ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
Nchi hii ina television moja? Na hao ccm wamelipia TV station zote siku hiyo? Mambo mengine mkiambiwa basi changanyeni na zenu
Kweli huu utoto sasa.Kwani TV zinarusha bure matangazo haya?TV zipo nyingi,nyie wanasiasa mnatuvurga bwana
Kama watu walipinga muswada wa kuzuia vyombo vya habar kuonyesha taarifa za habari zao saa mbili asubuhi na Mengi ndio alikuwa wa kwanza kupinga leo watakubali waingiliwe katika majukumu yao hayo? Hapo lazima itakuwa Ukawa walichelewa kupeleka hayo maombi wakakuta tayari CCM imeshaweka oda ndio ikashindikana sio wamezuiliwa hizo ni propaganda za kitotoKakupa source, kwa nini usinunue gazeti ujisomee!
Nchi hii ina television moja? Na hao ccm wamelipia TV station zote siku hiyo? Mambo mengine mkiambiwa basi changanyeni na zenu
weka hilo gazet hapa tuache ubishi , mana upotoshaji mwingi kwel
Haaaaaa! Kama wamefikia hapo basi hili ni tatizo serious.
Ila bado hakijaharibika kitu, watuzuie na kwenda jangwani basi?
CCM wanahaha kweli mwaka huu... ITV wataonyesha wala hakuuna shida..Wao waendelee na TBC kama ilivyo kawaida yaoNinachoona hapa ni kuwa ukawa wamekuwa Wajanja zaidi ya ccm, baada ya uzinduzi wa ccm keshoye jamaa kaibukia kwenye dala dala aka draw attention ya media na kupunguza mwangwi wa ccm.
Hakika CCM kiboko! Wamehakikisha hakuna chama kingine cha siasa ambacho kitapata nafasi kutumia viwanja vya mikutano kwa sababu wameandaa matamasha mbalimbali kwa muda wote wa kampeni!
Aidha CCM imehakikisha imelipia katika tv zote muda ambao vyama vingine vingetumia kulipia matangazo yao ya kampeni ili wautumie wao!
Sasa sijui sheria inasemaje katika matumizi makubwa ya fedha katika kampeni!
Hili la Matamasha Polisi na Tume ya Uchaguzi wakilifumbia macho watakuwa wa Kwanza kufika mble ya ICC.
Wana muziki wanaotumiwa kwa kazi hii wantakiwa kuwa makini maana wanaishi na jamii mchanganyiko-kutumika kwao hata kama nikulipwa pesa wanatakiwa kujitambua madhara yatokanayo.
NEC inaendeshwa na chama tawala lakini ipo siku basi wanunue na magazeti,wafunge mitandao ya kijamii ili wabaki wao na kuendeleza propaganda kuwa wamejitoa. Naona kura za huruma kwa ukawa zinakujaHakika CCM kiboko! Wamehakikisha hakuna chama kingine cha siasa ambacho kitapata nafasi kutumia viwanja vya mikutano kwa sababu wameandaa matamasha mbalimbali kwa muda wote wa kampeni!
Aidha CCM imehakikisha imelipia katika tv zote muda ambao vyama vingine vingetumia kulipia matangazo yao ya kampeni ili wautumie wao!
Sasa sijui sheria inasemaje katika matumizi makubwa ya fedha katika kampeni!
Nasikia Harufu ya damu