Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Kuna kila dalili kwamba CHADEMA hakitamsimamisha DR. SLAA kugombea Urais kupitia Chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya CCM. Habari zilizopatikana toka ndani ya CHADEMA zinasema, uongozi wa Chama hicho hauridhishwi na utendaji kazi wa Katibu Mkuu huyo kwa kile kinachosemekana kwamba anaingilia shughuli za Chama ngazi za chini kwa mfano MKOA WA KILIMANJARO, uongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa hususani BAZIL LEMA, PHILEMON NDESAMBURO, na LUCY OWENYA wanamlalamikia Dr.SLAA kuendesha uchaguzi katika Kata ya NJORO bila kuwashirikisha , ambapo JOHN JOMBA NKOY alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya NJORO na ABDULRAHMAN YUSUF SHARIFF kuwa Katibu. Aidha Dr. SLAA alijaribu kulipa deni la CHADEMA linalokadiriwa kuwa Tsh. Mil.94 kwa TRA, kitendo ambacho Uongozi wa Chama uliona kama huko ni kujipendekeza kwani kuna madeni mengi tena makubwa ya kulipa hasa yale ambayo anayedai ni Mwenyekiti au swahiba zake. Swali ni, je huwenda ukawa mwisho wa Dr. SLAA ndani ya CHADEMA?MAONI YANGU: Watakuwa hawajamtendea haki Dr SLAA kwa vile ni yeye aliyeng'arisha nyota za watu wa aina mbalimbali na hata Chama kikapata idadi kubwa ya wabunge na kufakiwa kuunda kambi ya upinzani bungeni. Toa maoni yako.
Mkuu inaonyesha uko vizuri sana katika kusoma dalili za kutokea vitu, hebu nisaidie kitu kimoja hapa. Mke wangu anaanza paper za NBAA kesho vipi kuna dalili zozote kwamba atafaulu? na kwa kiwango gani?Kuna kila dalili kwamba CHADEMA hakitamsimamisha DR. SLAA kugombea Urais kupitia Chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya CCM.
Kuna kila dalili kwamba CHADEMA hakitamsimamisha DR. SLAA kugombea Urais kupitia Chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya CCM. Habari zilizopatikana toka ndani ya CHADEMA zinasema, uongozi wa Chama hicho hauridhishwi na utendaji kazi wa Katibu Mkuu huyo kwa kile kinachosemekana kwamba anaingilia shughuli za Chama ngazi za chini kwa mfano MKOA WA KILIMANJARO, uongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa hususani BAZIL LEMA, PHILEMON NDESAMBURO, na LUCY OWENYA wanamlalamikia Dr.SLAA kuendesha uchaguzi katika Kata ya NJORO bila kuwashirikisha , ambapo JOHN JOMBA NKOY alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya NJORO na ABDULRAHMAN YUSUF SHARIFF kuwa Katibu. Aidha Dr. SLAA alijaribu kulipa deni la CHADEMA linalokadiriwa kuwa Tsh. Mil.94 kwa TRA, kitendo ambacho Uongozi wa Chama uliona kama huko ni kujipendekeza kwani kuna madeni mengi tena makubwa ya kulipa hasa yale ambayo anayedai ni Mwenyekiti au swahiba zake. Swali ni, je huwenda ukawa mwisho wa Dr. SLAA ndani ya CHADEMA?MAONI YANGU: Watakuwa hawajamtendea haki Dr SLAA kwa vile ni yeye aliyeng'arisha nyota za watu wa aina mbalimbali na hata Chama kikapata idadi kubwa ya wabunge na kufakiwa kuunda kambi ya upinzani bungeni. Toa maoni yako.
Ivi kwann cdm taifa iingilie maamuzi ya ngaz za kata na wilaya?hakuna chain of command ya kueleweka?
toa hoja. Matuzi kwani wewe ni mbwa?
hizi ni stori za kwenye vibaraza vya misikitikuna kila dalili kwamba chadema hakitamsimamisha dr. Slaa kugombea urais kupitia chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya ccm. Habari zilizopatikana toka ndani ya chadema zinasema, uongozi wa chama hicho hauridhishwi na utendaji kazi wa katibu mkuu huyo kwa kile kinachosemekana kwamba anaingilia shughuli za chama ngazi za chini kwa mfano mkoa wa kilimanjaro, uongozi ngazi ya wilaya na mkoa hususani bazil lema, philemon ndesamburo, na lucy owenya wanamlalamikia dr.slaa kuendesha uchaguzi katika kata ya njoro bila kuwashirikisha , ambapo john jomba nkoy alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema kata ya njoro na abdulrahman yusuf shariff kuwa katibu. Aidha dr. Slaa alijaribu kulipa deni la chadema linalokadiriwa kuwa tsh. Mil.94 kwa tra, kitendo ambacho uongozi wa chama uliona kama huko ni kujipendekeza kwani kuna madeni mengi tena makubwa ya kulipa hasa yale ambayo anayedai ni mwenyekiti au swahiba zake. swali ni, je huwenda ukawa mwisho wa dr. Slaa ndani ya chadema?maoni yangu: Watakuwa hawajamtendea haki dr slaa kwa vile ni yeye aliyeng'arisha nyota za watu wa aina mbalimbali na hata chama kikapata idadi kubwa ya wabunge na kufakiwa kuunda kambi ya upinzani bungeni. toa maoni yako.
Kuna kila dalili kwamba CHADEMA hakitamsimamisha DR. SLAA kugombea Urais kupitia Chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya CCM. Habari zilizopatikana toka ndani ya CHADEMA zinasema, uongozi wa Chama hicho hauridhishwi na utendaji kazi wa Katibu Mkuu huyo kwa kile kinachosemekana kwamba anaingilia shughuli za Chama ngazi za chini kwa mfano MKOA WA KILIMANJARO, uongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa hususani BAZIL LEMA, PHILEMON NDESAMBURO, na LUCY OWENYA wanamlalamikia Dr.SLAA kuendesha uchaguzi katika Kata ya NJORO bila kuwashirikisha , ambapo JOHN JOMBA NKOY alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya NJORO na ABDULRAHMAN YUSUF SHARIFF kuwa Katibu. Aidha Dr. SLAA alijaribu kulipa deni la CHADEMA linalokadiriwa kuwa Tsh. Mil.94 kwa TRA, kitendo ambacho Uongozi wa Chama uliona kama huko ni kujipendekeza kwani kuna madeni mengi tena makubwa ya kulipa hasa yale ambayo anayedai ni Mwenyekiti au swahiba zake. Swali ni, je huwenda ukawa mwisho wa Dr. SLAA ndani ya CHADEMA?MAONI YANGU: Watakuwa hawajamtendea haki Dr SLAA kwa vile ni yeye aliyengarisha nyota za watu wa aina mbalimbali na hata Chama kikapata idadi kubwa ya wabunge na kufakiwa kuunda kambi ya upinzani bungeni. Toa maoni yako.
HIZO DALILI UMEZIPATA WAPI?
Lete mambo yenye vyanzo rasmi!
Ndiyo hawa NYERERE alisema. Hivi ukimuona Slaa mtaani na Mama yako utasema "kuna dalili kuwa Dr. Slaa atakuwa baba yangu wa kufikia....."
Nyerere kweli alijua sana kuwapa watu maneno yake. Waandishi uchwara wa Kenya wakaufyata.