PreGE2025 CHADEMA: Hadi sasa, hatujui walipo Heche na Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jumatatu Lissu Makahama ya Kisutu, Heche Kigamboni, Mnyika Temeke, mtajua wenyewe mtaenda kwenye kesi ipi
 
Hii operesheni ya polisi leo haikuwa coordinated kitaifa badala yake Kanda Maalumu chini ya ZSO ndio wameiratibu. Kumefanyika uholela wa kamata piga na uwa . Kuna uwezekana Heche na Mnyika wamedhurika. Taharuki kwa vyombo imekuja taarifa hii inatolewa vipi.

Kwa mara ya kwanza Polisi HQ wameshindwa kutoa statement ya tukio la leo. Kila mwenye akili anaanza kujitenga nalo ndani ya polisi na vyombo. Hongera wananchi mliofanikiwa kupata picha na video. Hii itakula kwao.

Nchi imevimba ni muda tu italipuka.
Kweli nchi hii tunapaswa kuikataa CCM kwa kila njia manake sasa wanawadharau watanzania kupita maelezo.
 
Polisi watoe taarifa mapema tuwahi kuzika tuendelee na shughuli zingine
 
Jumatatu Lissu Makahama ya Kisutu, Heche Kigamboni, Mnyika Temeke, mtajua wenyewe mtaenda kwenye kesi ipi
Heche na John Mnyikwa watashitakiwa kwa kosa gani la jinai walilotenda au na wao watapigwa na Uhaini?

Haya mambo ya Uhani yameibuka ndani ya miaka hii miwili tu. Au Wazanzibar wana maana yao when it comes to Uhaini?
 
Tukipitia video zao mtandaoni ni crime scene tosha kuandaa charge sheet yenye makosa hata elfu mbili au tatu
 
Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;

"Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya Fire na Salenda walipokuwa wakielekea mahakamani—na tangu hapo wamepotea bila maelezo yoyote.

Soma Pia: Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi

Tunataka majibu sasa hivi: YUKO WAPI KATIBU MKUU,YUKO WAPI MAKAMU MWENYEKITI? Acheni kugeuza Jeshi la Polisi kuwa chombo cha utekaji, mateso na uonevu wa kisiasa.

Huu ni mchepuko hatari kuelekea utawala wa kiimla!Wanaotumia nguvu dhidi ya haki leo, wasahau amani kesho—nguvu ya wananchi huwa haijawahi kushindwa.MWISHO WA YOTE, TUTASHINDA."
View attachment 3314292
Eti majibu sasa hivi!! Nyie ndio nani?
 
Ukiona Maiti ya wanaume wawili Popote tafadhari wasiliana na Chadema
 
Wewe ni qualified lawyer au bush lawyer (layman)?
Nilishavuka level ya lawyer, mimi ni advocate tena niliyefanya Bar examination kabla hata wazo la kuanzisha law school halijaingia Tanzania
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko wapi? Enyi mliomteka muachieni mara moja.
 
Nadhani sasa Tanzania imeingia kwenye hatua tofauti kabisa. Sijui kama tutarudi tena katika hali iliyo kuwepo huko nyuma.
Inaelekea kuna kundi ndani ya jeshi la polisi ambalo tayari lipo vitani.
 
Back
Top Bottom