Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Mkuu kujenga nchi kazi,mwenyewe si umeona hata Chadema miaka 24 bado wamepanga kwenye nyumba ya kuishi?Miaka hamsini mnaendesha kampeni ya madawati si utani huu? Akili yako imeganda mikoa thelathin na ushee wote watajazana Hosp moja? Vipi kuhusu maji salama? Ndio maana huwa nasema Mungu alikuja kwa kwa sababu ya wazungu,