GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
468
Reaction score
698
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
 
Attachments

  • ff916a2c3d45c0c4f699b295625aa6a0.mp4
    3.1 MB
20250612_190153.jpg
 
Kususia uchaguzi wakati mbinu za kuzuia huo uchaguzi hazijulikani ni kosa kubwa.
Unaendaje kwenye Uchaguzi ambao uhakika wa kupewa fomu huna, ukipewa uhakika wa kuirudisha huna, ukirudisha uhakika wa kuteuliwa huna, ukiteuliwa napo kufanya tu unapangiwa Cha kusema wakati mwingine unavamiwa kila uchao, uhakika wa kufika siku ya kupiga kura hujakamatwa hauna, uhakika wa wakala zako kuapishwa huna na akipatikana uhakika wa yeye kufika kwenye kituo akiwa salama huna.

Wenzetu manishi Tanzania ipi ambayo hamuoni Hali ilivyombaya namna hii ?
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Kama bunge halijavunjwa na baraza la wawakilishi halijavunjwa unategemea nini?
 
Bora wazazi wako wangetumia kondomu tu
 
Sayansi ya siasa ni ngumu sana upepo unaweza kubadilika hata siku mbili kabla ya uchaguzi. CDM haiwezi kuzuia Uchaguzi ila Watanzania wakitaka na kuamua na kusahau njaa zao wanaweza kujipambania
 
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.

Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.

Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.

Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Hakuna uchaguzi 2025 shika haya maneno yangu
 
Wewe unaamini nini?Watanganyika tumeamua kusalia na kura zetu,vipi ndugu zetu wa kizimkazi?
 
A bunch of coward
 
Back
Top Bottom