CHADEMA asilia tunakukumbuka sana Dr. Slaa

CHADEMA asilia tunakukumbuka sana Dr. Slaa

Ukiona bungeni wanaazima mchezaji kutoka timu nyingine jua hali ni mbaya..

Usajili wa Zitto ni kiashiria cha kukosa watu wa kusaidiana na Tundulisu kujenga hoja...hivi Tundulisu kusaidiana na Kubenea unaona ilikuwa inaingia akilini?

CHADEMA watamkumbuka sana Dr. Slaa...
 
Dr Slaa hakutoka Chadema na ukawa kwa mapenzi yake bali alinunuliwa na Membe kwa dola million 2 na kununuliwa nyumba nje ya Nchi, pesa iliyotumika kumnunua Slaa ilitoka kwenye Mahandaki mawili ya Mabilion ya marehemu Gadafi ambayo yapo kwake na kwa rafiki ya Jack Gotham , ni njaa pekee ilimfanya Slaa kuwa kama mkimbizi huko Canada mpaka mke wake huku Tanzania akaamua kuchukua mkopo kupitia nyumba yao kwa kusaidiana na Mchepuko ( Serengeti boy) pasipo yeye kujua, sasa wanahaha wote pesa ililiwa na Serengeti boy na sasa Slaa anahaha kulipa mwenyewe.
 
Wata
Ukiona bungeni wanaazima mchezaji kutoka timu nyingine jua hali ni mbaya..

Usajili wa Zitto ni kiashiria cha kukosa watu wa kusaidiana na Tundulisu kujenga hoja...hivi Tundulisu kusaidiana na Kubenea unaona ilikuwa inaingia akilini?

CHADEMA watamkumbuka sana Dr. Slaa...[/QUOTE wangemkumbukaje?wakati wanajua kuwa Slaa alirubuniwa na na pesa za marehemu Gadafi akatoroka Ukawa.
 
Ukiona bungeni wanaazima mchezaji kutoka timu nyingine jua hali ni mbaya..

Usajili wa Zitto ni kiashiria cha kukosa watu wa kusaidiana na Tundulisu kujenga hoja...hivi Tundulisu kusaidiana na Kubenea unaona ilikuwa inaingia akilini?

CHADEMA watamkumbuka sana Dr. Slaa...
Watamkumbuka kwa lipi wakati alinunuliwa akatoroka ukawa
 
Ingawa wakubwa wetu waliamua kukusaliti kwa tamaa zao, ukweli ni kwamba pengo Lako wameshindwa kujaza mpaka sasa. Cha Ajabu sasa ni kwamba hakuna utaratibu unaoeleweka wa kuzungumzia mambo ya Chama. Chama kinaongozwa na matamko ya Viongozi hasa Yule uliyetuasa tusimpokee. Bungeni tunaendelea na ule utoto wa kuzomea na kupiga kelele Kama walevi na sasa hatuna tena hoja za msingi za kuibana Serikali! Hakika tuna hali mbaya hasa Baada ya kuikana Sera yetu ya kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma. Tunaona aibu kukuomba msamaha maana tulikukashifu kwa majina ya kipuuzi tukijawa kiburi kwa kuaminishwa kwamba uliyemkataa atatupeleka IKULU saa 2 asubuhi tarehe 25 Oktoba, 2015 lakini haikuwa hivyo. Hakika Wafiachama hatutakusau Kamwe
Kama mnampenda kweli muombeni anzishe chama chake awape kadini muwe wanachama mbona simple tu siyo kuja kutupigia kelele huku
 
Mwenzako anakula bata Canada, wewe endelea tu kumkumbuka
Bata anakula huku Tanzania mkewe kachukua mkopo kupitia nyumba yake pasipo kujua, sasa anahaha kulipa wakati pesa imeliwa na mke na Mchepuko wake.
 
