CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

Ukisema watu wanajua ni watu gani hao unaoongelea? Isije ikawa hiyo idadi unayo ongelea ni watu wachache tu unaowafahamu wasio represent majority ya Watanzania. The proof kuwa upinzani umeshindwa kuwaeleza vizuri nini upinzani utafanya ni boksi la kupigia kura. Kama watu wameeleweshwa vya kutosha basi ungeona idadi kubwa zaidi ya wabunge wa upinzani na pia CCM isingepata 80% ya kura kwenye uchaguzi wa raisi. Mimi in fact sishabiki chama chochote ila natoa maoni unbiased. Kada ni yule ambaye anapigia debe chama fulani.
Hapana shaka kuwa inawezekana kabisa CCM wakatumia ile ya mwaka 2005 ya uchaguzi wa mazigaombwe maana hali halisi na wewe uliona na pia sitaki kuamini ndio sauti ya watu wengi wale kipindi cha kupiga kura waliipigia CCM, hapana kulikuwa na namna nyingine waliweza kufanya, Niambie na hao unasema kuwa hawajui mbona wabunge wengi wanatoka Vijijini na sio mijini kama wee unataka kujenga hoja yako
 
Hapana shaka kuwa inawezekana kabisa CCM wakatumia ile ya mwaka 2005 ya uchaguzi wa mazigaombwe maana hali halisi na wewe uliona na pia sitaki kuamini ndio sauti ya watu wengi wale kipindi cha kupiga kura waliipigia CCM, hapana kulikuwa na namna nyingine waliweza kufanya, Niambie na hao unasema kuwa hawajui mbona wabunge wengi wanatoka Vijijini na sio mijini kama wee unataka kujenga hoja yako

Mkuu tatizo la upinzani kila kitu wanakimbilia kusema wizi wa kura. Siku zote hawaangalii faults zao. Nitoe mifano.
CCM kwenye uchaguzi wa uraisi walishinda kwa about 80%. Upinzani wakagawana asilimia zilizo baki. Unataka kuniambia CCM waliiba kura kiasi gani mpaka kufikia 80%? Kama kweli CCM walishinda kwa dhuluma isinge tangazwa ushindi wa 80% kwa maana hiyo ingeonekana wizi wa dhahiri.

Hiyo ya wabunge kutoka vijijini au mjini inahusiana vipi mkuu?
1.Upinzani haifanyi kampeni majimbo yote na wala hawasimamishi wagombea katika kila majimbo. Hilo tayari limesha waweka katika disadvantage. CCM wana simamisha kila jimbo na just logic explanation will lead you to know that that would mean a better chance of getting more MP's.

2.Mkuu vyama vingi vya upinzani havija jikita vijijini vimejikita mijini. Asilimia kubwa ya Watanzania wanaishi in rural areas which means wangekuwa wana nguvu kijijini wangekua na idadi kubwa zaidi ya wabunge bungeni. Angalia Biharamulo walivyo shindwa. Na usikimbilie kusema CCM walicheza faulo kwa maana hata Chadema walitoa kauli za kama walivyoambia wanawake tutawapa chupi na sidiria.

3.Kama nilivyo sema post za nyuma kuwa kuna sehemu nyingi sana CCM inashinda on the basis of name recognition. Kila chama kina maeneo ambazo zina nguvu sana na maina mengi ya vijijini ni CCM ndiyo yenye nguvu. Unakuta watu wanaenda kupiga kura hawampigii mtu wanakipigia chama. Na kama nilivyosema kuna maeneo upinzani ni very weak au hawasimamishi kabisa mgombea.

4.CCM ina majority kwenye local governments. Which means unlike upinzani wao wanaweza kujipromote kwenye majimbo all year through. Wapinzani wengi ukiacha Chadema sasa kwa kuanzisha operesheni Sangala walikuwa wakifika vijijini wakati wa kampeni tu. Sasa watu wanashikilia local government wewe kuja tu wakati wa kampeni una muda gani wa kumake your case?

