hili la ukawa kila mpenda haki analaani hata wanaccm wenyewe wanasema ccm kama inajidai kukubalika kwa wananchi ingeacha mambo yangekuwa huru. ili hatimae wananchi waamue kwenye sanduku la kura...ccm inapendelewa na dola...
basi oktoba 25,tufanye tathmini tusiojielewe na mnaojielewa tuko wangapi,Hata wafanyeje wasubiri hasira za watanzania wanaojielewa; sio wale ambao wako lindi la umasikini na wanawapa wali; kesho yake wanawapa kura, ni dharau kubwa sana!!
Acha uwongo wewe
mi nilichosikia ni kwamba wanazuiwa kuzindua campain kufanyikia viwanja vya jangwani et kwa sababu siku iyo shughuli za ccm zitakua zinaendelea pia...gazeti la leo asubuhi limesema ivo ila halijaongelea habari za tv kuzuia,
CCM hawawezi kulipia zote?Kweli huu utoto sasa.Kwani TV zinarusha bure matangazo haya?TV zipo nyingi,nyie wanasiasa mnatuvurga bwana
Gor kuwa na hekima na akili. UKAWA walishapatana(Malipo, Kanuni, Muda, Mahali na Siku ya kurusha matangazo yao) na vituo kadhaa vya Television(ITV, Star Tv nk) sasa baadaye tena CCM wakaibuka tena kwenda kushawishi na kushnikiza vituo hivyo visirushe matangazo hayo bali virushe matangazo ya CCM mkoani Mbeya!
Tafuta gazeti la Mwananchi la leo then utasoma vizuri.
Hivi kwa akili ya kawaida CCM inaweza kwenda ITV na kuwaambia musirushe mkutano wa UKAWA? kwa sheria hip?
Kwa hii ccm ya sasa, inawezekana kabisa, ni mazuzu mno
1.angalia mkapa alivyoongea kama muhuni tu wa mtaani
2. Angalia kada wao pole pole mambo anayoongea, wanaopinga katiba wamehama, wakati mgombea mwenza wa ccm alikuwa makamu mwenyekiti wa BMK
3.angali vituko vya polisi, mamlaka ya anga, mkurugenzi wa ilala
4. Angalia type za wasanii wanaowaunga mkono
CCM hawawezi kulipia zote?
CCM imefanya mikutano mingi sana uwanja wa Taifa, toka kipindi cha TANU ya Nyerere tunapata uhuru mpaka CCM ya Kikwete shughuli za CCM kadhaa zimekuwa zikifanyika pale.Hivi toka umepata akili ulishasikia chama cha siasa kimefanya mkutano uwanja wa Taifa? TV station zetu karibu zote zinapatikana nchi nzima, hebu tutajie TV gani ambayo ccm wamezuia tuone, hebu tokeni kwenye kundi la nyumbu fungueni akili zenu japo kidogo tu muyaone mambo kwa uwazi,
Hapana sasa hii too much! TV stations zipo za kutosha si waongee na Azam TV basi
Watakuwa hawajalipia matangazo yaliyopita ndiyo maana. Waache kuwachafulia TV stations eti wameminywa na CCM .. walipe bili zao! Oho watakuja kuumbuliwa!
Kama fitna ndogo ndogo kama hizi za vituo vya TV huyo Edo anashindwa mpaka kuja kulialia hapa, ataweza fitna za ccm kwenye wizi wa kura? Hamjajiandaa kabisa kuiondoa ccm kama ndio hivi, yeye anaishi dar fitna zote zinafanyika dar na yeye kila fitna anapigwa chini kuna nini zaidi?
Hapana sasa hii too much! TV stations zipo za kutosha si waongee na Azam TV basi
Watakuwa hawajalipia matangazo yaliyopita ndiyo maana. Waache kuwachafulia TV stations eti wameminywa na CCM .. walipe bili zao! Oho watakuja kuumbuliwa!
Matatzo waga hatafuti mtu Bali matatizo huyatafuta bina dam ccm wanatafuta matatizo tena makubwa sana.
hili la ukawa kila mpenda haki analaani hata wanaccm wenyewe wanasema ccm kama inajidai kukubalika kwa wananchi ingeacha mambo yangekuwa huru. ili hatimae wananchi waamue kwenye sanduku la kura...ccm inapendelewa na dola...