CHADEMA bwana

Kati yako na Flora nani mkubwa?
Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!
watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana!

<br / nakukeraee? Ukweli unauma! Teh teh teh tehhhh aibu zenu wezi wakubwa nyie

Pumba hizi!

Yani kweli wewe bebii kweli, bila cdm hata neno ufisadi usingelijua wewe. Bunge limekuwa hot coz ya cdm na mambo mengi tu. Hapo cdm kumbuka haija shika serikali ni kuptia udogo wa wabunge wao bungeni na majukwaani serikali inabidi kuwajibika coz wanajua cdm itawaumbua. Bila cdm leo ccm wangevuana magamba. Tafakari au wewe mwenzangu unataka mpaka uwekewa ela mfukoni ndo utaona umesaidiwa

umeona eeh nadhani yeye ndo wa kwenda facebook
Bebii,
Hawa jamaa hawana lolote kazi kulalamika tu nyuma ya Laptop zao na simu.
Halafu cha kushangaza wote wapo undercove hawajuani, Kamanda wao Mbowe kawaambia wajiandae kuvamia Ofisi za Manispaa kwa Maandamano yasio kuwa na tija kwa Taifa
wanajiandaa na visu na mapanga

Bila shaka ww fisadi nyangumi

so bunge kuwa hot umefaidika nini kipato chako kimeongezeka?

yaani wabongo wanapenda ushabiki wa mdomo vijiweni saaana oooh CCM tuitoe siku ya kura hawapigi kura ooh kura wamechakachua while mtu akupiga kura.KAMA SERIKALI NI MBAYA NI KOSA LA CCM AU WALE AMBAO HAWAKUPIGA KURA NA KUISHIA KUTOA MANENO VIJIWENI? CDM HAO MAANA CCM KWA KUPIGA KURA NAWAAMINIA

CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Najiaanda kwa maandamano tutavamia ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha.Maandamano yapangwe siku ya mishahara ili nivamie ofisi ya watunza fedha usawa huu lazima nitoke.

CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Najiaanda kwa maandamano tutavamia ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha.Maandamano yapangwe siku ya mishahara ili nivamie ofisi ya watunza fedha usawa huu lazima nitoke.
ndo akili iyo?

CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Najiaanda kwa maandamano tutavamia ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha.Maandamano yapangwe siku ya mishahara ili nivamie ofisi ya watunza fedha usawa huu lazima nitoke.
Mimi sishangai...
Hizi ndizo akili za CDM na viongozi wao

Hahaaa, wakuu; jukwaa la mapenzi limehamia huku sku hiz? haka katoto naona mnakakomalia saana, kaacheni bana-hata mkikauliza siasa ni nn hakawezi kueleza! Shule za kataa hzo za magamba!

hahaaa, wakuu; jukwaa la mapenzi limehamia huku sku hiz? Haka katoto naona mnakakomalia saana, kaacheni bana-hata mkikauliza siasa ni nn hakawezi kueleza! Shule za kataa hzo za magamba!
elimu yangu huna hata robo yake to me wewe ni mdogo sana kama amoeba yenyewe

mlizoea kula, kuiba mali za umma bila mtu wa kuwauliza, sasa CHADEMA imewakamata - inachofanya ni kuwashitaki kwa wananchi, na wananchi sasa wameshajua maovu yote ya chama cheki hiki kilichozeeka.

Mtasema mengi tu, sishangai haya unayodai ni ya msingi kwani hakuna hata siku moja chadema ilichukua hata thumni ya mlipa kodi wa nchi hii sasa iweje uhoji CHADEM impe mwananchi maendeleo. Kazi ya CHADEMA ni kuangalie wapi serikali inawanyonya wananchi na kuwaamsha. Waeleze na wanamagamba wenzako kwamba hali sasa ni mbaya wenye SHAMBA wamezinduka in other worlds zoezi hili ni endelevu hadi oct 2015.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…