chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Ukweli umeshaeleweka waliobakia ni wa kaskazini tu ndo wanakomaa na chadema
Wewe unakomaa na nini mkuu. Manake kama vile hueleweki kabisa
Ukweli umeshaeleweka waliobakia ni wa kaskazini tu ndo wanakomaa na chadema
Mzee ameamua kuongeza marifa tumwache abobee zaidi jamani awe mpana zaidi ni hazina kwa taifa.
Habari za kutunga hizo. Slaa wala hayuko Nje ya nchi tuko nae hapa mjini katulia TULI.
Chadema chama cha wapiga deal
Hayo aliyoongea angekuja ayasemee huku nyumbani Tz ndio tungejua ukweli, issue za chama cha Tz ww unaenda kuongelea USA:what: nonsense kabisa
Kwahiyo Slaa aliyeondoka chadema yeye ni wa kusini sio?!Ukweli umeshaeleweka waliobakia ni wa kaskazini tu ndo wanakomaa na chadema
Sasa wewe unajitofautishaje na huyo doctor uliemtaja kabla hatujawapuuza wote kwa pamoja.Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekuwa katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Wilbroad Peter Slaa amezionesha stakabadhi za malipo ambayo Lowassa aliyafanya ili kujiunga na chama hicho, Dr. Slaa amesema kuwa amefikia hatua hiyo ili kuwaonesha Watanzania kile kilichomfanya yeye kuondoka CHADEMA. Ameendelea kusema kuwa pia amesukumwa kufanya hivyo ili kuwaonesha wana CHADEMA waliokuwa wanambeza na kusema kanunuliwa ili mara nyingine wasirudie kusema mambo wasiokuwa na uhakika nayo.
Akiongea mbele ya vyombo vitatu vya habari akiwa mjini Austin, TX nchini Marekani ambako anachukua kozi fupi ya Sheria ili kujikumbusha vitu vilivyobadilika kwenye fani hiyo ambayo anatarajia kuanza kuifanyia kazi kuanzia Januari mwakani.
Nyaraka hizo za siri za CHADEMA zimezua gumzo kubwa nchini humo na watu wengi waliopata kuziona wameibeza sana CHADEMA na kuifananisha na chama cha Kidalali, chama cha wapiga pesa alisema Injinia Musa Kipao mkazi wa Tabata jijini Dar.
Mfa maji huyo dr.
Mngeshinda kihalali msingehangaika kiasi hiki wallahi
Hayo aliyoongea angekuja ayasemee huku nyumbani Tz ndio tungejua ukweli, issue za chama cha Tz ww unaenda kuongelea USA:what: