CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

sisi katika ccm tunaamini kuwa katika mchezo wa mpira wa miguu mwamuzi wa mwisho ni refarii na mpira unaisha dakika tisini......uchaguzi wowote cc kwetu ni kama mechi ya mpira na sisi tunashinda hata dakika za nyongeza kwa staili yoyote tuliyozoea kwani marefarii tumewaweka sisi:hivi kwani hamjui kilichotokea kenya? pale refarii wa wakati huo alipopuliza filimbi ya mwisho kuashiria mchezo kuisha na mshindi kutangazwa?yey alisema nimeambiwa tu nitangaze mshindi ila sijui kama ndio aliyeshinda......sisi sisiemu tuna mbinu nyingi halali na haramu....
Sijakusoma mzee wangu una maana gani kwa hilo??jaribu kuelza tena
 
Tujadili masuala ya Chama na Chadema na pia tuache kujadili masuala ya watu binafsi hapa sio sehemu yake, Sasa na wewe tukianza kukujadili kuwa una matatizo na mkewe ndani ya nyumba yako utapona hapa!! Tufike mahali Kumpongeza mzee wetu kwa moyo wake kuja hapa kudailiana mambo muhimu sana ya Taifa letu sisi bila kujali umri wake. Tunahitaji watu wengi zaidi tena kuja wengi zaidi

Upo sahihi kabisa, lakini hakuna aliejadili matatizo ya mtu na mkewe so far, na mzee wetu anaendelea ku enjoy Home of Great Thinkers
 
Nawashukuru wanaJF wanaoona umuhimu wa kuimarisha chama tawala m'badala. Pia wale wanaoona ni vizuri kuachana na makosa yaliyofanyika zamani, na kujisahihisha kadri tunavyosonga mbele.

I must however state that although I welcome criticisms so that we can correct ourselves,, when emphasis is placed on far-fetched ideas and baseless rumours, I get a little disappointed by some JF Members. Surely to insinuate that Julius Nyerere favoured and praised Chadema because I am related to him through my daughter's matrimony is too crude for serious comment. In any case Nyerere praised Chadema when I was Chairman, years before Freeman Mbowe took a front seat in the party leadership. Freeman came to the front in 2002/2003, when Nyerere passed on in 1999.

Someone has suggested that some JF Members revel in posting contributions simply to attract attention. I guess that is why so many good contributions are made under pseudonyms. Anyway from now on I shall only read JF, not write unless absolutely necessary.

Wee Mzee nimekuuliza maswali ya msingi hata moja hujajibu sijui ni uzee au ndio kiburi kwa vile Mtoto wako keshakuwa Mwenyekiti wa ChADEMA.
Maswali mengine ya ziada naomba unijibu.Mtoto wako mwenye digri ya udaktari kwanini ameacha kazi ya kutibu na sasa ni meneja wa Bar? hujui Tanzania inahitaji madaktari?

Kielimu Zitto Kabwe ana masters wakati Elimu ya Mbowe ni ndogo sana kwanini Uenyekiti asipewe Zitto ili kuleta hadhi ya zamani ya Chadema?waanzilishi wa Chadema ni wasomi wewe ambaye Mwenyekiti muanzilishi una digri ya Historia na Literature,shemeji yako Makani Bob ana digri ya sheria, Mwenyekiti wa sasa ambaye ni Mtoto wako hana digrii na option ya kumpata Chairman Msomi ilikuwepo.

Ikitokea wanafunzi wa Udsm au Udom wanataka kuongea na uongozi wa Chadema yaani Chairman au Katibu mkuu ambao kwa bahati mbaya wote hawajawahi kusoma vyuo vikuu ukiondoa masomo ya Biblia aliyosoma Slaa.huoni kama Zitto angekuwa na ushawishi mzuri kwa vijana?MFANO BARAKA OBAMA elimu yake imesaisdia sana kumpa ushindi.

Mzee naomba urudi kunijibu maswali haya maana yale ya mwanzo yamekushinda kiasi unataka kukimbia JF kwa ajili ya maswali yangu.Mzee Demokrasia unayoililia ndio hii ya mimi kuuliza maswali ya msingi.kwa uzee wako nayakuza maandishi yangu ili usidondoshe miwani wakati wa kusoma.
 