Tukubali au tukatae so far strategy za upinzani za kuattract voters hauja fanya kazi ipasavyo. Cha kwanza upinzani wanacho kimbiliaga kusema ni wizi wa kura. Yani wao wasipo shinda sehemu basi kuna wizi wa kura. Kama ni hivyo inakuaje baadhi ya majimbo wanashinda? Upinzani na supporters wake wanabidi wawe realistic sasa na waache kuwa fanatics wa kutetea chama tu na wajue they need a different approach. So far approach yao imefeli na bila hata facts and figures mtu unaliona hilo. What I'm saying is that upinzani wana hitaji short term goals na long term goals kukiondoa chama tawala.

WATU WAMESHINDWA KUSHIKA MAJORITY KWENYE LOCAL GOVERNMENTS, WAMESHINDWA KUCHUKUA MAJORITY BUNGENI SASA HUO URAISI WATASHINDAJE? WAANZE KWANZA KUCONCENTRATE CHINI NDIYO WAJE JUU NA HUO NDIYO USHAURI WANGU MKUBWA KWA UPINZANI.
 
Niambie kama kuna mbunge wa Upinzani anatoka Dar-Es-Salaam, au katika miji mkubwa?? Maana kuna watu waliofanikiwa kufika huko vijijini lakini ni Sheria na Taratibu zetu za uchaguzi ndio zina makosa makubwa sana, Pia hata Tume ya Uchaguzi, Mimi nakwambia kuwa kukiwa na Tume huru ya uchaguzi CCM watashindwa kabisa maana, huwa wanatumia nafasi yao kushinda na kupika matokeo ya uchaguzi.
 
Unaweza ukawa haufiki kijijini lakani una vyombo vingi sana katika kupeleka habari maana unataka kusema huko mpaka watu wakuone au vipi?? Kuna njia nyingi sana za kufikisha ujumbe hata Sera zako, kama vyombo vetu pia vikiacha kuwa bias na vyama hivi
 
Unaweza ukawa haufiki kijijini lakani una vyombo vingi sana katika kupeleka habari maana unataka kusema huko mpaka watu wakuone au vipi?? Kuna njia nyingi sana za kufikisha ujumbe hata Sera zako, kama vyombo vetu pia vikiacha kuwa bias na vyama hivi

Mkuu again nitarudia hii point kuwa majority ya population ya Tanzania ipo vijijini. Wangapi vijijini wana access ya vyombo vya habari kama t.v., radio na magazeti? Mimi mwenyewe jimbo langu la nyumbani mtu kupata magazeti mpaka atembee lisa limoja mpaka town sasa nani ana muda wa kufanya hivyo kila siku? Wangapi vijijini wana uwezo wa kumiliki t.v.?

Siyo lazima wakuone but kuona kuna nguvu kuliko kusikia. Ndiyo maana kuna msemi "sitaamini mpaka nione kwa macho yangu". Ukweli ni kwamba kuwa na the biggest impact ni kuonekana. Kama upinzani utaona kuonekana siyo lazima sawa nita kubaliana nao lakini je hiyo njia mbadala is it more affective than kuonekana na wananchi?

Point yangu inabaki kwamba upinzani wana hitaji a change in approach and strategy. Hii ya kuilalamikia CCM kila siku haita wafikisha popote. Tatizo nimegundua kuwa wapinzani wako in denial. Hawaoni makosa yao wao kila siku wanaona wana dhulumiwa. Mtu yoyote aki taakari atajua kwamba kushinda uchaguzi ni lazima utafute njia ya kujinadi kwa wananchi na wakukubali. You can't win elections on promises alone. There are a lot of things which go into running a successful campaign and winning the hearts of the voters. Upinzani hawaja weza hilo. I personally like Chadema as an alternative to CCM but they have a long way to go to establish themselves as a real force to be reckoned with. I'm only being realistic mkuu ndoto za alinacha hazita ipa upinzani ushindi.
 
