CHADEMA Digital, Katiba Mpya zatikisa Uwanja wa Amani Zanzibar

Ila hawa jamaa akili kubwa, mchana kwenye adhinisho wali "mute" wakavizia usiku kwenye mechi wametinga. Sijui mfuko wa makoti waliyoingia nayo wamemkabidhi mpiga picha?4 😂😂😂😂
 
Tajiri chawa
wewe jamaa Aisee Hivi una elimu kiwango Gani?
Kwahiyo kwahiyo tuseme Rostam Aziz anavyo idonate CCM ni CHAWA?
Hizo akili ni za kiwendawazimu Kila mtu ana uhuru wa kuchagua upande anaotaka katika Kila jambo acha fikra mfu,
Haya mengine just Politics!
 
Mnazidi kutuonyesha BAVICHA jinsi mlivyoishiwa sera.

Mnafikia hatua ya kwenda kujiuza kwenye mechi za mipira?

Simba Sports Club V/S Azam Football Club....wapi na wapi na siasa zenu za kihuni.

Mlikwenda kwa maksudi na hizo t-shirt zenu mabango, kwa kutaka muichokonowe Polisi, mkidhani watawaambia msiingie uwanjani ili mpate kick kwenye Media.
Ila wakawa makini na wakawapotezea,
Sasa mmebaki kuja kuumbuka huku JF!

#Hatutakiwahuni.Tanzania

Shame on you ...@Erythrocyte
 
Shame on you@Erythrocyte
Sasa kinachokuliza nini ?
 
Sasa kinachokuliza nini ?
Mnalia lia nyinyi mnaojitembeza hadi kwenye burudani bila aibu.

Watu wanaenjoy football match nyinyi mnapeleka uchwara wenu huko.
Ebu angalieni mlivyopotezewa!

Hakuna hata Media yoyote iliyowapatia coverage.

Hiyo tayari ni political failure kubwa.
 
una dharau sana tajiri chawa inawezekana wewe una hali duni kuliko hata hao unawaita masikini. Nyumba nne zibebe mgongoni utembee nazo kama kobe
 
Back
Top Bottom