Yaani wewe inaonyesha jinsi gani ulivyo mgumu hata kufikiria kidogo tu.. kweli unafurahisha kidogo. Hivyo ndio wewe uliyekuwa unandika kwa umakini mkubwa na sasa umekuwa kama vile kada usiyekuwa na msimamo?? Hivyo ndio maswali gani ya kuuliza haya bwana?? kwani kuongea na Wanafunzi lazima uwe na degree?? kweli rafiki yangu jaribu kuuliza maswali ya msingi..
 
Suala sio kuongea na wanafunzi, bali ni kujadiliana nao na kujibu maswali yao. Sasa kama mtu kafeli mwaka wa kwanza tu wa masomo ataweza hayo? Halafu kama yupo mtu qualified why kung'ang'ania kilaza? au kwa kuwa ana qualification kubwa kuliko zote ya UCHAGA?

Babu Mtei rudi ujibu maswali hapa acha kutafuta visingizio.
 
Upo sahihi kabisa, lakini hakuna aliejadili matatizo ya mtu na mkewe so far, na mzee wetu anaendelea ku enjoy Home of Great Thinkers
Acha majungu wewe kijana maana badala ya kuongea mambo ya maana unaanza kuwasema wakina Kibanda
 
Suala sio kuongea na wanafunzi, bali ni kujadiliana nao na kujibu maswali yao. Sasa kama mtu kafeli mwaka wa kwanza tu wa masomo ataweza hayo? Halafu kama yupo mtu qualified why kung'ang'ania kilaza? au kwa kuwa ana qualification kubwa kuliko zote ya UCHAGA?

Babu Mtei rudi ujibu maswali hapa acha kutafuta visingizio.
Yaani ndio umeamua kabisa kuwa signature yako kwa ajili ya chadema bwana mzee.. Kweli wewe ni noma
 
Wee Mzee nimekuuliza maswali ya msingi hata moja hujajibu sijui ni uzee au ndio kiburi kwa vile Mtoto wako keshakuwa Mwenyekiti wa ChADEMA.
Maswali mengine ya ziada naomba unijibu.Mtoto wako mwenye digri ya udaktari kwanini ameacha kazi ya kutibu na sasa ni meneja wa Bar? hujui Tanzania inahitaji madaktari?

Kielimu Zitto Kabwe ana masters wakati Elimu ya Mbowe ni ndogo sana kwanini Uenyekiti asipewe Zitto ili kuleta hadhi ya zamani ya Chadema?waanzilishi wa Chadema ni wasomi wewe ambaye Mwenyekiti muanzilishi una digri ya Historia na Literature,shemeji yako Makani Bob ana digri ya sheria, Mwenyekiti wa sasa ambaye ni Mtoto wako hana digrii na option ya kumpata Chairman Msomi ilikuwepo.

Ikitokea wanafunzi wa Udsm au Udom wanataka kuongea na uongozi wa Chadema yaani Chairman au Katibu mkuu ambao kwa bahati mbaya wote hawajawahi kusoma vyuo vikuu ukiondoa masomo ya Biblia aliyosoma Slaa.huoni kama Zitto angekuwa na ushawishi mzuri kwa vijana?MFANO BARAKA OBAMA elimu yake imesaisdia sana kumpa ushindi.

Mzee naomba urudi kunijibu maswali haya maana yale ya mwanzo yamekushinda kiasi unataka kukimbia JF kwa ajili ya maswali yangu.Mzee Demokrasia unayoililia ndio hii ya mimi kuuliza maswali ya msingi.kwa uzee wako nayakuza maandishi yangu ili usidondoshe miwani wakati wa kusoma.
Pumba hizi tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Huoni haya mtu mzima kuandika pumba hapa kijiweni?
Siku hizi ulikuwa unajikata sasa umerudi kuleta pumba kama kawaida.

Great thinkers wanaandika mambo ya akili kubwa wewe unaleta akili ndogo zenu zilizojaa ufisadi tuuuuuuuuuu.