Na Mimi nakwambia tatizo sio Watu na jinsi ya kufika huko, But CCM walikuwa wanatumia mbinu hiyo ili kudanganya umma, maana kwa miaka karibu 20 sasa hivi vyama hivi wanavijua sana but ni mbinu za Kishetani wanatumia na sheria za ajabu sana, sasa wewe unategemea nini kama Mkurugenzi ndiye msimamizi wa uchaguzi na hata ni mwajiriwa na CCM?? hivyo wwe tazama hata baadhi ya sheria za uchaguzi toka mwaka 1977 na leo ni miaka mingapi?? hivyo hakuna haja ya kubadilisha mtazamo kama hii. na tena CCM walikuwa wnatumia hata Kodi zetu na Mali zetu katika kushindanisha na vyama hivi mfu aliyekufa, unategemea nini. Hivi huku mijini mbona hakuna mbunge hata mmoja na hata kama mtu anajua kila kitu.
 
Na Mimi nakwambia tatizo sio Watu na jinsi ya kufika huko, But CCM walikuwa wanatumia mbinu hiyo ili kudanganya umma, maana kwa miaka karibu 20 sasa hivi vyama hivi wanavijua sana but ni mbinu za Kishetani wanatumia na sheria za ajabu sana, sasa wewe unategemea nini kama Mkurugenzi ndiye msimamizi wa uchaguzi na hata ni mwajiriwa na CCM?? hivyo wwe tazama hata baadhi ya sheria za uchaguzi toka mwaka 1977 na leo ni miaka mingapi?? hivyo hakuna haja ya kubadilisha mtazamo kama hii. na tena CCM walikuwa wnatumia hata Kodi zetu na Mali zetu katika kushindanisha na vyama hivi mfu aliyekufa, unategemea nini. Hivi huku mijini mbona hakuna mbunge hata mmoja na hata kama mtu anajua kila kitu.

Nakuelewa mkuu. Mimi nakuambia hali iliyopo na kwa nini upinzani haushindi. Kwa maneno yako hapo juu umekiri mwenyewe kuwa kwa hali hii upinzani haiwezi kushinda hata sikumoja. Ndiyo maana nikasema kuna hitajika a change in approach. Kama sheria ndiyo tatizo basi tupiganie zibadilishwe mkuu. Kama mwenyewe unajua kwa sheria zilizopo upinzani hauwezi kushinda what's the point ya kuwa pigia debe? Inatakiwa basi hapa tujadili jinsi gani sheria zibadilishwe ili kuwe na level palying ground. Lakini kuwa na matumaini upinzani utashinda wakati wewe mwenyewe umekiri kwa hali iliyopo hawawezi basi the approach we are taking now ndiyo zile zile nilizo sema hazisaidii. Mimi mkuu nimekuelewa basi tujadili how we can make it a level playing ground ili vyama vishinde kwa merit.
 
Katika Kuelekea uchaguzi mkuu kuna haja kila watu wakafundishwa katika kujenga na kufundisha misingi ya uwazi na ukweli
 
Na Mimi nakwambia tatizo sio Watu na jinsi ya kufika huko, But CCM walikuwa wanatumia mbinu hiyo ili kudanganya umma, maana kwa miaka karibu 20 sasa hivi vyama hivi wanavijua sana but ni mbinu za Kishetani wanatumia na sheria za ajabu sana, sasa wewe unategemea nini kama Mkurugenzi ndiye msimamizi wa uchaguzi na hata ni mwajiriwa na CCM?? hivyo wwe tazama hata baadhi ya sheria za uchaguzi toka mwaka 1977 na leo ni miaka mingapi?? hivyo hakuna haja ya kubadilisha mtazamo kama hii. na tena CCM walikuwa wnatumia hata Kodi zetu na Mali zetu katika kushindanisha na vyama hivi mfu aliyekufa, unategemea nini. Hivi huku mijini mbona hakuna mbunge hata mmoja na hata kama mtu anajua kila kitu.

Chadema hawako makini huwezi kumpa mtu uanachama kama LWEKATARE wakati haijui katiba wala sera za Chadema.fuatilia tukio lake la kupewa uanachama bukoba.
 
