Elections 2010 Chadema, CCM na CUF vyaongezewa viti bungeni

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Vyama vya CCM, Chadema na CUF kila kimoja kimeongeza viti viwili vya ubunge kutokana na matokeo ya uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibuni, kwa sasa kila chama kimefikisha wabunge

CCM 260
Chadema 47
CUF 34
 
Kina nani wamechaguliwa, twaomba majina
 
originally CHADEMA walikua na 45, akaongezeka S. Arfi na kuwa 46, kama maalum vimeongezeka 2 then jumla ni 48, hapo vipi mkuu?
 
102+10+1=113 huu ni ufujaji wa mali ya umma! Tunahitaji tuangalie upya umuhimu wa hizi nafasi za kuteuana bungeni.
 
Ubunge wa kuteuliwa hauna tija kwa taifa zaidi ya kuongeza gharama za uendeshaji bunge na kusaidia chama tawala kupitisha miswaada kwa wingi wa kura na si tija.
 
Vyama vya CCM, Chadema na CUF kila kimoja kimeongeza viti viwili vya ubunge kutokana na matokeo ya uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibuni, kwa sasa kila chama kimefikisha wabunge

CCM 260
Chadema 47
CUF 34

Taarifa nzuri ila ungesema waliopata viti ni Chadema na CCM kwa sababu CUF ni CCM.
 
102+10+1=113 huu ni ufujaji wa mali ya umma! Tunahitaji tuangalie upya umuhimu wa hizi nafasi za kuteuana bungeni.

Hata wale wabunge wanaochaguliwa na wananchi bado ni wengi sana. Serikali ya TZ ni kubwa sana.
 
Je wote watanunuliwa MASHANGINGI? WADAU HEBU PIGENI HESABU ZITATUMIKA FEDHA KIASI GANI ikiwa ni pamoja na mishahara yao na malupulupu pamoja na kiinua mgongo cha kumaliza ubunge.
 
Je wote watanunuliwa MASHANGINGI? WADAU HEBU PIGENI HESABU ZITATUMIKA FEDHA KIASI GANI ikiwa ni pamoja na mishahara yao na malupulupu pamoja na kiinua mgongo cha kumaliza ubunge.

Mkuu wote wanapata. Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa maskini huwa ana matumizi mabaya sana ya pesa kuliko tajiri. Yaani kwa kifupi ni mtu wa kutapanya hovyo. Na kweli, badala ya kubana matumizi kwa kupunguza hawa wabunge sisi tunawaongeza tu huku tukilia nchi ni maskini.
 
je wote watanunuliwa mashangingi? Wadau hebu pigeni hesabu zitatumika fedha kiasi gani ikiwa ni pamoja na mishahara yao na malupulupu pamoja na kiinua mgongo cha kumaliza ubunge.

kwa kuwa chadema wanaenda bungeni kuwakilisha wananchi, tunawaomba wasusie mashangingi na posho za kila siku maana huu ni ufisadi na ufujaji wa fedha za walipa kodi!!!
Nahakika kama waliweza kususia hotuba ya rais basi kususia magari ya kifahari ni muhimu zaidi ili kuonyesha uzalendo wao!!!!!
 
Maneno ya Tendwa yametimia "bunge lijalo litakuwa na Wabunge wa Upinzani wasiopungua 80....!!!"
 
kwa kuwa chadema wanaenda bungeni kuwakilisha wananchi, tunawaomba wasusie mashangingi na posho za kila siku maana huu ni ufisadi na ufujaji wa fedha za walipa kodi!!!
Nahakika kama waliweza kususia hotuba ya rais basi kususia magari ya kifahari ni muhimu zaidi ili kuonyesha uzalendo wao!!!!!
THUBUTUUUU..... hapo ndio pagumu... kadogoo hebu fikiria, Mh. Lwakatare, CUF waliamua kugoma kwenda Bungeni yeye alikwenda. Leo yuko CHADEMA. Hapo unapaswa kufahamu wengi waliomo mule wamo KIMASLAHI ZAIDI :angry:
 
Back
Top Bottom