CHADEMA Digital, Katiba Mpya zatikisa Uwanja wa Amani Zanzibar

wewe unamuamini huyo mchumia tumbo mwenzio ?
Unamlazimisha akuamini wewe?!!😳🤣🤣

Kuchumia tumbo ulianza wewe Mnyaki tena kwa mh.Mbowe kufikia kupewa "FEDHA" ukafungua vibiashara utangavyazo pale SABASABA kila msimu.....
 
Zaidi ukupe wako kwa Mbowe na Lema kufikia kupewa vijisenti kuweka vijibidhaa hapo 77....
Sikia wewe Masikini , Mbowe tumekutana kwenye biashara Canada , hatukujuana bongo , mimi siyo kapuku nimeajiri watanzania wenzako 300 , idadi kubwa kuliko ajira alizotoa Magufuli, namiliki kiwanda, hata hao mamluki wenzako wanajua , Nabii Lema sikumjua na nimekutana naye Chadema kwenye mapambano ya kudai haki .

Mimi nachangia Chadema tena kwa moyo mkunjufu , sijawahi kuwa Chawa , nenda Kyela mtafute Mwakyembe au Kasyupa wakupe habari zangu , Sisi wengine tunapambania haki ili KUWASAIDIA NYINYI MASIKINI MSITESEKE , Ninaweza kuishi nchi 4 ambako nina nyumba bila bughudha yoyote , USA , CANADA , ENGLAND na S.AFRICA

Mimi kuishi Bongo ni baraka kwenu tu
 
Zanzibar ina pande mbili hasimu za siasa..
1. Wazanzibar waafrika - upande huu umetekwa na CCM... hauna nguvu ya umma ila una nguvu ya dola.

2. Wazanzibar waarabu na wale wenye rangi ya kuchovya ... hawa ni wale waliotoka Cuf na kujiunga na ACT wazalendo ... upande huu una nguvu ya watu na nguvu ya fedha kwakua wanasupport kutoka kwa waarabu wenzao.

Kama CHADEMA ingekuwa serious na siasa za Zanzibar basi ingeona fursa pale CUF walipokua wakisuguana..pale ingetafuta uchumba!

Kwa sasa Zanzibar haina watu wasiofungamana na upande... kutafuta support kule ni kutwanga maji kwenye kinu, haamna watu..
CHADEMA ingekomaa tu na siasa za bara kwa sasa..
Je Chadema imeanza kuteka siasa za pande zote za nchi ?
 
Sikia wewe Masikini , Mbowe tumekutana kwenye biashara Canada , hatukujuana bongo , mimi siyo kapuku nimeajiri watanzania wenzako 300 , idadi kubwa kuliko ajira alizotoa Magufuli...
Mwambie Huyo CHAWA wa kijani anadhani CHADEMA wapo kule kisa njaa kama wao walivyo,

Anyway Mimi binafsi Sina Maisha kiufupi ila ni mwanaharakati ambaye nimejitolea kupambania haki na sitarajii malipo yoyote ni kitu ambacho nakipenda hata pale nitakapokua na Mali nyingi na utajiri sitaacha kamwe kitu nikipendacho Kwa umri wangu wa Miaka 23 niliyonayo ni vigumu Sana mtu akiniona na mambo nayoyafanya ni makubwa mno ambayo yanawashangaza wengi hata humu jamviní,
Nahitimisha Kwa kunukuu kauli Yako

"Kijana mmoja wa CHADEMA ni Sawa na
wazee + MATAGA pori 1000
Wa chama Cha kijani!
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom