imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Kuna haja ya kuwaita Wakubwa wa Mahakama ya haki za binadamu waje kuchunguza haya mauaji na vitendo vingine vya ukiukwaji wa HAKI za BINADAMU hapa Tanzania.Nadhani sasa Tanzania imeingia kwenye hatua tofauti kabisa. Sijui kama tutarudi tena katika hali iliyo kuwepo huko nyuma.
Inaelekea kuna kundi ndani ya jeshi la polisi ambalo tayari lipo vitani.