Katika Kuelekea uchaguzi mkuu kuna haja kila watu wakafundishwa katika kujenga na kufundisha misingi ya uwazi na ukweli

Ni kweli mkuu ila mimi nadhani masomo haya watu wangekuwa wanapewa mapema. Tujue kwamba in doing all of this siyo kwamba CCM atakuwa anakaa tu bila kuplan a counter attack. Just imagine sasa mpaka mwakani tuta wafikia wangapi? Hao tutakao fikia tuna uwezo wa kuwapa somo wakaelewa? Ndiyo nina rudi pale pale kuwa kuna hitajika short term and long term goals.
 
Wakati huu kuna watu wataingia na kutoka, Je Chama Tawala CCM??? tena wao ndio wamepoteza misingi yao, Kuna watu wa aina gani kama Tabwe na wengine ambao hawajui hata misingi yao na kufanya vitu vyam ajabu, Mimi Mkuu nakwambia kuwa itafika wakati hivi vyama watachukua watu wenye nia njema ya Taifa lao na kufanya vile watu wengi tunategemea na kutaka na sio kama ilivyo leo. Anaweza kupata na akishindwa atarudi CCM na Kuacha CHADEMA pekee na vijana wenye mawazo ya uzalendo kubwa sana
 
Ni kweli mkuu ila vyama vya upinzani ni vingi so it's not a guarantee kila mwenye nia njema na taifa ata hamia Chadema. Chadema inabidi ijiwekee utaratibu wa kurecruit vijana ambao wataweza kukisaidia chama na kuwapa incentives(and by incentives simaanishi pesa). Lazima Chadema kiwaonyeshe vijana kuwa they have a future with Chadema. We angalia tu jinsi CCM inavyo recruit vijana. Ikitoka generation moja ya viongozi tayari wamesha andaliwa wa kupokea. I truly believe the future of the opposition lies with the youth and not the current breed of leaders.
 
Mimi nakwambia na wakati mwingine huwa machozi yanatoka kuona kuwa Taifa letu lielekea wapi maana, CCM asilimia kuwa ya vijana wao wanataka vyeo na pengine kupewa chochote kile, Tunahitaji taifa letu twende kama Mwalimu alivyokusudia. Una kidatu cha Mwalimu Nyerere hapa cha Speech zake tazama au soma utashangaa leo wanafanya nini?? hivyo kuna haja ya kujenga vijana sio kwa ajili yao but ni kwa nation yote
 
Tatizo sasa hivi hakuna mtu atakae fanya something just in the name of patriotism. Siku hizi miasha siyo kama zamani so hamna atakaye jitolea kitu bila kujua na yeye atapata something in return. Hata hao wanaogombea ubunge nao it's hard to know nani mwenye nia njema au la kwa sababu mshahara wao ni mkubwa kupindukia. Sasa hivi it's hard kupreach kujitolea zina hitajika incentives. Vyama vya upinzani vinatoa incentives gani kwa sisi vijana kujitolea kwa taifa? Kwa sababu no one will live on patriotism alone na sasa hivi system yetu ilivyo nothing is in place to reward acts of patriotism.
 
Sasa mkuu unasema ni kweli but jua kuwa kama hivi incentives unazosema jua basi CCM wanazo Kibao na Pia jua wako huko wana rasilimali kibao pamoja na watu fedha,ofisi za umma, na vitu kibao. MZee wangu tusipojiangalia tutangamia na kutazama tunapokwenda, Ni kweli kiasi fulani, Je Bora nini?? Kuendelea hivi au kubadilisha mambo haya na kuwajibika kwa watu, na tena kama ndio hivi ilivyo ndio maana leo tunazalisha watu kama wakina Tabwe ma wengine maana wanaweza kuwa kama wanamke asiyetulia na wanaume mmoja katika maisha yake
 