Nilikuwa sijui kama wanawake wana nyumba ndogo pia,mshumbusi kaweka dhamana nyumba kwa mkopo wa nyumba ndogo
 
Halima mdee na Jesca kishoa wameelezea u fisadi wa mwakyembe kuhusu mabehewa feki
Huyo kishoa katimuliwa hana ushahidi.
Kafulila kamuokota wapi yule?ana wazazi kweli?mwanamke anarusha mikono mdomo kama tarumbeta la Dar Jazz,hana aibu wala staha,,anaongea kama msela mavi anaona siifa
Huyo ndio think tank ya chadema
 
Toka bunge linaanza hakuna hata mmbunge mmoja wa UKAWA alietamuka neno ufisadi, Hongera Lowasa.

Umewafanya maadui zako wakusujudu.
miaka yote tumetamka na kupinga ufisadi mmechukua hatua gani ??
Nitajie kiongozi mmoja anayepambana Na Ufisadi kwenye awamu hii hayupo labda kutipua majipu !!!
 
Na sisi wa DP tumemkumbuka Christopher mtikila RIP
 
Sasa Kama ww unajiona ni chadema asilia umechukua uhamuzi gani slaa Alisha temana na chadema bado unasubili nin sasa
 
Igwe wanaJF!

Nimelazimika kukueleza Mbowe aina ya siasa unazofanya kwa sasa umewapoteza wanachadema asilia.Kwa sasa kundi la 4U ndilo linafurahia kwa sababu umekubali kugeuka jiwe.

Wewe kama KUB umeshindwa kuja na kusimamia hoja mbadala ni kama umekubaliana na yote yaliyoletwa na CCM na sasa umeshika ajenda moja ya "udikteta" na kulaumu Raisi "hafuati sheria" kwa mambo ambayo mlilaumu kuwa JK hafanyi.Kundi kubwa la Chademalowassa kwa sasa limejikita kumaifia JK kuwa alikuwa kiongozi bora kama njia ya kukumbuka kuwa walinufaika na rasilimali za nchi kiholela ila kwa sasa wamebanwa.

Mbowe na uongozi mzima wa Chadema mmeweka rehani msimamo wa chama na kujikita na upuuzi.Mmewekeza mabilioni kufanya propaganda na kulipana posho nene huku mkiacha kuweka misingi ya Chama hasa kuimarisha ofisi na kujenga itikadi.

Mtachoka muda si mrefu na umma umeshawachoka.

Nawasilisha.
 
Mnatia kichefu chefu, hao chadema asilia ndo akina nani? Huu ni ujinga
 
Mnatia kichefu chefu, hao chadema asilia ndo akina nani? Huu ni ujinga
Kwa sasa ndani ya chadema kuna Wanalowassa na Wanachadema...na kuna wana wachadema wanaomkubali Lowassa hawa ni Chademalowassa.Siku Lowassa akikasirishwa wao wanamfuata.
 
Igwe wanaJF!

Nimelazimika kukueleza Mbowe aina ya siasa unazofanya kwa sasa umewapoteza wanachadema asilia.Kwa sasa kundi la 4U ndilo linafurahia kwa sababu umekubali kugeuka jiwe.

Wewe kama KUB umeshindwa kuja na kusimamia hoja mbadala ni kama umekubaliana na yote yaliyoletwa na CCM na sasa umeshika ajenda moja ya "udikteta" na kulaumu Raisi "hafuati sheria" kwa mambo ambayo mlilaumu kuwa JK hafanyi.Kundi kubwa la Chademalowassa kwa sasa limejikita kumaifia JK kuwa alikuwa kiongozi bora kama njia ya kukumbuka kuwa walinufaika na rasilimali za nchi kiholela ila kwa sasa wamebanwa.

Mbowe na uongozi mzima wa Chadema mmeweka rehani msimamo wa chama na kujikita na upuuzi.Mmewekeza mabilioni kufanya propaganda na kulipana posho nene huku mkiacha kuweka misingi ya Chama hasa kuimarisha ofisi na kujenga itikadi.

Mtachoka muda si mrefu na umma umeshawachoka.

Nawasilisha.
[emoji37] [emoji36] [emoji37] [emoji37] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom