CHADEMA chama cha kidalali na wapiga dili asema Dr. Slaa

CHADEMA chama cha kidalali na wapiga dili asema Dr. Slaa

Status
Not open for further replies.
Mambo ya CHADEMA yawe gumzo Marekani??Kwa maana hiyo Edo alilipa hadi kodi kwenye hayo manunuzi??Weka hizo stakabadhi tuzione maanake hakuna maana ya kwenda kuwaonesha wamarekani ilhali wanaokutuhumu ni wamatumbi.

Ni vichekesho hawa ccm huwa wanafanyaga, eti slaa awe na risiti akae nazo hadi leo. Na risiti za nini hasa, ni sawa na mtu kusema ana risiti za mahari. Wanapendaga tu kuchekesha humu jamvini
 
Hizo nyaraka ambazo hakuweza kuzionyesha akiwa Tanzania anakwenda kuzionyesha nje kama ni kweli huo ndo tunauita uimbukeni. Nani atathibitisha kuwa hizo nyaraka ni halali na ni original kwaba siyo za kutengeneza mtaani?

Tatu siasa za maji taka ndizo alizojifunza. Ulimwengu wa leo ni wa hoja siyo wa siasa za maji taka tena.
Every political part makes deal with people in order to survive in the politics. Hilo siyo jambo la ajabu. Dili kwenye siasa ni mambo ya kawaida na hayaepukiki.
Alete hoja nyingine hiyo imepeperushwa na upepo kwa kuwa ni pumba sana.
 
Hii biashara ya kutafuta uraisi imetia hasara kubwa sana EDDO, ametumia bilions of Money 4nothing, tumwache ajimalizikie polepole,hana impact yoyote kwa sasa, ashaalizwa na JK
 
Vyovyote itakavyokuwa Sasa Naamini Waliompokea Lowassa walitumia Kichwa kufikiri Badala ya tumbo !!

Na hicho ndicho Kinachofanya Magazeti
Na blog kukosa mauzo wasipomuandika Lowassa
 
Aanzishe chama chake na ajenda kuu iwe chadema.ikibidi aungane na zzk na ccm.pekeyake hataweza
 
..LOL!!

..Dr aache kuchanganya masomo na siasa.

..mshika mawili moja humponyoka.

cc Simiyu Yetu

Mkuu thanks, umenisaidia sana. Nilianza tu kutiririka kwenye comments za watu, nilipoifikia comment yako nimeamua kuishia hapo. Sijui kwanini sikusoma na kumjua mwanzishi wa hu uzi.!
 
Last edited by a moderator:
Lies never work.

Dr. Slaa hasn't said anything of such kind.
 
Weka nyaraka hadharani otherwise itakuwa majungu
 
Tangu mkutano wake na wana habari pale Serena sioni kama Ipo siku ataongea mazuri kuihusu Chadema?so nimuendelezo ya chuki yake zidi ya nafasi ya Kuwania Uraisi.
 
..LOL!!

..hivi mlivyotubamiza haijatosha?

..bado kuna dawa nyingine zaidi?!!
hahahahah, mpaka mbowe akamatwe juu ya kuingiz watu kinyemela ili kuleta machafuko. wewe subiri utamsikia tu. Na ndiyo utajua kwa nini tuliwaambia mamvi na dj ni wezi na matapeli
 
.....Slaa hana hoja....anaumia kwamba chadema wamevuka salama kwenye uchaguzi huu....maana lengo lake ilikuwa chadema imeguke vipande baada ya lowassa kuhamia chadema...lakini kwa vile chadema wamefanya vema kinyume na mategemeo yake kwenye uchaguzi basi sasa yeye (possibly na mchumba wake) wameumia tu...wengine tulishamsahau slaa...haswa pale alipolazimishwa na mchumba wake kuacha siasa....
 
Habari ya kizushi na kichonganishi.
Kama ametoa stakabadhi za malipo kwa nini usilete hapa watu waone?
MaCCM mnahangaika sana na bado.
 
yeye inamuuma nini kama aliongea kwa mdomo hatukumuelewa sembuse makaratasi ambayo anaweza jitengenezea embu fikiria hilo
 
sema baba mkweli ni mpenzi wa mungu na umemtanguliza mbele mungu kusema ukweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom