajili ya kumpigia campaign Raila Odinga? Na wamekaa huko kwa mwezi mmoja mpaka Jumapili iliyopita.
Source: BBC-Swahili, VOA-Swahili (Reffer to their on-air broadcasts za Jumamosi/Jumapili 03rd March, 2012.
ngoja waje wabishi wa jf
Kayataka Mwenyewe, wenyewe walikimbilia kuleta mada ya kuonesha hisia zao kwa ODINGA sasa wanaruka ruka nini, wavumilie tu. Nasikia EZEKIEL WENJE kapiga kura Migori, magari ya M4C yako huko
Hii barua ya kutengeneza tu. Tangu mwanzo mliandika wenyewe CHADEMA(RAILA) vs CCM(UHURU) yamewafika shingoni sasa, haya ogeleeni tuone kama mtafika ng'anmbo
Kwani kuna lipi la ajabu Cdm wakimsapot Raila?.
Chadema kweli utoto umewazidi juzi wameenda kumpigia campaign Odinga na mkajinadi eti Odinga ni Chadema sasa hivi mnaanza kuwashwawashwa tena