Wana-Chadema, mbona hii ni hoja ya kawaida kabisa ya kisiasa ambayo mnachotakiwa ni kuijibu kwa hoja badala ya matusi na kejeli? Wengi hoja inawalemea sio kwa sababu mmekosa mambo ya maana ya yakujibu, bali kutanguliza hasira mbele. Wengi wanaichukulia kimzaa mzaa tu huku wengi zaidi wakijikita katika kutoa kauli zilizojaa kejeli kuliko jambo lingine lolote.
Hii ni nafasi nzuri ya kuonyesha kwamba nyie sio mashabiki tu bali wapenzi wa Chadema ambao mnauelewa mkubwa wa itikadi, sera na falsafa nzima ya Chadema na mpo tayari kuipigania ki-hoja dhidi ya CCM. Msichukizwe na kauli za mtoa mada. Hizi ndio siasa zenyewe kama mlikuwa hamna habari.
Wamepagawa na udini na ukabila hiyo ndiyo falsafa kubwa wanayoielewa!!
Chama
Gongo la Mboto DSM.