CHADEMA bwana

Mfa maji haachi kutapa - Kifo ni lazima kimkute ni suala la muda tu babie.
 
Hivi kweli mpaka leo mtanzania huyu hajui umuhimu wa siasa ktk jamii?!! Ila tusishangae sana yawezekana hajatambua na hajitambui!
 

Mkuu huo msokoto leo umezidisha kipimo
 
Walau tunaona mabadiliko bebii, leo hata bajeti hazipitishwi kijinga kijinga walau mambo ya nakubaliana na bajeti mia kwa mia yamepungua bebii. Kila kitu kinaenda kwa utaratibu leo viongozi wakianza kuwajibika mambo ya tachange na mwisho wa siku kila mtu atafaidika na si wachache tu. Wajua wewe huoni umuhimu wa cdm kwa kuwa hawakusaidii directly but jua wana umuhimu sana na ukitafakari utauona ama ushauona ila unajaribu kuupinga.
 
<br />
<br />
mbinu mbadala naona tukuuze wewe ggm, hatujali watakavyokufanya, sisi tupate fedha, hiyo ndo njia mbadala, je unakubaliiiii!!!!!!
 
wakulima wapi? Wewe au mjomba wako au shangazi yako kuna ambae amezipata?

Mbona hueleweki unatetea magamba au unaponda!
HEBU NINONG'ONEZE BASI WALIZIPELEKA WAPI HELA HAKUNA MTU WAKUTUSIKIA!

hapa umeyumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…