Aliyekubatiza jina la kanda2 hakukosea. Yamkini we ni kanda2 kweli.
 
wee mzee mimi nimekuuliza viti maalum vilipatikana kwa utaratibu gani kiasi cha wabunge wote kuwa na uhusiano na mkoa wako wa kilimanjaro? Naona unakwepa swali dogo kama hilo.

pili mtoto wako mbowe alipanda vipi kidemokrasia wakati zitto kabwe ulimzuia?

unajua kama sheria inakata mtu kama wewe kushiriki kikao cha kuamua suala ambalo lina mgangano wa kimaslahi.mimi ningekuwa zitto ningehakikisha kuwa nakutoa kwenye kikao cha kujadili masuala yanahusu mtoto wako(mbowe).nyerere watoto wake walikuwa tanu/ccm hakuwabeba kama unavyofanya wewe.

swali la msingi tarime wameongoza kuwapigia kura 2005 na karatu jee mbona hakuna mtu aliyetoka maeneo hayo akapewa ubunge wa viti maalum zaidi ya wachagga tu?

kuna taarifa kuwa makani ameoa dada yako ambaye ni mchagga ndio maana amekuwa mtii kwako.

mwanao-mbowe ana sifa gani ya ziada kumshinda zitto ya kushika uenyekiti ukiondoa sifa mama ya uchagga na kuwa mtoto wako.

mtoto wa ndesamburo anayeitwa lucy nani alimpitisha au kikao gani kilimpitisha awe mbunge wa viti maalum kupitia chadema?

wee mzee ukaguzi wa mahesabu ya chadema unafanywa na kampuni gani ya auditing? Jee kabila gani huyo auditor?

kutokana na uzee wako nakupa haya ili baadaye nikupige na maswali mengine?

Mtu mzima ovyo!
 
pumba hizi tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

huoni haya mtu mzima kuandika pumba hapa kijiweni?
siku hizi ulikuwa unajikata sasa umerudi kuleta pumba kama kawaida.

great thinkers wanaandika mambo ya akili kubwa wewe unaleta akili ndogo zenu zilizojaa ufisadi tuuuuuuuuuu.

aliyekubatiza jina la kanda2 hakukosea. Yamkini we ni kanda2 kweli.

mie sijabatizwa samahani sana.

fisadi wewe uliyeomba pesa za matengenezo ya gari,lipumba akakushtukia.

mara ooh naomba pesa za wakili kwani sina kazi nauza chips na matikiti napata laki tatu kwa mwezi.

ulichoandika ni kujipendekeza kwa huyu mzee ukijua ndiye aliyeshika chama na hatima yako iko mikononi mwake.ndugu yangu umekuwa mtumwa maana hapa huna uhuru.
 
mmoja wa vijana hao ni wewe

na wewe hata miezi huna huko chadema wameshajitumbukiza kwenye siasa za makundi? Yaani una amini kuwa zitto anaongozwa na kundi la wajinga? Unaweza kumkabili zitto? Ni mapema mno kwako kuwa kundi la mbowe kabla hujasoma mazingira ya kikundi hiki cha mzee mtei,siwezi kukiita chama.
by the way katiba ya chadema umeshamaliza kuisoma?
toka niandike habari za kijambazi za ndugu yako mutembei aliyezuiliwa na mkapa ubunge kwa kuwa ni jambazi basi umejenga chuki nami?
 
Sina chuki nawe ila naichukia sana sisi M....... yako na Mtembei maana wote nyie mko kundi moja katika chama cha Majambazi Tanzania.
 
Kazi ipo mwaka 2010 na sisi yetu macho tu.ila politics za kibongo veru sucks
 
Hivi huyu Absalom Kibanda alipoandika kwamba "ndani ya Chdema anaungwa mkono na vijana wajinga" alikuwa anazungumzia kiongozi yupi? likuwa ni wakati wa Edwin Mtei, Bob N. Makani au Freeman Mbowe?

Nielewavyo Kibanda sasa ni Mhariri Mtendaji wa TANZANIA DAIMA, gazeti linalojaribu kuonyesha msimamo imara dhidi ya mafisadi. Maoni yake juu ya viongozi hawa yamebadilika au la?
 
Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba, ndani ya Chadema anaungwa mkono na vijana wajinga wa CCM.
 
Back
Top Bottom