Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
baba jesica eee
Njoo ujibu hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?Naona mnaendelea kujifurahisha na propaganda mfu.Mnaficha uozo kwa kuutetea nahisi kwa siasa zako wewe utakuwa "ulipotupo"
mbowe anaongoza chama kibabe na kidikteta
Waambie watafute chama kwan lazima wawepo chadema? Waambie waache ujinga km wameshindwa kufanya siasa wamfuate Dr mihogo huko Canada, tuna matatizo lykuki wao wanawaza ujinga tuKwa sasa ndani ya chadema kuna Wanalowassa na Wanachadema...na kuna wana wachadema wanaomkubali Lowassa hawa ni Chademalowassa.Siku Lowassa akikasirishwa wao wanamfuata.
Kwa sasa ndani ya chadema kuna Wanalowassa na Wanachadema...na kuna wana wachadema wanaomkubali Lowassa hawa ni Chademalowassa.Siku Lowassa akikasirishwa wao wanamfuata.
Mkuu katika chama kila mtu ana haki japo Chadema asilia wananyanyaswa sana.Waambie watafute chama kwan lazima wawepo chadema? Waambie waache ujinga km wameshindwa kufanya siasa wamfuate Dr mihogo huko Canada, tuna matatizo lykuki wao wanawaza ujinga tu
Mkuu kila hoja na mahala pake,jikite kwenye hoja.Njoo ujibu hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
Uchadema halisia unatusaidia nini sisi watanzania? Sukari haijulikani lini itaanza kupatikana, hali ngumu kila kunapokucha nyie mmekalia upumbavua tu na wewe ukiwa kiongozi wao, acheni utahiraMkuu katika chama kila mtu ana haki japo Chadema asilia wananyanyaswa sana.
Chadema asili ni wale wanaofuata itikadi asili ya kupinga ufisadi, siyo hawa wakimbizi waliotoka ccmMnatia kichefu chefu, hao chadema asilia ndo akina nani? Huu ni ujinga
We muongo labda kwa ccm ndio kuna ccm asilia maana cdm hakuna kitu kama hichoChadema asili ni wale wanaofuata itikadi asili ya kupinga ufisadi, siyo hawa wakimbizi waliotoka ccm
Miaka hamsini wanafunzi wanakaa chini, miaka hamsini tunaendesha kampeni ya kuchangia madawati? Miaka hamsini tunalia huduma mbovu za afya, ikiwepo kukosa madawa na maji salama? Miaka hamsini hakuna chochote tunachoweza kujivunia km taifa kila kitu tuletewe na kusimaiwa na wazungu, hamjisikii vibaya? hamuoni aibu wapuuzi nyie? Kulalana kwenyewe bado mnafunzwa na wazungu njinsi ya kulalana ili msichubuane na mkaambukizana gono, ovyooo zenuChadema asili ni wale wanaofuata itikadi asili ya kupinga ufisadi, siyo hawa wakimbizi waliotoka ccm
kama umeikimbia kule ruksa kukutwanga hapa. JIBU JESCA KAFIKAJE UDOMMkuu kila hoja na mahala pake,jikite kwenye hoja.
Uchadema halisia unatusaidia nini sisi watanzania? Sukari haijulikani lini itaanza kupatikana, hali ngumu kila kunapokucha nyie mmekalia upumbavua tu na wewe ukiwa kiongozi wao, acheni utahira
Mbona sijasikia maafa ya kukosa sukari dogo?Tatizo ndio hili la chademalowassa mna mambo mia na hamsimamii hoja.Uchadema halisia unatusaidia nini sisi watanzania? Sukari haijulikani lini itaanza kupatikana, hali ngumu kila kunapokucha nyie mmekalia upumbavua tu na wewe ukiwa kiongozi wao, acheni utahira
Sio kweli muulize Lowasa na Sumaye kwa sasa wanapata matibabu Muhimbili.Miaka hamsini wanafunzi wanakaa chini, miaka hamsini tunaendesha kampeni ya kuchangia madawati? Miaka hamsini tunalia huduma mbovu za afya, ikiwepo kukosa madawa na maji salama? Miaka hamsini hakuna chochote tunachoweza kujivunia km taifa kila kitu tuletewe na kusimaiwa na wazungu, hamjisikii vibaya? hamuoni aibu wapuuzi nyie? Kulalana kwenyewe bado mnafunzwa na wazungu njinsi ya kulalana ili msichubuane na mkaambukizana gono, ovyooo zenu
Miaka hamsini mnaendesha kampeni ya madawati si utani huu? Akili yako imeganda mikoa thelathin na ushee wote watajazana Hosp moja? Vipi kuhusu maji salama? Ndio maana huwa nasema Mungu alikuja kwa kwa sababu ya wazungu,Sio kweli muulize Lowasa na Sumaye kwa sasa wanapata matibabu Muhimbili.
Utasikiaje nawe masikio umeyatia pamba? Endelea kusubir wazungu wavumbue wakuleteee,Mbona sijasikia maafa ya kukosa sukari dogo?Tatizo ndio hili la chademalowassa mna mambo mia na hamsimamii hoja.