Vyama vya CCM, Chadema na CUF kila kimoja kimeongeza viti viwili vya ubunge kutokana na matokeo ya uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibuni, kwa sasa kila chama kimefikisha wabunge
CCM 260
Chadema 47
CUF 34
Vyama vya CCM, Chadema na CUF kila kimoja kimeongeza viti viwili vya ubunge kutokana na matokeo ya uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibuni, kwa sasa kila chama kimefikisha wabunge
CCM 260
Chadema 47
CUF 34
102+10+1=113 huu ni ufujaji wa mali ya umma! Tunahitaji tuangalie upya umuhimu wa hizi nafasi za kuteuana bungeni.
Je wote watanunuliwa MASHANGINGI? WADAU HEBU PIGENI HESABU ZITATUMIKA FEDHA KIASI GANI ikiwa ni pamoja na mishahara yao na malupulupu pamoja na kiinua mgongo cha kumaliza ubunge.
je wote watanunuliwa mashangingi? Wadau hebu pigeni hesabu zitatumika fedha kiasi gani ikiwa ni pamoja na mishahara yao na malupulupu pamoja na kiinua mgongo cha kumaliza ubunge.
THUBUTUUUU..... hapo ndio pagumu... kadogoo hebu fikiria, Mh. Lwakatare, CUF waliamua kugoma kwenda Bungeni yeye alikwenda. Leo yuko CHADEMA. Hapo unapaswa kufahamu wengi waliomo mule wamo KIMASLAHI ZAIDI :angry:kwa kuwa chadema wanaenda bungeni kuwakilisha wananchi, tunawaomba wasusie mashangingi na posho za kila siku maana huu ni ufisadi na ufujaji wa fedha za walipa kodi!!!
Nahakika kama waliweza kususia hotuba ya rais basi kususia magari ya kifahari ni muhimu zaidi ili kuonyesha uzalendo wao!!!!!
Maneno ya Tendwa yametimia "bunge lijalo litakuwa na Wabunge wa Upinzani wasiopungua 80....!!!"