CHADEMA ni chama kisicho na sera kabisa, sera yao ni ufisadi tu hawana sera nyingine. Hebu cheki kipindi watu wanakufa mahospitalini kutokana na mgomo wa madr, hapakuwepo na hata ka mpango ka kuandaa maandamano nchi nzima kutoka kwao na hivyo serikali ikawa haina mtu/chombo cha kuishinikiza ili iharakishe kutatua madai ya madr. Ila kama ingekuwa kupinga kulipwa kwa dowanz, maandamano yangekuwa ni mapema sana, au kama ingekuwa ni mafuriko wangejidai kuwatembelea waathirika haraka sana, ila kipindi wagonjwa wanakufa hospitalini CHADEMA hawakuonekana mahosiptalini ili kuwafariji wagonjwa. Poor CHADEMA.