CHADEMA asilia tunakukumbuka sana Dr. Slaa

CHADEMA asilia tunakukumbuka sana Dr. Slaa

Miaka hamsini wanafunzi wanakaa chini, miaka hamsini tunaendesha kampeni ya kuchangia madawati? Miaka hamsini tunalia huduma mbovu za afya, ikiwepo kukosa madawa na maji salama? Miaka hamsini hakuna chochote tunachoweza kujivunia km taifa kila kitu tuletewe na kusimaiwa na wazungu, hamjisikii vibaya? hamuoni aibu wapuuzi nyie? Kulalana kwenyewe bado mnafunzwa na wazungu njinsi ya kulalana ili msichubuane na mkaambukizana gono, ovyooo zenu
Hayo yote yalikuwa hayafanyiki kwa sababu Mafisadi akini Lowasa kingunge na sumaye walikuwa wanafisidi nchi..kwa miaka hii mitano yote yatafanyika.
 
wewe bila shaka ni nyumbu wa el mlioua cdm asilia. nyumbu wana hasira sana kushindwa kutimia ndota kupata vyeo walivyoahidiwa na el. sasa wamebaki na kiwewe wanatupa ngumi gizani.
Tumbili mkubwa wewe utaacha lini kushikiwa akili, bure
 
Wanaotia kichefuchefu ni wale waliojinyea jukwaani kipindi cha kampeni nadhani unawafahamu mkuu.
Mpuuuzi Wa kiwango naona unaharisha toka uvccm hapo, jinga kweli leta ushahidi Wa hayo mavi km huna funga bakuli lako
 
Wakudadavuwa hujasema hoja anazokisalitia chama ni zipi na kumbuka chama kipo kwa ajili ya wananchi hakiwezi kuwa na ajenda moja milele hata km imekosa nafasi kwa ss nchi yetu inakabiliwa na dalili za udikteta so agenda lazima iwe hiyo
 
Acha Kudanganya Watu Bana Mkuu.
1. Tangu 2010 Matokeo Ya Form4 Na Kuendelea Hayakuwa Yanaonyesha Jina Isipokuwa Namba Tu.

2. Mwanafunzi Husika Mdiye Mwenye Access Ya Kuingia Kwny Akaunti Yake Kupata Matokeo Yake, Sasa Wewe Uliwezaje Kama Sio Urongo Tu Huo.

Tujadili Mambo Ya Msingi, Msio Na Kazi Mmebakia Kujadili Mambo Ya Watu Tu Badala Ya Kujadili Mustakabali Wa Nchi Yako Bila Kuleta Siasa Za Maji Taka.

Mimi Nakushauri Kaimbe Taarabu Maana Kama Unajiita Great Thnk Halafu Unamjadili Mtu Badala Ya Hoja Huo Ni Ujinga Wa Akili Na Inadhihirisha Kabisa Akili Yako Imekosa Afya Kiasi Cha Kujadili Vitu Ambavyo Hata Baraza La Mitihani Havijalijibia.
 
Chadema ilihitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na sasa amepatikana ambae ni Tingatinga,sasa Chama kinapinga maamuzi magumu wakati tulibadili gear angani kwaajili ya kutaka mtu mwenye maamuzi magumu.Mbowe leo anatetea ufisadi lau kama Slaa angekuwepo Chadema wasingemaliza, lazima kingenuka.
 
Chadema ilihitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na sasa amepatikana ambae ni Tingatinga,sasa Chama kinapinga maamuzi magumu wakati tulibadili gear angani kwaajili ya kutaka mtu mwenye maamuzi magumu.Mbowe leo anatetea ufisadi lau kama Slaa angekuwepo Chadema wasingemaliza, lazima kingenuka.
Kessy alisema chadema wana akili ya kuku wa kizungu,wanasahau mapema.
 
Hivi wataalamu wa ufipa wakiongozwa na comrade Mbooowe bado wamepanga kule ufipa? 24yrs na bado wamepanga, then wanaleta propaganda za maendeleo?

Kweli wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom