Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.
Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia.
Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi.
Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini.
Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.
Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.
Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.
Nadhani huna hoja za msingi zaidi ya porojo.
Mkuu nadhani kuna maelewano ambayo hayako wazi lakini wajanja tumeng'amua.Kimbunga,
Nakuhakikisha mipango ya maandamano bado ipo pale pale. It is just a matter of time and it has nothing to do with mkutano wa Ikulu kuhusu katiba. Just stay tuned!
It does not matter. Mnyika naye yupo hapa mara kwa mara. Kama nimesema uwongo atanisahihisha. Ninachojaribu kufanya ni kusuta ile dhana iliyoenea kwamba Chadema wameacha maandamano baada ya kukutana na Kikwete Ikulu. Si kweli na maandamano bado ni mojawapo ya mbinu za Chadema. It is just a matter of timing.Jasusi,
Hivi wewe na John Mnyika nani msemaji wa Chadema?