Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,374
- 29,617
CDM kipo mioyoni mwetu jamani....Hivi maccm tuwaambiaje ili muelewee??????
ZeMarcopolo unasubiriwa kituoni ukapige kura; bonyeeza hapa;
Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui
Hivi Mungi we si msemaji wa chadema arusha?
Hivi kama primary investigation inaonesha kuna dalili za nyie wenyewe kuhusika mlitaka wasiseme?
Hivi.mbona kwenye updates za mkutano boss wenu lema alisema mtakwenda?
Kwanini mkatae maridhiano ya amani? Hivi chadema mnataka vita?
Hivi kwanini chadema arusha mnajaribu kuvuruga amani ya nchi?
Hivi kwanini chadema arusha mmekuwa wasemaji wa chadema taifa?
Hakika kwa style hii hakuna mwananchi mwenye utinamu atawapa ridhaa ya kwenda ikulu.
Kwa hali ilivyo sasa ili nchi hidumu kwenye amani lazima chadema wakae mbali na ikulu.
Ni wazi chadema kama mgekuwa mnaongoza nchi mgewatupa wapinzani wenu mtoni.
Dr.W.Slaa kwanini chadema ina kataa amani?mnataka vita?
Lakini hela kutoka kwa shetani mnatia kibindoni.

MSALANI anashindwa kutofautisha ccm na serikali.kuna sehemu wafuasi wa vyama vingine hawalipi kodi?
rasilimali za nchi hii ziumbwa kwa ajili ya maccm tu!
Haki ya Mungu mmelewa madaraka!
nashauri msikubali kuridhiana wasije kuwafanya misukule kwa odinga, tsvangrai na seif!
urafiki hakuna kufanya nao maana wanaona upepo ukibadilika watadai maridhiano ili wasishtakiwe pale walipoharibu!
Wewe Msaliti Ruttashobolwa nenda kaulize familia yako hayo maswali uchwaraHivi Mungi we si msemaji wa chadema arusha?