Mkuu the biggest incentives upinzani unaoweza kutoa kwa vijana wala siyo material things and ni things upinzani wanaweza kushindana navyo na CCM.
1.Viongozi wa upinzani wasi ng'ang'anie madaraka. Kijana hata jiunga na chama fulani huko akijua hana chance ya kwenda mbali through the ranks. Nilipenda kweli alicho kifanya Bob Makani kuachia madaraka kwa hiari. Hiko ni kitu muhimu sana. Lakini angalia vyama vingine. Viongozi ni wale wale tokea vyama vingi viruhusiwe mwaka 19194. Pia ukiangalia vyama vingi vya upinzani hauoni vijana ambao tayari wanaonekana wao ndiyo wa kushika hatamu vikokngwe wakiondoka.

2.Wajenge chama kiwe na ushindani. Hakuna kijana ambae ana full of potential ataenda kwenye chama ambacho anajua in return hakitaishia kuwa na impact yoyote. Vijana wanataka kutengeneza majina na kuacha legacy sasa upinzani inabidi iprovide mazingira ya hayo kuweza kutokea.

3.Vyama viwe na muelekeo. Lazima vijana wajue what they are fighting for is worth their time and efforts.

Nadhani the list can go on and on but these are the ones I could come up with from the top of my head for now.
 
Hapa umesema ukweli kabisa na pia kama wakifanya hivyo ndio watafika hapa, Lakini kumbuka kuwa hakuna chama cha upinzania ambacho kilibalisha uongozi kama CHADEMA na ndio maana nakwambia mzee Chadema ndio chama chenye matumaini kuliko hivi mfu vilivyobakia maana hakuna cha maana wanachofanya, na kila chama lazima kiwekeze kwa vijana, Labda ndugu yangu Mnyika aje aseme Bavita na Chadema juu ya Vijana na watu wengine
 
Mkuu mimi nakubali. Kwenye kambi ya upinzani mimi naona Chadema tu. Kama Chadema wakijipanga vizuri natumai kitakua chama chenye nguvu sana. Ushauri wangu kwa Chadema itakuwa huu.
1.Waendeleze utamaduni wa kupokezana. Mtu akiona kashindwa au muda wake umepita siyo mbaya akakaa pembeni na kuachia wengine. Na wezee wastaafu wa Chadema wasijitoe kwenye siasa kabisa kabisa. Wakae kwenye nafasi ya ushauri.

2.Uongozi ndani ya Chadema uwe merit based. Yasije ingia mambo ya mwenye pesa zaidi au kundi kubwa zaidi ndiye mwenye nafasi ya kupata uongozi.

3.Waandae vijana ambao wataanza kuwanadi kwenye majimbo mapema ili wakati wa uchaguzi ukifika hawa vijana wawe wamekomaa katika siasa na wajue ni nini haswa wananchi wa majimbo hayo wanataka.

4. Organisation! Chama kinatakiwa kiwe na mfumo ambao uta wawezesha kuendesha chama vizuri. Wawe na watu ambao wanaweza kuja na mipango bora kwa ajili ya Chama. Wawe na watu ambao wanaweza kuendesha kampeni. The behind the scene people must be very skilled and intelligent.

5.The biggest asset of any political party is the people. Waji tahidi kusign up wanachama wapya na kwa wingi. Hawa watu ndiyo watakuwa nguvu yao wakati wa kampeni. Viongozi wa Chadema wawe wenye kipaji cha kushawishi na kuinspire wananchi. Kuna watu hata waongee point gani they can't rally people around them.
 
''Iwapo CHADEMA itapata wabunge wengi kama walio nao CCM hivi sasa, Tanzania itaendelea kuwa masikini'' - Zitto Kabwe.
 
Last edited:
ZeMarcopolo,
Mkuu haiwezi kusaidia kitu ikiwa rais ana uwezo wa kuvunja Bunge...Mbadiliko ya Katiba (haki), Ufisadi na madudu mengine yote ktk nchi maskini huanzia kwa kamanda mkuu wa majeshi. - kiti cha IKULU..
Mengine yote tunajidanganya.-
 
Back
Top Bottom