CHADEMA bwana

Chadema's partisans are more of armchair critics. They have incessantly engaged into kvetching, perpetual puling and perennially derogating CCM's performance. Astoundingly, they haven't yet corroborated their lamentations by vivid actions.
 
wewe ndo hujui lolote kazi kukaa tu vijiweni na kupiga makelele? Kwanza uchaguzi wenyewe zaidi ya nusu hamkupiga kura mlikuwa mnategemea nini amkeni basi asubui siku moja mumpeleke huyo slaa wenu ikulu watanzania mnajua kuongea tuu
<br />Bebii, kojoa ulale
<br />
 
wewe unajua serikali kwa mdomo
 
Chama tawala ni chadema au ccm? Maana nashindwa kuelewa! Umuhimu wa vyama pinzani ni kuchalenge chama tawala, angalia kina zito kabwe na wenzie wamefichua maovu mangapi? Tufikirie kwa kina endapo vyama vya upinzani visingekuwepo hii nchi nafikiri ingeuzwa.
 
ni kujue wa nini for what? Never sitaki kukujua. Nijue mtu fake?

kama hutaki kunijua kwa nini unafananisha akili yangu na yako? Huenda wewe ndo huingii hata robo kwenye akili yangu
 
Karatu mbona mfuko wa Saruji wanauza 5000.
Arusha Lema kajenga Machinga Compelex mbili
 
HTML:

Yes, Majiji yote makubwa, au hujapita Masaki, mikocheni, msasani, Regent estates, maji tele tele, umeme wa kumwaga, barabara za lami na mijumba mikubwa mikubwa.
 
bebii leo umelala na nani?
hiyo shughuli naona imekufaa sana kwani unauza kama huna akili nzuri.
tahadhari ungeendelea na hiyo biashara kuliko kuingilia mambo usiyoyajua.
 
<br />
<br />
mi nimeshakwambia ya kwamba we una mambo makubwa yanayokusumbua ila sitakuambia usije ukanielewa vibaya! Ila hilo kengeza ulilonalo inatosha kwa wanakuona wajuwe ubovu wako. pelekesha mbele nguruwe jike weee!
sikai vijiweni mimi kwanza wewe sio wa type yangu. Si urge na mafool
 

Unaweza kumkwamua mtu kutoka katika hali mbaya kwenda hali nzuri kwa tumia sera zako kama chama, na unaweza kuzitumia sera zako mpaka upewe dola, na unaweza kupewa dola mpaka upigiwe kura nyingi na wananchi. Na kura nyingi za wananchi zitakufanya ushinde uchaguzi iwapo kutakuwa na tume huru ya uchaguzi, tume huru ya uchaguzi itapatikana iwapo tuu katiba mpya itaandikwa.

Katiba mpya itaandikwa iwapo tuu wananchi wengi wataonyesha kuihitaji, wananchi wengi watapewa fursa ya kuonyesha kama wanahitaji katiba mpya iwapo tuu utawala uliopo utataka.

Utawala usipotaka katiba mpya haitapatikana mpaka nguvu ya umma itumike, nguvu ya umma itafanikiwa iwapo tuu umma utataka na umma utataka iwapo tuu watu kama bebii wataamka kutoka usingizini.
 
ooh hai kule kwa wamachame kuna rotuba toka zamani hawajui njaa kule iyo sio kazi ya chadema ni watu na juhudi zao.na umeme upo toka zamani maji yanatoka mlimani toka zamani sema lingine
 
Bebii yuko jf kutafuta mpenzi na amekiri mara nyingi mume wake lazima atoke huku jf sasa kule MMU Wamemuona ni katoto hakajui mapenzi ameamua kukua kwa kuanza Politics! Bebii " Makalio at it best"
 
so tume ilikunyima kupiga kura?
 
bebii yuko jf kutafuta mpenzi na amekiri mara nyingi mume wake lazima atoke huku jf sasa kule mmu wamemuona ni katoto hakajui mapenzi ameamua kukua kwa kuanza politics! Bebii " makalio at it best"
kuna mahali uliniona natafuta mpenzi?
 

Speak on your own baby!
 
walivofichua hayo mambo wewe umesaidika vp?
 
Chadema bana,,,
kwa wananchi wanajidai viduume... kumbe huwa wanaenda kulia lia kwa Waziri mkuu!
Thanx Pinda kwa kusema ukweli jana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…